mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Nini chakufanya kwa mwanamke ambaye anataka kutawala mwanaume kwasababu ya ngono

    Habari zenu wapendwa Naombeni ushauri juu ya hali hii ambayo kidogo inanipa stress Mimi nikijana nimeoa na nina mtoto mmoja Lakini kuna hali fulani ambayo mke wangu anayo Hali hiyo ni kutaka kunitawala kupitia madhaifu yangu Amegundua kuwa ninapenda sex sana na ameanza kutumia njia hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujua Kama Mwanamke Anakupenda au Hakupendi

    Dalili za Mwanamke Kukupenda Anaonyesha Kupenda Kuwepo Karibu na Wewe Atafurahia kutumia muda na wewe, hata kama ni kwa mambo madogo kama kupiga stori au kushiriki shughuli zako. Hutafuta sababu za kuwasiliana, kama vile kutuma ujumbe au kukuuliza maswali yasiyo ya lazima ili tu muendelee...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mwanamke 35-45 years

    Habari, natafuta mwanamke wa umri 35-45 , kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi na si ndoa. Niko Dar es salaam. Karibu tupate muda wa kufurahia maisha pamoja. Usiwe tegemezi!
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye hekima hamwambii Mwanamke wake haya mambo mawili

    Maexpert wa kiume nawapa mchongo ambao wanaume wenye hekima tu ndio wanaielewa hii code Mosi, mwanamke wako hatakiwi kujua hisia zako za ukweli kabisa,yes you heard me! Fanya utakavyo fanya na ishi naye utakavyo ishi naye lakini mwanamke wako anatakiwa asikujue kabisa wewe ni mtu wa namna...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

    Tulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi, Wakati namtongoza nilimwambia najitafuta, akakubali maisha yangu, yeye akawa anafanya biashara ya kuuza duka la perfumes mainly (na cosmetics nyingine kwa ujumla) Tumeishi kama miaka miwili kipindi hiko chote nilikuwa nampromise...
  6. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Mwanamke mmoja ametapeliwa mamilioni ya pesa baada kumuacha mume ili aoane na mtu aliejifanya kama Brad Pitt mtandaoni

    Mwanamke mmoja Mfaransa alitapeliwa zaidi ya $800K na mtu aliyejifanya kuwa Brad Pitt. Walikutana na tapeli huyo Instagram na kumshawishi kwa video na picha zilizohaririwa na kuzalishwa na AI Tapeli huyo alimshawishi kuwa akaunti zake za benki zilifungwa kwa sababu ya talaka yake na Angelina...
  7. JamiiForums Tanzania Usiingie kwenye mahusiano na mwanamke wa mtaa unaoishi

    Mwenye sikio na asikie 😁😁😁😁😁😁
  8. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanamke wa kuzaa nae tu!

    Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo: 19 to 32 years Mweupe na beautiful Mrefu kiasi Sio mnene wala mwembamba sana Mwenye dimpoz Awe tayari kushiriki tendo Mwenye kujua kulea mtoto Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3...
  9. JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke aliemaliza chuo kikuu ni sawa na kutumia kondomu iilitumika na mtu mwingine

    Wanachuo wanatumika zaidi ya madada poa ni wajuaji, wabishi na wajeuri now days wanajiita feminist ni uchafu mtupu. Ona Binti wa kidato Cha nne au aliemaliza darasa la Saba inatosha. Utapata mke wa kulea watoto wako na kupata malezi Bora Wanachuo wa kike ni takataka
  10. JamiiForums Tanzania Nyuma ya kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke anayemsukuma!

    Wakati kundi la watalii lilipotembelea shamba la mamba, mmiliki wa eneo hilo alizindua shindano la ujasiri, kwa kuwaambia wageni waliohudhuria kwamba.. "Yeyote anayethubutu kuruka, na k kuogelea hadi upande wa pili wa ziwa lile lenye mamba na kusalimika kuliwa au kujeruhiwa atampa $ 1,000,000...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kukutana na mwanamke anaeteseka na sonona kwa sababu amekeketwa bila hiari yake?

    Tuanze na wanawake wa Mikoa kama Manyara, Singida, Mara, Kilimanjaro, Arusha na Dodoma. Makabila Wambulu, Wamangha'ti, wagogo, wanyaturu, wakurya, wajaluo wajita, wanyiramba, wapare, wachagga, wamaasai, Wambugwe, Wadatoga, wasonjo etc. Karibu kwa wenye visa kadhaa kuhusu kadhia ya sonona za...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Utamuweza vipi mwanamke wa namna hii?

