mwanzilishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Historia adhimu ya baba wa Taifa la Zanzibar, Mwanzilishi wa Taifa huru Field Marshall John Okello. Akumbukwe

    MWANAMAPINDUZI JOHN OKELLO John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Lang'o ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte. Alizaliwa akiitwa John Gideon Etuku. Wazazi wake walifariki Akiwa bado mdogo na kulazimika kwenda...
  2. Huihui2

    Je Chung Ju Yung, mwanzilishi wa Hyundai aliyeuza ng'ombe mmoja wa baba yake ili kupata nauli ya kuhama Korea Kaskazini

    Chung Ju Yung: Mwanzilishi wa Hyundai na Mfano wa Mafanikio Je Chung Ju Yung (1915–2001) alikuwa mfanyabiashara wa Korea Kusini ambaye alibadilisha historia ya uchumi wa taifa hilo kupitia uanzishaji wa Hyundai Group. Anaenziwa kama moja ya nguzo muhimu za “Miracle on the Han River”—kuinuka kwa...
  3. D

    Huyu ndiye mwanzilishi wa kutekana na siasa chafu bongo, alijipenyeza kwa watawala kama mshenga (chawa) akaukamata moyo wa mfalme kwa ushauri wa hovyo

    Ndugu zangu tegeni masikio hapa! Katika enzi za mfalme mwenda zake! Kuna kijana aliibuka kama chipukizi kutoka umoja wa vijana! Kijana yule ni moja ya vijana wanaojua sana kujipendekeza! Ni kijana ambae ukimpa nafasi tu atatumia kila mbinu ili aonekane yeye ni bora zaidi kuliko wengine...
  4. Hismastersvoice

    Swali kwa msajili wa jumuiya za kiraia Je, muanzilishi wa kanisa akifariki kanisa litafutwa?

    Baba msajili wa makanisa hebu tueleweshe kuhusu hili. Endapo mwanzilishi wa kanisa amefariki je, kanisa litafutwa?
  5. M

    MBOWE NI BABA NA MZEE NA MWANZILISHI WA CHADEMA ALIYEBAKI ATOE KAULI

    Nimemsikiliza kwa kina BONI YAI hoja zake ni za msingi sana na kwa kweli zimetufungua macho ila nilikuwa naomba Mbowe atoe kauli na kuwashauri walioondoka warejee Chadema. Awepo Lissu na Heche Mzee kwa heshima aliyebaki ndani ya chadema pamoja na wengine ni Mbowe. Huyu siyo wa kuondoka Chadema...
  6. K

    Natafuta Co-Founder wa mfumo wa Kisasa wa booking kwa usafiri wa SGR (Train Booking App)

    Habari wana JF, Mimi ni software engineer mwenye uzoefu, na nina ham kubwa ya kuingia kwenye ujasiriamali wa kiteknolojia – hususan kutengeneza mifumo inayotatua changamoto kwenye jamii yetu. Miezi michache iliyopita nilisafiri kwa mara ya kwanza kwa kutumia SGR, na kwa kweli experience...
Back
Top Bottom