mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukimtumia mwanamke wako hela akahoji kua ni kidogo pasi na kushukuru rudisha huo muhamala mtumie mama yako

    Ndugu zangu salaam sana Katika harakati za dunia tunafahamu fika jukumu la mwanaume ni kutawala, kutunza na kuongoza kile kilicho mali yake ikiwemo mwanamke wake Kupitia jukumu hili kubwa wanaume tulilopewa wanawake wamegeuka kuwa chuma ulete na wanyonyaji kupita kiasi kwa wanaume kwa kivuli...
  2. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuendelea kuishi na mwanamke wa namna hii ?

    Mimi ni kijana nimeoa Kwasasa Nina mwaka mmoja toka nioane na mke wangu na tumejaliwa kupata mtoto ana miezi miwili. Lakini pamoja na hayo Kuna kitu Nilikuwa nashindwa kuelewana na mke wangu Nilikuwa Niki sex naye naona reaction ya mwenzangu ni kama mtu ambaye hayuko pamoja na mimi ananipa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mpenzi wangu ni noma

    Wazee siongei sana lakini kifupi huyu ni mpenzi wangu anafanya kazi ofisi flani hapa mjini ni kampuni binafsi. Mpka tunakubaliana kuanza mahusiano sikujua kama ni afisa ubashiri mbobezi (mbetiji) sasa tuna kama miezi kadhaa wazee huyu mtu anabet ni mwisho na anakula sometimes mikeka inachanika...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke mpole na mtulivu sana

    Niliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mwanafunzi mmoja—mpole, mkimya, hana makuu, hanywi pombe, haendi out, ni mtulivu sijapata kuona. Ni Mkristo, lakini huvaa ushungi kila siku, na darasani alikuwa wastani tu. Alimaliza na alipata kazi mji huohuo aliposomea. Baada ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume hivi ndivyo namna ya kudili na mwanamke mwenye drama

    Wanaume wenzangu ebu tupeane ramani ya kudili na wanawake wenye drama,maana wengi wetu mnakufa kwa presha wakati familia zina wahitaji Wanawake wana namna nyingi sana za kuwachanganya wanaume,ikiwemo kutaka kukufanya ujisikie wivu mnapokuwa public kwa kujiweka karibu na wanaume wengine,au wana...
  6. JamiiForums Tanzania Baba yangu alipomuacha mama akatafuta mwanamke mwingine nilimchukia sana wakati ule,hivi Sasa ndiyo naelewa

    Nisamehe sana baba ,wakati ule nilikuwa bado mdogo sikujuwa jambo lolote! Wakati tunakuwa Mimi na ndugu zangu tulikuta mzee (baba) ameacha na mama,binafsi kwakuwa nilikuwa Nina shinda na mama yangu mara zote,alikuwa akiniambia mambo mengi ya ovyo kuhusu Baba yangu Baba yangu yeye hajawahi...
  7. JamiiForums Tanzania Moyo wa mwanaume unapenda mwanamke mmoja tu

    Moyo wa mwanaume unapenda mwanamke MMOJA TU, lakini hizi filimbi zetu huku chini ndio zinatamani Kila mwanamke 😂😂😂😂😂😂😂
  8. JamiiForums Tanzania Tulia na mwanamke ambaye tayari ana vigezo unavyovitaka

    Unataka mwanamke mwenye kipato tafuta mwanamke ambae tayari ana biashara au ajira. Unataka mwanamke msomi, tafuta ambae tayari kashasomeshwa na wazazi wake mpaka level ambayo yeye anaitaka Usiwe mjinga kumwezesha mwanamke kwa matumaini kwamba atakua mkeo pale atakapokua na status anayoitaka...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke auawa kwa kukatwa na Panga, akatwa titi, akatwa sehemu za Siri.

    Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini uvaaji wa mwanamke una maslahi kwa watu wengi na kelele nyingi sana kuliko wa mwanaume?

    Hawa wako kifua wazi kabisa lakini haijawa habari iabisa hata hapa Daslamu, ikitokea mwanamke maarufu ametokea hadharani na brazia nchi inaweza kusimama! Tuache double standards.
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wote kuweni makini sana Mwanamke anapokuambia haya maneno kuwa anahitaji Care, Attention, Support na Honesty, kwani humaanisha hiki kifuatacho

    Wanachokimaanisha hapa hawa Wanawake si hasa hayo Maneno Manne tajwa hapa katika Kichwa changu cha Habari bali ukitaka kujua / kukijua kile wanachokimaanisha hasa nakuomba chukua kila Herufi za mwanzo za hayo maneno yaani katika Care chukua herufi ya mwanzo ya C, katika Antettion chukua herufi...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi/mchumba mwanamke

    .
  13. JamiiForums Tanzania Mambo ya kufahamu kuhusu past ya mwanamke na future ya mwanaume

    Kabla haujasoma, kama unajijua una Low IQ, pita tu kaendelee kuangalia picha za ngono, maana hii inahitaji watu wenye high IQ pekee kuona na kuelewa ninachozungumza. Maana najua comment yako utayoiachia na utapoteza muda kwa watu wanaotaka real conversation to happen. Now. Jambo kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke Mwenye Hekima: Siri ya Kuijenga Au Kuiangusha Nyumba Yako Katika Mahusiano!

    Katika mahusiano, mwanaume amebebeshwa mzigo mkubwa wa majukumu na matarajio, ambayo kwa kiasi kikubwa yamejengwa na miiko ya kijamii na tamaduni zetu. Kwa mfano, jamii inamtegemea mwanaume kuhakikisha makazi yapo (swali la kwa nini hajajenga linaelekezwa kwake, tofauti na mama mlezi anayeweza...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke kufika kileleni

    NIGHT MOOD THREAD. Mwanamke kufika kileleni(kukojoa kojo Zito jeupe) ni kitu kitamu zaidi ambacho mwanamke anaweza kupata katika ulimwengu huu mpana na mzuri, na hufanyika ndani ya sekunde chache tu wakati wa kujamiiana, na bado ni wanawake wachache tu wanafika kileleni. Hapa kuna vidokezo vya...
  16. JamiiForums Tanzania Muogope sana mwanamke, ishi nae kwa akili usiteketee!!

    Kuna Cha kujifunza hapa
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaweza kataa kudate na mwanaume anayeishi kwa mama yake....

    Mwanamke anaweza kataa kudate na Mwanaume anayeishi kwa Mama yake, Lakini yuko tayari kudate na Mwanaume anayeishi na mke wake.
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu MNAWEZAJE kutulia na Mwanamke mmoja?

    KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa. Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

    Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar.... Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya. Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume. Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Usimpe mwanamke nafasi ya kuongea/kujitetea

    Haya ni maneno yanayojirudia sana kichwani kwangu baada ya kuambiwa na mwanamke anayejiweza kwa IQ na EQ miaka kadha iliyopita.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…