musukuma

Joseph Kasheku Musukuma (born February 12, 1974) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Geita in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Msukuma unatuma ujumbe gani kwa Rais Samia?

    Mbunge wa Geita vijijini Kasheku Musukuma ametoboa siri kuwa kipindi cha Rais Magufuli miradi ilikuwa inaenda kwa sababu alikuwa amedhibiti pasent(%) na alikuwa mfuatiliaji kwelikweli ya kila hatua ya mradi lakini baada ya kuingia madarakani Rais Samia viongozi wameelezekeza macho kwenye 10% ya...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Musukuma: Chama chetu kinahitaji kutoa kauli kuhusu Oktoba 29, lazima tuangalie tulipokosea, tuchukue hatua

    Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku Musukuma akiwa katika mahojiano na Channel ya M&S Podcast ambayo yamechapishwa Julai 1, 2026.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinawaumiza vichwa Wakenya kama mpango wa ujenzi wa uwanja wa Serengeti, Ponea yao ni wabunge wetu kina Nasari na Musukuma wanaoupinga

    kwa miaka mingi tume co exist kawaida kushea mbuga hii special duniani, Upande wao inaitwa Masai Mara upande wetu inaitwa Serengeti. watalii wao walishukia Nairobi, wetu wanashukia KIA, Baada ya hapo husafiri kwa magari au kukodi ndege ndogo hadi mbugani. Lakini wameona haitoshi. Wanajenga...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Sisi huku Geita tunawatibu Wazanzibari hatuwabagui

    Joseph Kasheku Musukuma, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kuchukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya mawaziri wake wanaotoa kauli za kibaguzi. Soma Pia: Musukuma: Mawaziri wa Zanzibar chungeni kauli zenu za kibaguzi bungeni, Rais achukue hatua Sisi hatujui Mzanzibari tunajua...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Tunatenga hela nyingi ya 10% lakini Wakusanyaji wetu hawana utaalamu kukusanya madeni, wanaenda kudai wanarudi na mkaa na kuku

    Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma wakati akichangia hoja leo Aprili 15, 2026 Bungeni, ameitaka serikali kuzingatia ukusanyaji wa madeni wa mikopo ya asilimia 10% kwenye Halmashauri kwa kuajiri vikundi au vijana wasomi wenye ujuzi huo ambapo kwa sasa kazi hiyo inasimamiwa na...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukama: Kama huna hela ya kuchukua fomu njoo

    MBUNGE wa Jimbo la Geita vijijini, anayemaliza muda wake, Joseph Kasheku (Msukuma) ameahidi kuwa atawachangia gharama za fomu wapinzani wake watakaopungukiwa pesa za kuchukua fomu ya ubunge wa jimbo hilo. Msukuma amesema hayo mbele ya waandishi wa habari mjini Geita mara baada ya kurejesha fomu...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: Wakuu wa Wilaya wanaotaka ubunge, Bungeni hakuna hela

    "Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela...
  8. JamiiForums Tanzania Musukuma ataka Wabunge wapite maeneo ya VIP na wenza wao

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, ameibua hoja bungeni akilalamikia mazingira yasiyo rafiki kwa viongozi na familia zao wanapopita katika maeneo mbalimbali ya VIP. Akizungumza bungeni, Musukuma amesema: "Sisi humu ndani sio Wahuni ni Waheshimiwa tuna familia....Mhe. Spika sisi tumepewa...
  9. JamiiForums Tanzania Bulaya adai ripoti ya Machi 8 ya Simba na Yanga bungeni

    Mbunge wa viti maalumu, Ester Bulaya ameibuka bungeni na kuuliza swali la kutaka kujua ni nini kilitokea hadi kuahirishwa kwa mechi ya dabi kati ya Simba na Yanga iliyotakiwa kuchezwa Machi 8, 2025 ambapo ameomba kupatiwa majibu. Baada ya kuuliza swali hilo, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson...
  10. JamiiForums Tanzania Musukuma afahamishwe tukiwa kama China hawezi kuwa mbunge

