mwanasheria mkuu wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    PostGE2025 Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba Levo latupiliwa mbali, Kesi ya Uchaguzi

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, na hivyo kufungua rasmi mlango wa kusikilizwa kwa ushahidi katika shauri la uchaguzi la Jimbo la...
  2. Heparin

    PostGE2025 TLS yawashtaki IGP, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kufuatia amri ya kutotoka nje Oktoba 29, 2025

    Kesi hii imefunguliwa na TLs kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar (Dar es Salaam Sub-registry) kupinga uhalali wa amri ya kutotoka nje (curfew) IGP Wambura tarehe 29 Oktoba 2025, ambayo baadaye ilifutwa na Rais tarehe 3 Novemba 2025. TLS wanaiomba Mahakama itamke kwamba amri hiyo...
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Rais Samia ni chaguo la walio wengi

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, amesema mchakato wa kidemokrasia umeonyesha kwa dhahiri kuwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni chaguo la walio wengi katika nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo leo tarehe 13 Novemba, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati...
  4. McLaren

    PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

    Wakuu, Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi. ---------------------------- Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
  5. PAYE

    Hamza Johari aapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Rais Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 5, 2025, amemuapisha Hamza Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uapisho huo umefanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali. Hamza Johari aliteuliwa na Rais Samia kushika wadhifa huo Novemba 3, 2025. Kwa...
  6. PAYE

    Rais Samia kuendelea na Hamza Johari kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Amemtea tena leo kushika Wadhifa huo

    Tangazo kwa umma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bw. Hamza Saidi Johari ataapishwa kesho kutwa Jumatano tarehe 5 Novemba, 2025 saa 4:00 asubuhi Ikulu Chamwino, Dodoma. Imetolewa na...
  7. Pfizer

    Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali waridhishwa na kasi ya utekelezaji bwawa la kidunda

    Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la Kidunda, mkoani Morogoro huku ikisema wana nafasi ya kushauri na kusaidia mambo mbalimbali yakiwemo ya kimkataba. Mradi wa Kidunda unagharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 335, unatarajia kukamilika ifikapo Juni 2026...
  8. DuaZaMama

    GE2025 Kesi ya Kikatiba dhidi ya Tume huru ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuendelea leo Septemba 3,2025

    Chama cha siasa cha ACT Wazalendo kimetangaza kuwa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali itaendelea kusikilizwa leo, tarehe 3 Septemba 2025, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma.Kesi hiyo, namba 21692 ya mwaka 2025...
  9. Roving Journalist

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Watumishi acheni kuvujisha siri za Serikali, ni sawa na kujipiga risasi ya kwenye moyo

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa ofisi yake ya Mwanasheria mkuu wa Serikali itawafuatilia watumishi wenye tabia za kutoa Siri za Serikali na wenye tabia za uongo Mhe. Hamza ameyasema hayo Leo Agost 18,2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza kwenye Baraza la wafanyakazi...
  10. Carlos The Jackal

    John Heche usijichoshe na Mahakama ambazo, Waziri Bashungwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali walishazipa Maelekezo !

    Wanazi hawana mpango wa kutoa haki kupitia Mahakama , ingekua hivo Kesi ya LISSU ingekua tayari Mahakama Kuu . Ingekua hivo ,huyo Muhuni angekua keshajutoa kwenye Kesi. HECHE HECHE HECHE, nmekuita mara tatu, Hamna Chama Cha Siasa Cha Upinzani Barani Afrika ambacho Uhai wa MAISHA YAKE...
  11. Lord Denning

    Maswali yangu kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kikwete

    Naona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika. Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani...
  12. Waufukweni

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari awasilisha muswada wa marekebisho ya Sheria Tisa (9) Bungeni, agusa Bandari na Uhujumu Uchumi

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni 5, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. Aidha mara baada ya kuwasilisha maelezo hayo, Mjumbe wa Kamati ya...
  13. D

    Mfahamu Hamza Johari kwa jambo moja kabla ya kumfahamu kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Jambo moja ama mawili: 1. Hamza Johari ni Mzanzibari, na amefundisha Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) na baadaye akawa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA). 2. Hayo mawili ya juu siyo muhimu. Jambo kubwa kumhusu Hamza Johari ni kuwa huyu ndo binadamu aliyesimamia...
  14. Dr Akili

    Mawakili wote ni wafanyakazi wa mahakama. Huteuliwa na kutenguliwa na serikali (mahakama). Mwanasheria Mkuu wa serikali ni bosi wao

    Hao akina Kibatala na wenzake wanaomtetea Tundu Lissu wameambiwa na Mwanasheria Mkuu wa serikali kuacha uwongo na upototoshaji kuhusu mahakama mtandao. Kumbuka mawakili wote ni maafisa wa mahakama na huteuliwa na serikali. Mamlaka yao ya uteuzi na utenguzi ni Jaji Mkuu. Mwanasheria Mkuu wa...
  15. Carlos The Jackal

    Mtazameni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ambaye hata hajui Kanuni za Usikilizwaji kesi Mtandaoni zilitungwa kufuatia Janga la COVID-19

    Msikilizeni hapa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Alafu ujiulize, wanapataje hivi vyeo?? Yaan ilimradi wewe ni CCM, unajua kulipoka imeishaaaa Hawa watu kweli ndio walosoma Vyuo vikuu vya Sheria, walivyosoma Akina Lissu , Nshalla?? Mbona kama ni Mbingu na Ardhi?. Ama kweli, intelligence ni...
  16. Lord Denning

    Kwa maelezo ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bungeni, Maamuzi ya kusikiliza Kesi ya Lissu kwa njia ya Mtandao yanafanywa na Serikali na sio Mahakama

    Kila siku huwa nasema, Viongozi vilaza tunaopatiwa na CCM na mifumo yake ndio wanaolighalimu hili Taifa na hadi sasa linakufa Watanzania tukishuhudia kwa macho yetu. Kwa akili ya kawaida tu bila hata kusoma Sheria, huwezi tegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuzungumzia suala la kesi ya Tundu...
  17. chiembe

    Mwanasheria Mkuu wa serikali aingilie kati, haiwezekani kila ardhi yenye hati, kesi yake ifunguliwe Mahakama Kuu, hatuna nauli kuja mjini

    Nadhani mwanasheria Mkuu wa serikali ayaangalie mapungufu katika ofisi ya wakili Mkuu wa serikali. Kama mwendesha mashtaka wa serikali (Dpp)anaweza kuendesha mashtaka mpaka mahakama ya wilaya au ya mwanzo, na wana ofisi huko, kwa nini hawa wa Wakili Mkuu wa serikali sheria isiweke utaratibu...
  18. Waufukweni

    LGE2024 DODOMA: Mwanasheria Mkuu wa Serikali apiga Kura Ilazo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Hamza Johari amepiga kura katika eneo la llazo jijini Dodoma Amepongeza Waandaaji na Waratibu wa Uchaguzi kwa mpangilio mzuri uliopo kwenye vituo unaofanya watu watumie muda mfupi katika zoezi la kupiga kura.
  19. Z

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali; zoezi la kutafasiri sheria zote kwa lugha ya Kiswahili kukamilika mwezi Novemba.

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024. Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
  20. J

    Mwanasheria mkuu wa Serikali ameapa kiapo cha uaminifu Bungeni

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ameapa kiapo cha uaminifu bungeni leo Agosti 27, 2024. Ameapa mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, katika kikao cha kwanza cha Mkutano wa 16 wa Bunge. Hamza aliteuliwa na Rais, Samia Suluhu Hassan kushika...
Back
Top Bottom