mwenge

Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:

Butunduzi
Katooke
Kyarusozi
Kyenjojo

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

    Kuna moshi mzito anga la Mwenge, Mawasiliano na Ubungo. Inasemekana Kiwanda cha Magodoro GSM kinateketea. --- Kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam kimeungua moto Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana kwa sasa. Soma >...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Benki ya Equity Mwenge ni kero kubwa kwa wateja

    Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mbio za mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 zaendelea

    Mbio za mwenge za Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 zilizinduliwa jana mjini Beijing.
  4. JamiiForums Tanzania NGACHOKA: Jina la Daraja 'Tanzanite' muonekano wa daraja kuna alama ya 'Mwenge'

    Habari ya mtandaoni kwasasa ni watu kupita na magari, bajaji, pikipiki, bodaboda katika daraja jipya la Tanzanite. Wapo wenye kuisifu Serikali ya Mama, Wengine wanamuenzi Magu, wengine wanalaumu kuwa kwanini lisingejengwa Jangwani n.k Mimi binafsi nimeshangazwa na mkinzano wa jina na...
  5. JamiiForums Tanzania Jengo lililotelekezwa Mwenge Stand ya Zamani lingeweza kupunguza hadha ya wamachinga wanaotaabika

    Wana JF Ukifika mwenge unaweza kustaajabu jengo lililokuwa linajengwa kwa kasi ya ajabu mwenge kutelekezwa baada ya kifo cha Hayati MAGUFURI huku wamachinga wakihaha kufukuzwa huku na kule, najiuliza hivi machinga wa kariakoo na karume ndio machinga mihimu tu, kwanini ndio wanaotoa jumuiko la...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Aliyeset taa za Ubungo kwa Mfugale kutokea Mwenge kwenda Kimara amechemka sana

    Hizi taa mwanzoni zilikuwa zinaruhusu sekunde angalau kuanzia sitini. Kwa sasa wameamua kuweka sekunde ishirini. Hii kwa kweli imerudisha foleni ya zamani. Sasa hivi foleni inaanzia njia ya kwenda UDSM. Huyu aliyeset hizi taa ana makusudi gani?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi baada ya wamachinga kufikuzwa mwenge wadada mnanunua wapi viatu vikali?

    Marry Christmas to you all, Sina mengii Ila napenda kufahamu baaada ya wamachinga kufukuzwa eneo la mwenge ,ni wapi wadada wanapata now viatu ,maana Mimi mwenge ndio Ilikuwa sehemu yangu pendwa
  8. JamiiForums Tanzania Sinza na Mwenge kuna matatizo makubwa sana

    Thread was deleted
  9. J

    JamiiForums Tanzania Suala la Wamachinga: Leo ni zamu ya Mwenge, SUMA JKT wamefanya usafi na kuondoa meza zote -- sasa panapendeza!

    Wale mliokuwa mnategemea kununua bidhaa ndogo ndogo kwa wamachinga pale Mwenge mjue leo ndio mwisho eneo lile limesafishwa na hapatakiwi kuonekana mtu yoyote anafanya biashara. Maendeleo hayana vyama!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mabanda ya Biashara Mwenge yaungua moto

  11. JamiiForums Tanzania Mwenge flyover ni mwisho wa matatizo. Ujenzi wake unaanza lini?

    Video kama hizi zilikuwa zinaleta hamasa kubwa sana na ikiketw fahari kuwa mTanzania , kwa sasa nchi imepoa sana. Anyway, ujenzi wa flyover ya Mwenge unaanza lini, maana hali ni mbaya sana, hapafai!
  12. JamiiForums Tanzania BAVICHA: Unamuenzije Nyerere huku unadhihaki Mwenge na Muungano

    Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere. BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai- CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Aliyepanga na kuamua sherehe za kuzima mwenge zifanyike kwenye tarehe ya "Nyerere day" ni nani?

    Mambo mengine yanakera!! Mwenge unaweza kuzimwa siku yoyote!! Kwa nini ipangwe kuzima mwenge siku ya kumbukizi maalumu ya baba wa Taifa?? Kwa nini zipangwe shughuli zingine za kiserikali katika siku ambayo ni Public holiday iliyotengwa kama siku ya kumbukizi ya baba wa Taifa? Dhambi hii ni...
  14. JamiiForums Tanzania Tunangojea mbio za mwenge kubaini Sh. 63bil zimeibwa?

    Waliogundua kuwa 63 bil zimeibwa kwenye miradi angeweza kugundua hivyo mapema hata bila mbio za mwenge. Kuna ushahidi uliothibitika kuwa mbio za mwenge ni uchochoro Mpana unaopitisha: 1. Ulaji wa fedha za umma 2. Maambukizi ya HIV na magonjwa ya ngono 3. Kipimdupindu na typhoid kutokana na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwenge wabaini ufisadi wa TZS 65B kwenye miradi 49 ya halmashauri 38 Je, nini kitaendelea?

    Mwenge wanusa harufu ya rushwa na ufisadi kwenye miradi 49 kati ya miradi 1,097 yenye thamani ya 1.2trilioni iliyozinduliwa | TZS 65b zahofiwa kutafunwa na mchwa,Je ni kweli Mwenge haufai? mnaosema Mwenge hauna faida hamfai kuchaguliwa hata kwenye jitongoji tu, " Chato tunasema Asante "...
  16. JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi afunguka kuhusu Mbio za Mwenge, Rais Samia anaendeleza walichoasisi

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Watanzania katika kuzima Mwenge wa Uhuru pamoja na maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka 22 ya Kifo cha Mwalimu Julius Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana, halfa zilizofanyika kwa pamoja mkoani Geita. Mbio za Mwenge wa Uhuru ni utaratibu ambao umekuwepo nchini...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ashiriki katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Mwalimu Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika kilele cha mbio maalum za mwenge wa uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere katika uwanja wa Magufuli - Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Oktoba 2021.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mbio za 29 za mwenge wa Uhuru kumaliza siku 150 na wilaya 150 kesho Wilayani Chato | Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mgeni rasmi

    Mwenge wanusa harufu ya rushwa na ufisadi kwenye miradi 49 kati ya miradi 1,097 yenye thamani ya 1.2trilioni iliyozinduliwa | TZS 65b zahofiwa kutafunwa na mchwa, " Chato tunasema Asante " Mtakumbuka Mwenge wetu wa Uhuru uliwashwa rasmi tarehe 17|05|2021 Makunduchi Zanzibar na leo tarehe...
  19. JamiiForums Tanzania Kalemani: Mwenge haujawahi kuzimiwa kwenye wilaya hii ni mara ya kwanza Chato

    Huwashwa Mkoani na kuzimwa mkoani. Amesema Kalemani na kudai kuwa hii ni fursa kubwa kwa Chato. Hivyo Chato kama wilaya imepata fursa kubwa sana kwa mwenge kuzimwa hapa wilayani Chato.
  20. JamiiForums Tanzania Biblia imetamka laana Kali sana kwa wanaofanya Ibada za mwenge

    Mwenge ni mungu wa Tanzania Ndio maana wanamuomba alete Amani na kuna sala maalum huitwa sala ya mwenge. Hebu tuone kitabu cha Isaya 50:11 unavyosema. Kumbe ndio maana tuna utajiri mkubwa wa rasilimali na mali zetu zinaliwa kirahisi na wageni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…