mwaka 2023

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa na CNN kama sehemu bora ya kutembelewa kwa mwaka 2023

    Kwa mujibu wa mtandao wa cnn , tanzania ni moja ya sehemu bora na imewashauri watalii kuitembelea. Na ni nchi mbili tu kwa Afrika zilizotajwa nyengine ni Rwanda japokua Rwanda haikutajwa kama nchi ili kuna hoteli, sextarion Rwanda, ndio imepigiwa chapuo. Ila Tanzania imetajwa kama nchi na...
  2. marehem x

    JamiiForums Tanzania Ni kosa nililolijutia kuwa na mke wa mtu mwaka 2023. Huyu mwanamke anaviranga

    Kama mjuavyo bongo Ina raia wengi wa Tanzania wenye ndg zao mataifa ya arabuni. Basi bana jamaa alikubali Kiulainii asijue amedanganywa bin kudanga. Mkewe anakubali safari Dubai na marafiki kubiashara. Huyu mwanamke Hana hata genge la nyanya. Ameomba aende majuu na mashoga zake ajifunz biashara...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Agenda 5 za Mbowe kwa mwaka 2023

    Hatutapoa 2023, hivi ndivyo unaweza kuelezea msimamo wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia kwa Mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe kutangaza mambo matano ambayo kitayadai mwaka 2023. Akizungumza na wanahabari baada idaba ya shukrani ya kuhamia katika nyumba yake mpya jana...
Back
Top Bottom