    Ukiangalia bila kutafakari unaweza kuchukulia poa sana lakini ukweli ni kwamba mwanamke wa namna hii ukimuweka ndani lazima UTAIMBA WIMBO MPYA KABLA HUJAFIKA MBINGUNI. Hapa unashindwa kuelewa kwanini huyu mwanamke katoa nywele zake nzuri na kuweka wifi(fake) na Bado akaonekana kufurahia kabisa...
  13. JamiiForums Tanzania Nichague mwanamke yupi wa kuoa kati ya hawa wawili?

    1. Mwanamke ambaye ninamzidi miaka 3, ni mwanachuo wa Bachelor, ni Mhehe kwa kabila, anapenda kusifiwa ndo furaha yake, anaishi na wazazi wake wote wawili na ndugu wengine kama kaka zake, dada zake na wadogo zake, ananipenda sana na anapenda WhatsApp video call tukiwa mbali naye. 2. Ni mwanamke...
  14. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mwanamke aliyetolewa kizazi akapata mimba!?

    Ni kwa Mwamposa hapa jamani. Yuko live. Dada anatoa ushuhuda anasema alitolewa kizazi Ila baada ya kuchukua mafuta ya upako kwa Mwamposa akapata Mimba. Eee Mungu nisaidie Imani na Mimi!?πŸ€”πŸ€”πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ Kwenu madaktari wa JF...
  15. JamiiForums Tanzania Kamwe usikubali mwanamke akuone huna msimamo kisa kichwa cha chini kimesimama

    Wakuu, Hawa watoto wa kike wanajua udhaifu wetu ni papuchi. Kuna wakati unakataza jambo fulani ila yeye hasikii anakiuka kwa makusudi. Au anafanya kosa fulani analojua kabisa ulishamkanya hupendi... Au umetoa maelekezo fulani kama baba wa nyumba na akakiuka kuyatekeleza kwa makusudi tu...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa amechora Tattoo sijisumbui hata kumuomba namba yake ya simu

    Binafsi hii ni moja ya red flag kubwa sana ambayo inaniogopesha toka kwa mwanamke, hii ni kwangu mimi lakini sijajua kwa wanaume wenzangu wanachukuliaje jambo hili. Just imagine mwanamke amechora Tattoo kwenye maziwa au kwenye makalio na sehemu zote hizo wakati anachora Tattoo Artist amezishika...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa visa gani na mwanamke wako? Ulivikabili vipi?

    Heshima kwenu waungwanaπŸ‘Š, Tushare visa tulivyowahi kufanyiwa na wanawake/mademu zetu na namna tulivyovikabili ili tuongeze maarifa ya kuishi na hawa viumbe waliotusengenya na shetani pale Edeni πŸ˜…. Mie naanza vya kwangu: πŸ‘‰ Miaka iliyopita, nilikuwa nakula demu mmoja hivi wa kinyaturu. Huyu...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke feminine haombi mwanaume hela. Girl code 5

    Ni kweli. Mwanamke yeyote ambaye ni feminine haombagi hela kwa mwanaume. Hela zinakuja tu zenyewe. Kama unataka kujua inakuwaje nicheki inbox. Angalizo: Nyie wanaume mnaomiliki wanawake feminine alafu hamuwa-hudumii, msije kulia siku za usoni. HAPPY NEW YEAR 2025
  19. JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuishi/kukaa na mwanamke anaeongea na simu muda wote tena vitu visivyo na msingi?

    Kama mada inavyojieleza Nina mke wangu ambaye nina watoto nae. Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha na upendo. Baada ya siku kadhaa mama yao nae kaja kutoka huko anakofanyia kazi. Sasa kitu...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ni laana gani huyu mwanamke analeta hapa nyumbani?

    Iko ivi jana new year mm nilikuwa nimeamua tuu kutulia home nikikuwaxna mawazo ya kazi zangu sikupendq niende kokote mm ni kijana nina miaka 32 sasa na nina mke na mtoto wa 5 years mtoto wetu yupo kijijin kwa bibi yake huko kitambo sasa wife jana akaniambiaa yeye anatoka na shoga yake tumuite...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…