mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyehamia CCM Zanzibar: Niligombea umakamu mwenyekiti ACT kumpinga Jussa akaniambia utakoma na hautakuwa

    Wanachama 2370 waliokua ACT Wazalendo wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kiwani kwa miaka 20, Hija Hassan Hija, wamekabidhi kadi za ACT na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku akiweka bayana kuwa aligombea makamu uenyekiti kwenye chama chake cha awali kumpinga Ismail Jussa ambapo...
  2. JamiiForums Tanzania Ningependa kusikia kauli ya Mwenyekiti mpya kuhusu kijana wetu Soka na wenzake moyo wangu umejawa hofu juu yake

    Nakukaribisha mwenyekiti mpya Tundu Lissu katika uongozi wako mpya ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo natumahi mengi mapya pia umekuja nayo katika nafasi yako hii mpya ya uenyekiti wa chama. Moja ya jambo/ kauli ya msingi ningependa kusikia kutoka kwako kama msimamo wako na wa chama...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania inasimama na nani katika mchuano wa mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Africa(AU) kati ya SADC na Africa Mashariki(EAC)?

    SADC imewataka wanchama wake wote kumuunga mkono mgombea wa anayetoka Madagascar lakini upande Africa Mashariki yupo Raila Odinga. Hapa Tanzania inapigaje ikiwa mwanachama wa jumuiya zote mbili?!
  4. F

    JamiiForums Tanzania Lissu endelea kamatia hapo hapo nimeanza kusikia makelele yao ni wazi sasa sindano zinaingia na wapenda mabadiliko wote tumwongezee mwenyekiti nguvu

    Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama wehu et "Lissu asitutishe"! Hii ni dadili nzuri sana kwamba wameanza kuona mwisho wao ukiwa karibu...
  5. JamiiForums Tanzania EAtv saa 1 kwanini mmepotosha maelezo ya mwenyekiti wa CHADEMA

    Kwenye taarifa ya habari ya leo saa 1 jioni ilikuwepo taarifa ya mwenyekiti wa Chadema kuhusu uchaguzi mkuu ujao, mhe. Lissu kwenye maelezo yake amesema Chadema haitasusia uchaguzi, lakini maandishi kuhusu maelezo yanasema Chadema itasusia uchaguzi! Upotoshaji huu ni kwa manufaa ya nani? EATV...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mamia ya Wananchi wa Kiloleni wamlaki Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiwa njiani kwenda Lamadi-Simiyu kwa Mapokezi

    Wakuu Mamia ya Wananchi wa kijiji cha Kiloleni-Busega wamejitokeza Kumlaki Mhe. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, John Heche akiwa njiani kuelekea Lamadi huko Simiyu kwenye Mapokezi baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Pia, Soma: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mapokezi ya makamu mwenyekiti wa CCM Ndg.Stephen Wasira mkoani wa Simiyu

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Aungana na Wanachama wa CCM Katika Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Stephen Wasira , Leo Lamadi Busega. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameshiriki kwa furaha katika mapokezi ya Makamu...
  8. JamiiForums Tanzania Katika Siasa za Sasa je Wasira alitakiwa kuwa Makamu wa Mwenyekiti wa CCM?

    Wakuu ,Nimefuatilia hotuba za Mh Wasira anapokuwa katika majukwaa nikajiuliza je amechelewa kuwa Makamu Mwenyekiti??Je ni kwamba CCM hawana mtu mwingine katika kushika wadhifa huu ambaye bado anaweza kwenda na Kasi? Kama aliyekuwepo ana miaka 70+ Na akaona sasa niwakati wa kupumzika ila...
  9. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala

    Kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala kuna madhara na faida nyingi. Kisiasa, umri mkubwa unaweza kuleta uzoefu wa thamani, lakini pia kuna changamoto zinazohusiana na uwezo wa utendaji wa mtu huyu katika nafasi hiyo. Madhara Mtu mwenye umri wa miaka 80...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chadema wakili msomi Tundu lisu anaongoza jopo la mawakili Leo kesi ya Dr slaa

    Mwenyekiti wa Chadema wakili msomi Tundu lisu anaongoza jopo la mawakili Leo kesi ya Dr slaa
  11. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuungana na jopo na mawakil linalomtetea Dk. Wilbroad Slaa anayeshtakiwa kwa makosa ya kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.
  12. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Chadema Wakili T Lissu Leo atasindikizana na wependa haki wengine kwenye kesi ya Dr Slaa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam kwenye KESI ya DKT. WILBROD SLAA dhidi ya JAMHURI.
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Hatukuahidi kuachia madaraka baada ya muda tulipopata uhuru. Hatutumii jeshi kubaki madarakani, tunachaguliwa

    Wakuu, Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wassira mkoani Dar yanaendelea wakati huumkoani Dar es Salaam January 26, 2025. Wacha tuone nini watatuchia na neno gani leo Jumapili tulivu. https://www.youtube.com/live/4P5xbgdNV3w?si=oQJ_bTnSNJUw_luk Wasira amesema baada ya kupata...
  14. JamiiForums Tanzania Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Balozi Kagasheki ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya PAROLE

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili, 2023.
  16. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mwenyekiti wa CCM, Mapendekezo ya Lissu kuhusu mchakato wa Katiba ningeyakubali wakati huu na kuyafanyia kazi haraka!

    Kuna msemo unaosema no one knows tomorrow! Lissu kaja na mapendekezo mazuri sana kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba kuelekea Uchaguzi Mkuu. Mapendekezo ya Lissu ni Bunge kuongezewa muda, uchaguzi kupelekwa mbele alafu reforms za Katiba kufanyika ndipo twende kwenye uchaguzi. Kama...
  17. JamiiForums Tanzania Hotuba ya kwanza Mwenyekiti Lissu aiita Tanganyika Tanganyika. Tumepata mtetezi!

    Mwenyekiti mpya wa CHADEMA katika sentensi yake ya kwanza ya hotuba yake ya kwanza baada ya uchaguzi amesema yeye anachagua maneno yake very carefully. Akitangaza ratiba ya leo ya Baraza Kuu amesema litakutana na agenda ya kumchagua Party Secretary na manaibu wake, wa Zanzibar na Tanganyika...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aapishwa kuwa mwenyekiti wa tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar: Vijana walipewa nafasi ya kukiongoza chama hawakufanya kitu

    Mgombea wa Mkamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar, Hafidh Ali Salehe amedai vijana walipewa nafasi ya kukiongoza chama hicho na hawakufanya kitu, hivyo wazee wana uchungu nacho. Msingi wa Salehe kusema hayo ni alipoulizwa swali na mjumbe kuhusu umri wake kuwa mkubwa na kama ataweza kuongoza...
  20. JamiiForums Tanzania Lissu anashinda Kwa kishindo, Wajumbe wamteua Mwakajoka kuwa Mwenyekiti kwa kishindo dhidi ya Dickson Matata

    Oyaaa oyaaa ni aibu kwa Timu Mbowe... Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakuwa mwenyekiti. Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA. TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…