mwenyekiti wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    Utafiti unaonesha kuwa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unaotarajiwa kufanyika Mbowe anaweza kushinda kwa Kishindo

    Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambaye ni kipenzi cha wanachama anatarajia kujitosa katika mbio za kuania uwenyekiti wa CHADEMA. Uchaguzi huo unaitishwa baada ya Mwenyekiti wa sasa Tundu Lissu Kusota korokoroni kwa muda mrefu hivyo kuathiri shughuli za chama kwa muda...
  2. Troll JF

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kibosho akutwa amefariki, Chanzo chatajwa kuwa ni Pombe

    Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake. Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
  3. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini John Heche hasikilizwi wala haheshimiwi kama makamu na kaimu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pale CHADEMA masalia?

    Ni kwasababu ya jinsi anavyo onekana? Ni kwasababau ya matamko nonsense na uropokaji useless? Au ni kwasababu za hali yake ya kiuchumi? Wafuasi wa Chadema masalia wanamchukuliaje huyu muungwana ambae ni adict wa kubeti? Mungu Ibariki Tanzania
  4. Pakome

    Mbowe angekuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA, hakuna mwanachama wake angepoteza maisha Oktoba

    Kiongozi mwenye busara analinda Wanachama wake lakini kiongozi asiyekuwa na hekima Wanachama wake watapoteza uhai Mbowe angekuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA, hakuna mwanachama wake angepoteza maisha October Hii ni kwasababu Mbowe alikuwa anatumia hekima na busara kuongoza CHADEMA kwa miaka...
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Isakwisa Lupembe na Meya mstaafu wa Mji wa Tunduma, Ali Mwafongo wamevamiwa na watu waliojitambulisha ni polisi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Isakwisa Lupembe na Meya mstaafu wa Mji wa Tunduma, Ali Mwafongo walivamiwa usiku wa kuamkia leo na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi. Walisema ya kuwa wanawapeleka Polisi. Lakini hadi asubuhi hii hawapo katika vituo vya polisi na hivyo hadi sasa hatujui...
  6. R

    Watawala wetu, Sililizeni Busara za Mwenyekiti wa Chadema Sumbawanga

    Msikilize. Sina sababu ya kuongeza maelezo. Kwa nia njema ya uzalendo
  7. Waufukweni

    PostGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Sumbawanga: Chaguo ni moja tu, ni Watawala kukubali kubadilika, Watu wamechoka wanahitaji mabadiliko

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Sumbawanga, Adolf Mkono akizungumza katika kongamano la amani na utulivu lililo fanyika Novemba 27,2025 katika ukumbi wa Nazareth Sumbawanga. "Chaguo ni moja tu, ni watawala kukubali kubadilika, watu wanamaumivu ya muda mrefu na wanahitaji mabadiliko."
  8. M

    John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia soma > John...
  9. Inside10

    GE2025 John Heche: Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bukoba Mjini, Chifu Kalumuna, achukuliwa na Polisi bila kuambiwa kosa

    Ameandika Heche, Nimepokea simu kutoka kwa mdogo wake Chifu Kalumna ambae ni Mwenyekiti wetu wa wilaya ha Bukoba mjini. Anasema polisi wakiwa na silaha za moto na magari mawili, wamevamia nyumbani kwa Chifu mda huu na kuondoka nae bila kumwambia wanamhitaji kituo cha polisi bila sababu yoyote...
  10. figganigga

    John Heche amtembelea Mabele Marando nyumbani kwake

    Leo tarehe 11 Oktoba 2025, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA John Heche amemtembelea nyumbani kwake aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama na Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Mabere Marando. Ziara hii imebeba maana kubwa ya kuthamini mchango wa viongozi waliotangulia na kuendeleza mshikamano ndani...
  11. Waufukweni

    GE2025 Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi Mahakama Kuu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kusikilizwa leo. Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika Mahakamani kufuatilia Kesi ya uhaini ya...
  12. Just Pray

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa mjini, Frank Nyalusi afariki Dunia

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Iringa mjini, Frank Nyalusi amefariki Dunia Usiku wa kuamkia Leo Ijumaa Septemba 19, 2025 katika Hospitali ya rufaa ya Iringa alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za Kifo chake zimethibitishwa na Viongozi wa chama hicho mapema hii leo...
  13. O

    Mwenyekiti Wa CHADEMA Kuachiwa Tarehe 29 Octoba Siku Ya Uchaguzi!

    Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, Habari ndo hiyo!
  14. K

    Kwa ushahidi mwingine uliotokea kwa ukamataji wa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kaskazini jeshi la polisi linajitengaje na utekaji wa raia?

    Hivi polisi wanatuchukulia wajinga,kwa nini umkamate mtu kwa kumteka tena ukichukulia ni kiongozi. Walishindwa kumpigia simu aende kituoni, au walishindwa kumfwata ofisini kwake, au nyumbani kwake, mimi naaminini bila kelele za wananchi kwa kushikikiana na mitandao ya kijamii huyu alishapotea...
  15. M

    Kwa mateso aliyepewa Mwenyekiti wa CHADEMA Makumbusho hawa watu wamebakiza kujenga gas Chambers

    Mzee mzima kama huyu anatekwa anafungwa macho anavuliwa nguo na kupigwa na kupigwa picha akiwa uchi Next time ni gas chamber tu
  16. Pfizer

    Taarifa kutoka mahakamani mkoani Singida katika kesi ya uchochezi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Itilima, Askofu Mwanamapinduzi

    Ushahidi katika shauri la kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya ITILIMA mkoani SIMIYU Askofu Machumu Kadutu maarufu kama MWANAMAPINDUZI uliopangwa kusikilizwa kwa siku tatu mfululizo kutoka Agosti 5 mpaka agosti 7 umefungwa siku ya...
  17. M

    Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  18. Oscar Lyrics

    Mzazi wako Baba/mama amewahi kukuhusia jambo gani ukiwa mdogo na hujalisahau hadi ukubwani?

    -Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa) -Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende kutembea nyakati za usiku hasa ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo. ( Pamoja na kuwa Baba wa familia...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 RC Simiyu amwita Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bariadi kusoma bibilia, maandiko ya Utiifu wa Mamlaka

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi alimwita mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Bariadi, Moga kusoma Maandiko yanayoelezea Utiifu wa Mamlaka katika Nchi Hayo yamefanyika Katika Kikao cha Kamati za Amani Viongozi wa Dini, Viongozi wa vyama vya Siasa,Viongozi wa Mila pamoja na Wananchi. Mkuu...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Kinondoni alimwa barua kwa Tuhuma za Usaliti, Kuhujumu Chama

    Tawi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kisutu, limeandika barua ya kutaka maelezo kutoka kwa mwanachama wake, Henry Kilewo, likimtuhumu kwa usaliti, kuhujumu shughuli halali za chama, na kuendesha kampeni za kuwashawishi wanachama kuhama chama chao. Katika barua hiyo iliyotiwa...
Back
Top Bottom