Sijigambi sijitapi lakini baada ya kusikiliza kichupa nilicho kianda itoshe kusema NIMEJITAWADHA RASMI kuwa Mimi ni mfalme wa wafalme king of BONGO la PIANO, huu ni mziki MPYA nilio uvumbua Mimi mfalme ALEXIDO JZ, nikichanganya Radha tofauti tofauti chocolate na maziwa kwenye beats za BONGO LA...