Maajabu mwenyekiti achaguliwe na chama alafu msajiri aje amtengue kwani mwenyekiti wa chama cha siasa aliteuliwa na msajiri?
Kwani msajiri ndio alimpa kazi mwenyekiti wa chama cha siasa haya mambo yalianza kama utani baada ya kuanza kuchezea chadema na ACT kwa kutumia ofisi ya msajiri sahivi...
Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
Ni dhahiri mwenyekiti wa Chama ukilazimisha kwa hali ilivyo hutatoboa kwenye uchaguzi ujao pamoja na kwamba wewe ndo kiongozi wa nchi.
Itakuwa ngumu wewe kujua maana hutakuwa na muda sababu utakuwa na stress za kampeni. Sababu kuu ni kwamba sasa adui yuko chumbani kwako siyo sebuleni tena...
Chopa inayotumiwa na Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe na viongozi wengine wa chama hicho, imeishiwa mafuta na kusababisha kiongozi huyo ashindwe kuhudhuria mkutano wa hadhara uliokuwa ufanyike Lindi Mjini.
Akizungumza leo, Julai 15, 2025, katika Viwanja vya Mpilipili, Lindi Mjini...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Isihaka Mchinjita amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo (Mei 23, 2025) baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa ajili ya kujionea adha ya usafiri huo.
Mchinjita aliyeambatana na Waandishi wa Habari muda huu yeye na...
Tukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira
Unamuweka ndani Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini ili asifanye siasa. Hapa unatuma meseji gani, kwamba kama unazuia watu kufanya siasa za kudai mabadiliko, wewe uko tayari kufanya uchaguzi huru na wa haki?.
Je, uko tayari kukubali kushindwa ukishindwa?
Uko tayari wagombea wa chama...
Katika mfumo wa kisiasa, uhusiano kati ya uongozi wa chama na uongozi wa nchi ni wa umuhimu mkubwa.
Hali inapoonekana kwamba mwenyekiti wa chama ndiye pia rais wa nchi, tunakutana na changamoto nyingi za kiutawala na kidemokrasia.
Hapa, tutaangazia ni kwanini mfumo huu unavyoweka vikwazo kwa...
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika TANECU LTD, Karimu Chipola, ameahidi kuchukua hatua kali kwa msafirishaji yeyote atakayetoza fedha nje ya mkataba kwa chama cha msingi.
Ametoa kauli hiyo leo, Machi 27, wakati wa uzinduzi wa zabuni ya kusafirishaji mazao kwa msimu wa 2025/2026.
Mwenyekiti...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
ccm
chamachama cha mapinduzi
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
halmashauri
halmashauri kuu
halmashauri kuu ya ccm
jamhuri
jamhuri ya muungano
kamati
kamati kuu
kikao
kikao cha kamati kuu
kuu
mapinduzi
muungano
mwenyekitimwenyekitiwachama
na rais
ndugu
rais
rais samia
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
Aliyekua Mwenyekiti wa chama cha soka Wilaya ya Dodoma Mjini Mwalimu Joseph Sehaba Amefariki Dunia.
Mazishi Yatafanyika Kesho Katika Makaburi ya Chang'ombe Saa 10 Jioni.
Kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala kuna madhara na faida nyingi.
Kisiasa, umri mkubwa unaweza kuleta uzoefu wa thamani, lakini pia kuna changamoto zinazohusiana na uwezo wa utendaji wa mtu huyu katika nafasi hiyo.
Madhara
Mtu mwenye umri wa miaka 80...
Inasemekana kuwa Ilikupooza mpasuko ndani ya CHADEMA, Lisu katulizwa kuwa hata kama akishidwa atapewa nafasi ya kugombea Uraisi kupitia Chadema.
Ila nafasi ya uenyekiti ibaki kwa Mhe. Mbowe.
Habari zenu wanaJF wenzangu
Ndugu Mbowe na baadhi ya vijana wake (wengi mnawaita chawa), wamekuwa hawaamini kama ndugu Lisu akishinda uenyekiti wa Chadema ataweza kuendesha chama na badala yake atakiua.
Wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai kwamba kuna uwezekano Lisu akishinda uenyekiti wa...
Habari wadau!
Ni vizuri watu wakaelewa ni kina nani hasa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA wana sifa za kushiriki kwenye huo mkutano wenye wajumbe wapatao 1,200(nilivyosikia).
Binafsi nafahamu baadhi ya wajumbe ni kama vile wenyeviti na makatibu ngazi ya wilaya, mkoa na kanda pamoja na...
Mbowe aliwahi kuwaleta CHADEMA wakina Lowasa, Sumaye, Membe, na hawa wote walikuja chadema wakijua kabisa watamuita mbowe bosi 😂😂.
Mbowe oyeee ,(Magufuli).
Pamoja na yote mazuri ya Mbowe ila mbowe muda umefika aachie chama kwa Lissu.
Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu.
Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X
Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport...
Lissu anafiti kwenye taaluma aliyonayo ya sheria lakini hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa chama chochote cha siasa.
Lissu ni mlopokaji, ana lugha mbovu ni mtu ambaye hana utulivu, busara ndiyo kakosa kabisa. Ni mtu ambaye anapenda machafuko katika nchi, ana amini maandamano ya wananchi ni NJIA...
Salaam wana Jamvi.kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kunipa nafasi ya kukutana na nyie hapa Leo .nirudi kwenye mada yangu Mimi ningekua ndie mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama ningeanza nayafuatayo.
1.badala ya kuituhumu ,Mimi ningeipongeza kamati kuu kwa kusimamisha kidete ,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.