mvua kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Mvua kubwa kuja tena Kenya on high alert, this comes after the death toll has rose to 71 as results of the floods that happened last week on Friday

    Kenya Meteorological Department imeonya kuwa heavy rains zitaongezeka hadi March 23, zikigusa Rift Valley, Lake Victoria Basin, Eastern na Coast. Maeneo kama Nairobi tayari yameathirika na flooding, ikisababisha disruption ya transport na daily activities. National Police Service imethibitisha...
  2. O

    Nairobi Flood Tragedy: Mvua Kubwa Yaua 23, Mali na Magari Yasombwa na Maji

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Nairobi imeleta maafa makubwa baada ya watu 23 kuthibitishwa kufariki kufuatia mafuriko yaliyosomba baadhi ya maeneo ya jiji. According to emergency reports, zaidi ya magari 70 yamesombwa na maji huku nyumba na biashara nyingi zikiharibiwa na mafuriko. Rescue...
  3. KERO Sinza Afrikasana, mvua ikinyesha ni mvurugano! Hapapitiki panajaa maji

    Video hii imerekodiwa katika eneo la Sinza Afrikasana Jijini Dar es salaam ikionesha usumbufu wanaoupata wapita njia pamoja na magari na kuathiri shughuli za kila siku baada ya maji kujaa katika eneo hilo kutokana na mvua iliyonyesha leo. Wakazi wa eneo hilo wanasema hali hii imekuwa ikijirudia...
  4. Mvua kubwa sana inanyesha Dar sasa hivi

    Nipo mbezi Louis aisee hii mvua inayonyesha ni balaa
  5. R

    TMA yatahadhalisha kuwepo mvua kubwa mikoa 20

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Jumamosi 27 Desemba 2025 imetaja mikoa hiyo kuwa ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Katavi, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro, Ruvuma, Tanga, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia Je...
  6. Muonekano wa barabara eneo la Sinza, Africa sana baada ya mvua kubwa

    Muonekano katika eneo la Sinza, Africa Sana mara baada ya mvua kubwa kunyesha.
  7. Mvua kubwa yasababisha maafuriko New York na New Jersey nchini Marekani

  8. Maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa yafunika/yasomba Watu na nyumba Moshi

    Watu watatu katika kijiji cha Mbokomu, wilayani Moshi wamefariki dunia kwa kufunikwa na kifusi baada ya maporomoko ya udongo yaliyotokea usiku wa kuamkia leo kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Mbunge wa Moshi vijijini Profesa Patrick Ndakidemi amesema mbali na...
  9. M

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

    Wakuu mvua ya leo kiboko, imeanza kunyesha kuanzisha jana usiku, tupo nayo mpaka sasa. Kama kawaida mvua kama hii ya mfululizo lazima iache madhara sehemu mbalimbali kama miundombinu kuharibika, foleni kuongezeka, watu kuchelewa kazini nk nk. Vipi eneo ulililopo mvua haijaacha madhara? Tupia...
  10. Bukoba: Zaidi ya nyumba 300 zazingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha

    Mvua kubwa iliyonyesha takribani saa tatu katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, imesababisha zaidi ya nyumba 300 katika mitaa ya Omukigusha, Byekela na Nyamkazi kuzingirwa na maji huku baadhi ya barabara zikifungwa ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza. Soma Pia: Morogoro: Zaidi ya...
  11. TMA yatoa utabiri wa mvua kubwa katika mikoa 25

    Wakuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa utabiri wa mvua kubwa katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Tabora, Singida, Dodoma, Simiyu, Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Mwanza na Shinyanga, Tanga, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Mtwara...
  12. TMA yatoa angalizo la mvua kubwa inayoweza kusababisha makazi kuzungukwa na maji

    Wakuu, ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya Ukanda wa Pwani ya Kaskazini mwa bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba), Nyanda za Juu Kaskazini Mashariki (Mikoa ya Arusha...
  13. Mikoa saba kupata mvua kuanzia leo usiku

