mwana ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Sio Lazima Mzazi wangu awe Kada, Mimi kuwa mwana CCM kindakindaki

    Kama kijana nimekuwa nikipata maswali mengi sana toka kwa vijana wenzangu pale ninapojaribu kuonesha husia zangu au pale ninapotoa hoja zangu zinazoonesha kuiunga mkono iwe hapa ama mahali kwingine kokote. Maswali hayo yamekuwa wakati mwingine yakiuliza chanzo changu cha hamasa ya Chama...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kwamba mimi ni mwana CCM mzuri lakini haya siyaafiki

    Mi ni miongoni mwa Wana CCM ambao sikupendezwa na Mheshimiwa Tundu Lissu Kupigwa risasi , Mimi ni Miongoni mwa Wana CCM ambao hatukukubaliana na jinsi nchi ilivyokuwa inaendeshwa na Bwana Magufuli, Mimi na akina Kagasheki, Mwandosya, January Makamba na Butiku tulikuwa hatukubaliani na hayo...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa hakuna mwanaCCM aliyeeleza pesa alizokuwa anagawa Magufuli majukwaani alizitoa katika mfuko gani

    Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani? 1. Zilitoka katika mshahara na posho za Rais? 2. Zilitoka CCM makao makuu? 3. Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu? 4. Zilitoka...
Back
Top Bottom