Wakuu,
Mvua imekubali, usiku wa kuamkia leo Machi 14 mvua imepiga kwelikweli, na mpaka sasa Dar bado inaendelea kunyesha, japokuwa speed imepungua.
Huko ulipo kuna hali gani? Njia zinapitika? Kuna palipotokea maafa? Tupeane updates kwa walio na changamoto wapate msaada haraka.
Baada ya ya Mvua za rasharasha kunyesha huko Iran sasa hivi rasmi kabisa Mvua za Masika zimeanza kumnyeshea Ayatollah huko Tehran Iran.
Kufikia asubuhi hii ameangamizwa
Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri za Kiislamu, aliyekuwa anatishia kuangamiza Tel Aviv na Haifa. Na yeye Kaangamizwa...
Mimi ni mpitaji wa barabara hii kila siku.
Tokea walipojenga hiyo barabara wale jamaa zetu wa KONOIKE ya Japan, mwaka 2012, pamejitokeza tatizo kubwa la maji ya mvua kubwa kupita maeneo kadhaa.
Eneo la Makutano ya barabara ya Goba /Bagamoyo maji hujaa sana
Eneo la Interchic/Art Gallery maji...
WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU MIRADI YA BRT, AAGIZA IKAMILIKE KABLA YA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA.
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya ujenzi wa...
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a ametangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mpaka Mei, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani huku baadhi ya mikoa kuwa wastani na juu ya wastani.
MWENENDO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022...
Mvua zinazonyesha kuanzia juzi sijazielewa sawasawa kama ni zile za palizi ya kwanza au ndio masika yenyewe?
Wataalamu wa kilimo msaada Tafadhali nyakati hizi za mabadiliko ya tabia nchi.
Mungu wa mbinguni awabariki.
VETIVER GRASS
Vetiver Grass ni aina ya nyasi ndefu zenye majani marefu, membamba na magumu. Vetiver Grass kwa jina la kisayansi zinajulikana kama "Chrysopogon zizanioides" na asili yake ni India.
Vetiver Grass zinauwezo wa kukua mpaka sentimita 150 ambazo ni sawa na futi tano na mizizi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.