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Lindi, Mtwara, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia pamoja na Uguja na Pemba yatapata mvua nyepesi kuanzia leo saa 3:00 usiku. "Angalizo la mawimbi makubwa yanayofikia mita mbili limetolewa kwa...
  14. S

    Dar ukitafuta nyumba ya kupanga tafuta kipindi Cha mvua kubwa imenyesha Sio kiangazi

    Dar waweza acha Kodi uliyolipia na kuhama baada ya kugundua kuwa eneo Hilo ulilopanga kipindi Cha mvua halikaliki vyura wanaingia Hadi ndani na maji na kuanza kuimba nyimbo zao za kwaya zao usiku huko ndani baada ya kuingia maji ndani au madimbwi kuzunguka nyumba usiku hutalala Kwa nyimbo za...
  15. E

    Mizizioloji? Pamoja na mvua kubwa kila kona ya Nchi watu wanajitokeza kwa wingi kwenye maandamono ya Chadema

    Mvua zinatandika kila kona ya nchi na huu ni msimu wa kilimo...Chadema wameitisha Maandamano watu wananyookea maandamano kama nzige ni Miziziolojoji? Huku Manyara leo mashamba yako likizo wakulima wamemfuata Lissu Chadema punguzeni spidi watu wakonsetreti kwenye Kilimo Muungano hoyee
  16. Serikali haioni mateso ya watoto wadogo kupindi hiki cha mvua kubwa na ikasimamisha kwa muda

    Baada ya maji kuwasomba watoto na kuwauwa kule Arusha nilijua serikali ingeona nini kitatokea, na sasa wanasema itachukua wiki mbili kunyesha kwa kiwango kikubwa namna hii na watoto wa kitanzania wanasota huku wale wa nchi za jirani wamesitisha ukatili huu kwa muda Ukiwa njiani unawaona watoto...
  17. Rufiji: Haijaisha mpaka iishe, mamlaka ya hali ya hewa yatangaza mvua kubwa katika mikoa kadhaa, serikali ichukue tahadhari kuwahamisha wananchi

    Mbombo ngafu, haijaisha mpaka iishe, kama haitoshi kwa mafuriko yanayotokea sasa Rufiji, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetangaza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo kadhaa, pamoja na Mkoa wa Pwani. Tahadhari za awali ni pamoja na kuwaondoa wakazi wa mabondeni, misaada iwe standby Rufiji, na...
  18. Mvua Kubwa na Upepo Mkali Vyaleta Maafa kwa Watu 685 Kijijini Lyasembe - Musoma Vijijini

    Ijumaa, 5.4.2024 mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali vilileta maafa makubwa Kijijini Lyasembe, Kata ya Murangi. Jumla ya watu walioathirika ni: 685 Watoto 384 Watu wazima 301 Jumla ya majengo yaliyoharibika: (i) Nyumba zilizobomoka (17): 17 za wanakijiji (ii) Nyumba zilizoezuliwa...
  19. Unawezaje kujilinda na radi wakati wa mvua kubwa? Kuzima data kunaeupusha kupigwa na radi? Kufahamu hayo na mengine mengi soma uzi huu

    JamiiForums imefanya mahojiano na Rose Senyagwa, Mtaalam na Mchambuzi wa Hali ya Hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), ambapo alieleza kwa kirefu nini watu wanatakiwa kufanya ili kujilinda pale kunapokuwa na radi ==== Radi ni nini? Radi ni umeme, umeme huu unatoka katika mawingu na hasa...
  20. TRC: Tunaendelea kusitisha safari za Treni kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha

    Dar es Salaam, Tarehe 30 Januari 2024 Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa linaendelea kusitisha huduma ya usafiri wa treni kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Katavi, Kigoma na njia ya Kaskazini kuelekea mkoani Tanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…