mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Mwenyekiti Wa CHADEMA Kuachiwa Tarehe 29 Octoba Siku Ya Uchaguzi!

    Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, Habari ndo hiyo!
  2. GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA abebwa mzobe mzobe wakimzuia kuingia mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu

    Kutoka kwenye viunga vya lango la kuingilia Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mvutano umeibuka baina ya maafisa wa Jeshi la Polisi na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao leo, Jumatatu Septemba 15.2025 wamejitokeza kwa wingi Mahakamani hapo kuja...
  3. GE2025 Mwenyekiti wa Mamalishe awataka wajasiriamali Singida kumsapoti Samia

    Mwenyekiti wa Mamalishe Tanzania, Havijawa Omary, amewaomba viongozi wa wajasiriamali wa Mkoa wa Singida kumsemea vizuri Rais Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ili ashinde kwa kishindo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Akizungumza jana...
  4. Video:-Mwenyekiti wetu wa KATAA WAHUNI Akiserebuka uhakika

  5. Polisi: Mwenyekiti wa BAVICHA hajatekwa bali tunamshikilia kwa tuhuma za kughushi nyaraka

    Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Gasper Temba, hajatekwa isipokuwa amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kughushi nyaraka. Aidha, Jeshi hilo limetoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuacha kusambaza...
  6. Ni Mwenyekiti gani wa CCM "B" aliyetajwa na Polepole?

    Kwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B. Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
  7. GE2025 Mwenyekiti mstaafu wa CCM(Kikwete) leo ndio nimejua ni mnafiki wa kupindukia

    Bwana mzee wetu Kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi Samia Suluhu Hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi Kama walikimbia kwanini hakumshauri JPM afanye mazingira mazuri? Amesubiri hayupo ndio katuambia huu ni...
  8. GE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Othman Masoud: Mpina kukatwa tulikuwa tushajipanga. Majibu tulikuwa nayo mkononi

    Wakuu, Akizungumza kupitia njia ya mtandao leo, Agosti 27, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud amesema kuwa kitendo cha Mpina naTume ya Uchaguzi kugombea Urais walikuwa na taarifa za awali na uamuzi huo haukuja kama surprise Pia amesema kwamba kinachoendelea ni hofu waliyokuwa nayo CCM...
  9. PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia anarudisha Fomu ya Uchaguzi Mkuu muda huu Agosti 27, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Z2GEtzscmaY https://www.youtube.com/watch?v=2cTVOqAW2xg Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akirudisha fomu ya Uchaguzi Mkuu Tanzania katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Tanzania (INEC) Dodoma, leo tarehe 27 Agosti, 2025.
  10. GE2025 Majina haya ya Wabunge waliokatwa kwa visasi

    Kwenye siasa kuna visasi vingi, chuki, husuda , usaliti, kiburi, jeuri , dharau, huko kumejaa huwa ni kutesa kwa zamu leo kwangu kesho kwako. Wabunge hawa wameondolewa kwa chuki visasi na usaliti..Kuna baadhi waliojiharibia na kuna wengine chuki za waziwazi 1. Ummy Mwalimu - Rafiki wa JK ...
  11. GE2025 Othman Masoud: ACT Wazalendo kuwa project ya CCM labda ilikuwa Behind The Scene. Sikukuta hata harufu ya hilo jambo

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano huu wa wahariri unaofanyika leo Agosti 23, 08, 2025, katika ukumbi wa Serena Hotel, Dar es Salaam Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud amesema kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu ACT kuwa ni project ya CCM Masoud akiwa anajibu hoja iliyoibuliwa...
  12. GE2025 Mwenyekiti Othman Masoud Othman Anazungumza na Wahariri, leo Agosti 23, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman anazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari muda huu katika Hoteli ya Serena. https://www.youtube.com/watch?v=QALdEBBAQlk Mazungumzo ya Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia ACT Wazalendo na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Serena Hotel...
  13. M

    Kwa mateso aliyepewa Mwenyekiti wa CHADEMA Makumbusho hawa watu wamebakiza kujenga gas Chambers

    Mzee mzima kama huyu anatekwa anafungwa macho anavuliwa nguo na kupigwa na kupigwa picha akiwa uchi Next time ni gas chamber tu
  14. R

    GE2025 Askofu Gwajima: Mwenyekiti wa Tume angekuwa anateuliwa na Lissu, CCM ingeshiriki uchaguzi?

    Salaam! Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec, Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa...
  15. Hivi unafanyaje minadi na watu kama wabongo🤣🤣, mwenyekiti yeye akitoka akafanye mambo yake na akale upepo wa bahari kuuguza majeraha yake.

    Wabongo hamfai, ustadi wenu ni mitungi, kubeti na mikasi tu 🤣🤣 Yani mwamba amekimbiwa na watu kama vile bomu limeanguka pale HQ 🤣🤣
  16. CHADEMA: Hatuishindani na CCM, tunashindana na vyombo vya dola

    Cc: Lucas Mwashambwa and ChoiceVariable
  17. M

    Je, ni kweli wana CCM mnauhakika Chadema Imekufa? Basi ruhusuni mkitano yao na mmfungulie Lissu

    Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa! Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
  18. GE2025 Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa bunge Joseph Kizito Mhagama atemwa ubunge jimbo la Madaba

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama, ameshindwa kutetea nafasi yake ya ubunge baada ya kushindwa katika mchuano wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katika matokeo yaliyotangazwa na Katibu wa...
  19. GE2025 Uchaguzi Zanzibar inadaiwa Makamu Mwenyekiti atoa rushwa kumtetea Mwanae

    Makamu Mwenyekiti wa UWT adaiwa kutoa maelekezo wasimamizi wa Uchaguzi kuhusu Mtoto wake Wardat Nassir Ali anayegombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar ili aweze kupata ushindi. Pia ameonekana akigawa rushwa hadharani kwa wajumbe wa mkutano huo nje ya ukumbi wa mkutano, na wajumbe...
  20. GE2025 Mohamed Abood: Tunachagua aliye tayari kwa utii kwa chama na mwenyekiti wetu, viongozi wenye sifa ya migogoro hatuwataki

    Mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi(CCM)Taifa Bw. Mohamed Abood, amesema Chama hicho hakitaki viongozi ambao watakuwa chanzo cha migogoro ndani ya chama na nchi kwa ujumla. Abood amebainisha hayo jijini Dodoma wakati akifungua mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…