Habari wana JF,
Mimi ni software engineer mwenye uzoefu, na nina ham kubwa ya kuingia kwenye ujasiriamali wa kiteknolojia – hususan kutengeneza mifumo inayotatua changamoto kwenye jamii yetu.
Miezi michache iliyopita nilisafiri kwa mara ya kwanza kwa kutumia SGR, na kwa kweli experience...