mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Pale mwanamke anapodhani kanizidi akili kwenye mahusiano

    Sijue huko kwenu vipi lakini mwenzenu ninayokutana nayo sio mepesi, lakini kwasababu mimi ni mtu makini huwa nafanikiwa kutoka, si Rahis ni mkono wa Mungu tu 😁 Ndani ya kipindi kifupi nimedate na wasichana watatu wa hovyo, unajua kuna vitu huwezi elewa wala kueleza hadi ukutane navyo upate...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa huna hela usipende chatting ndefu na mwanamke

    Nakusanua mwanaume mwenzangu Kama huna hela usipende sana kuchati mara kwa mara na mtoto wa kike Sina maana usiwasiliane na mpenzi wako lahasha ila hii itakusaidia kukwepa vizinga vya hapa na pale Siku ukiwa vizuri financially hapo sasa unaweza kuchati as you wish ila kama huna kitu jitahidi...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwa sababu za kiuchumi

    Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwasababu za kiuchumi alafu unaanza kulalamika na kulialia eti mke wangu kanikimbia!!! Ulitaka afanyeje? Mti ukimea kando ya kijito cha maji jani lake litakuwa bichi na utazaa matunda yake kwa misimu yake yote. Lakini pindi kijito kikikauka uwe na...
  4. JamiiForums Tanzania Najuta kuoa huyu mwanamke! Kununua, kususa na ujeuri juu

    Zamani wakati nakua niliambiwa Wanawake kutoka kanda ya ziwa Ndiyo Wanawake wenye heshima kwa Hii Tanzania hususani kabila la Fulani Fulani la hayati kumbe bwana sio nilikuwa najidanganya tu.Hili kabila la former mkuu wa majeshi Wanawake zao ni jeuri na wana hasira Za kufa mtu aisee Kwanza...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke nimtafute tena au nibwage?

    Kwema wakuu, kama mada inavojieleza kuna mdada nilikutananae wiki iliyopita kwa kifupi nilimwelewa nikamwomba namba akanipa tukayajenga fresh akakubali baada ya hapo nikaomba nionane nae sehemu mida ya jioni nikamnunulia nyama za kuku nikatoa noti ya af10 nikalipa. sasa yule demu baada ya kuiona...
  6. JamiiForums Tanzania Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  7. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuwa mwanaume na mwanamke wenye damu zenye chaji tofauti +ve na -ve hawawezi kupata mtoto?

    Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya. Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
  8. JamiiForums Tanzania Ewe kijana wa kiume wakwe zako wa leo ndio maadui zako wa kesho baada ya ndoa hivyo ishi nao kwa akiri

    Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache 1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
  9. JamiiForums Tanzania Nikilala na mwanamke ananing’ang’ania sana

    Habari zenu Waungwana kuna issues moja inanitesa sana, mara tu ninapofanya mapenzi na mwanamke yoyote yule, lazima mwanamke huyo avutie na mimi hata kama tulifanya bahati mbaya, ataanza kunipenda na kunionea wivu, wanawake 7 sasa niliowala kibahati mbaya wananing’ang’ania sana sasa sijui shida...
  10. JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke kisa nimemzalisha

    .
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye sifa hizi, muda wako wa kukutana na mwenza wako umefika

    Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweupe Umri Kuanzia miaka 20-27 Dini Mkristo (Msabato) Kabila Msukuma ( hasahasa Mnyantuzu), Muha au Mhehe. Elimu Diploma/ Degree SIFA ZANGU Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweusi  Umri Miaka 28  Dini Mkristo (Msabato)  Kabila Msukuma (Mnyantuzu)  Elimu Diploma Kazi...
  12. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu vya maarifa kwa Mwanamke

    Habari rafiki. Naitwa Eva Mrema. Ni muelimishaji, kungwi na muandishi. Nakuletea ofa kabambe. Vitabu hivi viwili vya maarifa kwa mwanamke vinauzwa elfu 20 hardcopy. Lakini kutoka kwenye uzi huu utavipata kwa elfu 16 tu. SOFTCOPY utapata kwa elfu 3 tu, badala ya elfu 5. Karibu sana...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni chombo

    1 Pet 3:7 1 Petro 3:7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe. Kadhalika nanyi waume, katika kuishi na wake zenu mnapaswa kutambua kwamba wao ni dhaifu na...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu vipandikizi vya uzazi kwa mwanamke (Kijiti)

    Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa Je anaweza kupata mimba mara baada yakukitoa ama atasubiri mpaka miaka hiyo mitano (5) ifike
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume, usifanye mambo ya kijinga ukiachwa na mwanamke. Ishi maisha yako na usonge mbele

    Wanaume wengi huchanganyikiwa kwa sababu tu mwanamke huachana nao. Hii inasababisha wanaume: - Kunywa pombe na kulewa, wengine wanatumia dawa za mitishamba na kichawi kwa lengo la kumpata. - Wanapoteza mwelekeo wa maisha na kuanza kutokuwa na tija, kwa sababu ya kuvunjika moyo wengine...
  16. JamiiForums Tanzania Ni bora mwanaume anaekwenda kucheat na akarudi nyumbani. Kuliko mwanamke anayekufanyq ulee watoto ambao sio wako kwa maisha yako yote bila kujua

    This weekend nililetewa kesi moja ya mahusiano kuitatua. Wakati wa maongezo niligundia jambo ambalo lilinifanya niwaze na kujiuliza "Je si ni bora kuishi na mwanaume mchepukaji ila anahudimia familia yake kumjali, kumheshimu na kumpenda mke wake kuliko kuishi na mwanamke anayekufanya ulee watoto...
  17. JamiiForums Tanzania Huwezi lazimisha Mwanamke akuheshimu, Mwanamke anamheshimu mwanaume anayempenda

    HUWEZI LAZIMISHA MWANAMKE AKUHESHIMU, MWANAMKE ANAMHESHIMU MWANAUME ANAYEMPENDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi hudhani kúmpiga Mwanamke ndio humfanya Mwanamke awe mtiifu na mwenye heshima. Wengine huwafokea na kuwatukana na kuwatolea maneno makali kwa kudhani kufanya hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke tajiri kuwahi kutokea dunia, aliyeyesifika kwa ubahili ulio tukuka

    Jinsi Hetty Green Alivyokuwa 'Mwanamke Tajiri Zaidi Nchini Amerika' Wakati wa Enzi ya miaka ya dhababu "GILDED AGE" Akiitwa "Mchawi wa Wall Street," Hetty Green alikuwa mmoja wa watu tajiri zaidi nchini Marekani mwanzoni mwa karne ya 20. Katika karne ya 19 nchini Amerika, ukuaji wa viwanda...
  19. JamiiForums Tanzania Usisamehe mpenzi msaliti KAMWE!

    Kuna mwana, alizifuma text za mke wake zilizoonesha dhahiri shahiri ametoka kuliwa dodo siku za karibuni nyumba ya wageni, mwana kaomba kila mtu ushauri wengi walimpa ushauri kuwa asamehe walee watoto hayo mambo yapo blaa blaaa kibao. Alipo fika kwangu sikua na maneno mengi nikamwambia piga...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume wanne wamcharaza mwanamke viboko kisa dini

    Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye. Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa dini Hizi laana zitakuja kuwatafuna brazaj === Ujumbe: Video imeondolewa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…