1. Nimekuja kwenye jiji lenu inanishangaza sana ndani ya njia ya mwendokasi kuna pikipiki, kuna magari ya watu binafsi balaa nashangaaa polisi wanashindana na raia kuzuia watu sasa ina maana gana ya kuwa na sheria ?
ADVICE
1. itungwe sheria ndogo tu ukipita tu chombo kitaifishwe, na ikitokea...
Habari zenu wana Jamii
Kuna fursa kubwa inaonekana ipo kwa serikali au private sector kuwekeza na wananchi wakanufaika. Ukiangalia huwa kuna space kubwa na pana inapatikana juu ya Barabara za mabasi ya mwendo kasi plus zile Barabara za njia mbili kila upande za kupita magari ya kawaida.
Sasa...
Aisee najua watz wengi wenye maisha ya kawaida hutumia usafiri huu ili kupunguza gharama za maisha. Njia ya Kivukoni - Kimara ina bajaj lakini bado mwendo kasi ni vita ya kufa na kupona ambapo hali hii sio tu ni madhara kwa watumiaji bali pia kwa magari yenyewe na miundombinu.
Inaonekana kabisa...
Habari Tanzania !
Nawaomba sana maana kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri wa Umma Mkoa wa Mwanza.
Mwanza ya sasa sio ile ya zamani; maana kuna idadi kubwa sana ya watu na watu wanateseka kwa usafiri maana mwendo kasi vyombo vya usafiri ni mdogo na vyombo vingi ni chakavu sana.
Wenye...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba Hampfrey Polepole juzi katika taarifa yake ya mwisho aliongelea jeshi la polisi wanavyomhitaji kufika ofisi ya DCI kwa ajiri ya kutoa maelezo juu ya tuhuma ambazo alizotoa katika taarifa zake ambapo aliwajibu kwa kuwaambia kuwa yupo tayari kutoa ushahidi...
Huduma ya mabasi ya mwendokasi iliyotarajiwa kuanza leo Septemba Mosi, 2025 katika barabara ya Mbagala, imesogezwa mbele ikiwa ni sababu ya kutokamilika kwa miundombinu muhimu kama mageti janja na kituo cha kujazia gesi.
Akizungumza lna gazeti la Mwananchi leo Jumatatu, Septemba mosi 2025 ...
ukiangalia hii dhana ya mradi wa DART utaona ni dhana sahihi kutatua tatizo kubwa la usafiri wa umma katika jiji la Dsr es Salaam. Dhana ya bus transit sio ya zamani imeanza mwishoni mwa miaka ya 1990. Miji ya kwanza kujengwa rapit transit ilikua kule amerika ya kusini Curitiba Brazil na Bogota...
Watu wangu acheni kulalamika ovyo, hii SGR si daladala ya Mbagala! Mkurugenzi kaamua kuweka viwango kama vya Ulaya, siyo za 'vipeto vya mahindi' wala kuku kubebwa.Kama unataka kubeba kila kitu, panda gari lako bwana au panda shabiby kuna uzi mtu huma analalamika ku rap mzigo sasa nani ataka...
Huu Usafiri wa Mwendo kasi ndo wakijinga namna hii.
Nipo kituoni Fery Toka saa 8 mpaka sasa hivi imekuja gari Moja Tu.
Kumbe huu Usafiri hauna uwakika Hata kidogo.
Nimejuta kukata tiketi mara Nyingi huwa matumia kibaskeli Changu Leo nimejichanganya.
Kuwekwe kiwango fulani cha tozo kwa Gari binafsi kwa wale wanaotaka kutumia miundo mbinu hiyo ili kukwepa kero sugu ya foleni ya jijini Dar.
Mathalani waweza kuchaji Gari dogo shilingi elfu hamsini kutokea Kariakoo au Ferry mpaka Mbezi au Kibaha au Chalinze siku wakifikia huko.
Naamini kabisa...
Kuna Crisis ya makusudi kabisa inatengenezwa na Wahusika wa Mradi huo wakishirikiana na Wamiliki Binafsi wa Magari watoto Huduma za Usafiri !!.
Ila Kukomesha Uhuni huo, ambao ni pamoja na Uharibifu wa Magari Kwa njia za Kihuni , JWTZ lipewe Fursa hiyo!!
Naamini kupitia JWTZ
Huduma...
Nchi hii ni ya maajabu sana, ukipita pale mwenge junction, utakuta kuna kituo cha mqendokasi kila upande kinajengwa.
Kwa utalaam wa ujenzi, unatakiwa kuondoa vitu kama stand au masoko karibu na junction.
Imekuwaje tanroad wameamua kujenga vituo vya mqendo kadi mita chache kutoka junction...
Wamesitisha matumizi ya ticket kwa watu wazima mpaka uwe na card halafu upatikanaji wa card ni Gerezani na kimara.
Kwamba mtu atumie usafiri mwingine kufika gerezani kutoka anakotoka ama kimara kupata card tena arudi alikotoka ama aende anakoenda?
kwanini hizo card zisipatikane katika kila...
Hakika kazi imeendelea.
Leo muda wa Mchana wa Saa nane Tanzania imeendelea kuweka historia.
Treni ya mwendokasi maarufu kama S.G.R imeanza kutoa huduma za kubeba mizigo.
"Kila mwendo unaoulazimisha hubeba mizigo ya wengine, si ndoto yako. Epuka kuishi kwa kasi ya matarajio ya watu, ukasahau mwito wa dhamira ya akili yako." — Alloyce, P.R.
Narudia Tena:
Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania
Kama serikali inaweza kusimamia
Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..?
Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?!
Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya...
Muda huu natoka darasani hapa DIT nimeshuhudia basi la mwendo kasi la Kutoka Morocco kwenda kivukoni(Kipisi) taa za mbele na nyuma haziwaki kasoro moja ya nyuma kushoto (ukilitazama basi kwa nyuma),
Hii ni hatari sana,kwa waenda kwa miguu hasa wenye matatizo ya macho na hata abiria,dereva na...
𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗔 𝗕𝗔𝗡𝗗𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜
Hatimaye zimewasili Dar es salaam
Scania Marcopolo Viale zinatumia gesi
Cc [VALERIAN BANDA]
Kwa ajili ya mradi wa mwendokasi
𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂
#TanzaniaBuses #SafariBora #BusService #alltanzaniabuses #atbupdates #ATBsnap
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.