mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Baraza la Makanisa ya Kipendekoste ataka mshikamano Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mwenyekiti wa Barazaa la Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es Salaam, Mchungaji Emmanuel Mwasota amesema tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 lipo kwa ajili ya maombi ya kuombea uchaguzi huo. Mchungaji Mwasota amewataka waumini wa madhehebu yote nchini kuiombea nchi ya Tanzania, viongozi...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Kuhusu Sheria ya kuanza kwa utaratibu wa vitinmaalum CCM 2030

    Swali la Kwanza Kuna wabunge wa viti maalum waliokuwa madarakani kuanzia mwaka 2020 hadi 2025, na sasa wanatarajia kugombea tena. Ikiwa watashinda, watakuwa madarakani hadi mwaka 2030. Swali langu ni: Je, hawa wabunge wakichukua fomu kuomba kugombea mwaka 2030, watakuwa wanakubali sheria mpya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji na akapata anaweza kugombea udiwani mwaka huo huo?

    Habari wanajf, Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Jumuiya ya wazazi CCM Ileje adaiwa kuuawa

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Chitete wilayani Ileje, mkoani Songwe, Harison Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na watu wasiojulikana. Mwenyekiti wa kijiji, hicho Joseph Mwashitete amesema tukio hilo lilitokea jana Jumatano Machi 12...
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Faris Buruhan Mwenyekiti UVCCM Kagera: "Mtaa Hautaki Digrii Unataka Ujuzi".

    https://www.instagram.com/p/DHI1LhfoRuR/?igsh=MTB5bGZnMjRteTR0ag== My take: CCM wametuamulia naona kauli ya waziri mkuu inazidi kusisitizwa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyamavingine

    Ushauri wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyama vingine. Mwenyekiti Lissu alishauri kuwa uongozi katika Vyama viwe na ukomo. Alitoa mfano wa Ubunge wa Viti maalum kuwa wabunge hawa wawe na ukomo ili na wengine waingie baada ya muda fulani. Leo hii CCM katika kikao chao pia...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  8. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania Video: Kijana afunguka alivyofanyiwa ukatili wa kutisha na mwenyekiti wa kijiji Uleling'ombe, kilosa

    Tazama video inasikitisha sana... Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia unaweza kudhani pengine uko ndotoni! Siku kadhaa zilizopita, liliripotiwa tukio la kushangaza, kustaajabisha, na kuhuzunisha kuhusu vijana wawili wanaodaiwa kufanyiwa ukatili wa kutisha na Mwenyekiti wa Kijiji cha Uleling'ombe...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Singida Umekosea

    Leo nimekutana na clip moja kwny group flani likimuonesha mwenyekiti wa CCM Singida akiwaambia wakina mama wassishie kuzaa mtoto mmoja au wawili kwani mama Samia amewezesha hudum ya afya iko vizuri na uchumi pia uko sawa. Nikakumbuka kauli ya Hayati Magufuli fyatueni tu baadae waziri wa Afya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Taifa Bavicha Adv Mahinyila afafanua mbinu iliyotumika kutekwa kwa Aman Manengero

    Nilisikia hili tukio nikadhni Masihara. Advocte mahinyila anaeleza mbinu iliyotumika https://youtu.be/OOctHcw01rc?si=noJ89nvoDPAn8nJ4
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti BAVICHA, Deogratius Mahinyila anatoa tamko muda huu sakata la Utekaji nchini

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Deogratius Mahinyila anazungumza na Vyombo vya Habari muda huu akizungumzia sakata la utekaji nchini huku akianza kueleza namna ambavyo Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, alivyotekwa na kupotea tangu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ifike time, uitishwe Mdahalo kati ya Mwenyekiti wa CCM vs Mwenyekiti wa CHADEMA.

    Salaam Tanganyika! Issues nyingi zinaibuliwa wakati huu na zinaonekana ni za upande mmoja, Na anayeibua HOJA nyingi ambazo hazipati majibu ni huyu Mwenyekiti mpya wa chama Cha upinzani TUNDU Lissu. Sasa Kwa kuwa anayetakiwa kuzichambua ni mwananchi, ni muhimu wenyeviti Hawa wawili...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

    Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa, Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale! Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
  15. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM, Geita: Boda boda Nyang'hwale msijihusishe na shughuli za kiuhalifu

    Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wilayani Nyangh'wale Mkoani Geita wameaswa kutojiusisha na Vitendo vinavyoweza kupelekea kuvunja amani sambamba na kutojihusisha na Shughuli za kiuhalifu . Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kiongozi wa TLS Kagera, Seth Niyikiza akutwa amekufa nyumbani kwake

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Niyikiza amefariki dunia akiwa kajifungia ndani mwake. Akithibitisha tukio hilo leo Jumatano Februari 26, 2025 Kamanda wa Polisi mkoani humo, Brasius Chatanda amesema mwili wa wakili huyo ulibainika baada ya mteja...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) ACT, Ismail Jussa alipozungumza na Wanahabari Makao Makuu ya Chama, Vuga, Zanzibar, Februari 27, 2025

    UTANGULIZI: Nimewaita hapa leo kuzungumzia kashfa kubwa (major scandal) inayozunguka kile kilichopewa jina la uwekezaji wa kimataifa katika Bandari ya Zanzibar ambacho sasa kinawatafuna wananchi masikini wa Zanzibar walioangushiwa zigo kubwa la kubeba gharama za mradi huo wa kashfa. Zigo hilo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali imuachie huru Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira, Joseph Kaheza

  19. M

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Iringa hivi imekuwaje Mwenyekiti wa Baraza amerejeshwa kibaruani kimyakimya?

    Mwenyekiti wa Baraza wa Chuo Kikuu cha Iringa, Dkt. Lilian Badi aliondolewa mara ya kwanza kwa tuhuma za mazingira tata lakini hivi karibuni amerejeshwa kazini huku kukiwa hakuna maelezo sahihi ya sababu za kurejeshwa kwake. Kibaya zaidi ni kuwa hakuna maelezo kamili yaliyotolewa kuhusu zile...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ester Bulaya: Hakuna chama chenye ukomo kwa nafasi ya Mwenyekiti

    "Hakuna chama ambacho nafasi ya mwenyekiti ina ukomo, tofauti yetu sisi na CCM, wao wamejiwekea kwa sababu Mwenyekiti wao ndiye mgombea. Wao wameunganisha nafasi ya chama kwenye nafasi ya nchi" Esther Bulaya, Mbunge viti maalum Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Back
Top Bottom