    Mbunge Musukuma ameelezea kisa cha kumfurahisha kilichomtokea alipokuwa China ambapo dereva taxi aliwashusha kwenye gari yeye na mkalimani wake baada ya kuanza kumjadili rais wa China. Hilo jambo lilimfurahisha sana Musukuma hadi leo akichangia bungeni akapendekeza na kusisitiza na sisi...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: Labda kuna joto jimbo la Gwajima, wabunge tutoe ahadi zinazotekelezeka. Wakazi wa Kawe tunasubiri ahadi ya kwenda Japan na Ujerumani

    Mbunge Joseph Kasheku 'Musukuma' amewataka wanasiasa kuwa na ahadi zinazotekelezeka katika kipindi cha kampeni ili kuwaondolea shinikizo kubwa. Akizungumza leo Mei 26, bungeni jijini Dodoma, Msukuma amesema anahisi kama joto la uchaguzi limepanda kwa baadhi ya wanasiasa. Ameongeza kuwa huenda...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: Nashangaa mliwarudisha wale Wakenya mngewapeleka kulima kabisa

  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: Wakati wa Mwamba hakuna aliyenyanyua mdomo, tusiingilie maamuzi ya mama

    Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma akoshwa na kazi ya Samia, apita daraja la Kigongo Busisi(JPM) Bridge akishangilia, aiponda No Reform No Election

    Mkikaa kimya mawe yataongea. Musukuma ameshangilia kazi za awamu ya sita.
  15. JamiiForums Tanzania Joseph Musukuma: Pesa za Mama Samia walizokopeshwa Wasanii, wameolea na kununulia Magari

    Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma "...Mheshimiwa mfuko wa wasanii pesa alizotoa Mama Samia leo tukiuliza kuna shilingi ngapi au mliowakopesha wamerudisha shilingi ngapi wapo hapa kuchukua hela leo wengine na kuoa kununua magari, starehe zingine zimewaua na kuwaua..."
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msako wa kura za Kanda ya Ziwa kuongozwa na Wasira, Dotto Biteko, Musukuma, Bashungwa, na Mabula's. Ni kivumbi!

    Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa. Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network iliyoanza kusukwa miaka mitatu iliyopita mpaka ngazi ya vitongoji. Huwezi amini kwamba Mzee Wasira...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tumsapoti Rais Wa IPU, washangiliaji kama King musukuma na wale wamama wa vigelegele waende wakafanye kazi yao kama wanavofanya Dodoma

    Kama nchi tushikamane kwa wakati huu, kazi ya wale wabunge wetu ya kushangilia na kupiga meza inatakiwa wawepo kule IPU. Kwanza wangeenda wamama wale wanaopigaga vigelegele kwa kila kitu wale waliouliza maswali ya Ukraine wangeipata fresh yao. Wapelekwe na wale wabunge kama king wanaosemaga...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma: Tunafuata bidhaa Uganda zilizopita kwenye bandari yetu. Hatuoni aibu?

    Mbunge wa Geita Vijijini, Musukuma Kasheku akichangia bajeti kuu amesema Tanzania tuone aibu, haiwezekani bidhaa za Uganda zinapita bandari ya Tanzania, halafu sisi tunazifuata huko "Leo hii sisi Watanzania tunafuata bidhaa Uganda na Kenya hamuoni aibu?, bandari inayotumika ni ya Dar es Salaam...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume amshukia Spika Tulia kwa kutomchukulia hatua Dr Musukuma baada ya kutumia degrading language kwa Wanawake!

    Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amehoji Kwanini Spika Dr Tulia hakumchukulia hatua mbunge wa Geita Vijijini Dr Musukuma aliyewadhalilisha Watoto wa kike na wanawake kwa ujumla Karume amelalamika Ukurasani X
  20. JamiiForums Tanzania Musukuma: Tuanze na V8 za Mawaziri kuweka mfumo wa gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameishauri serikali ianze kufunga mifumo ya gesi katika Gari zote za mawaziri ili kuokoa gharama kutokana na gari hizo kutumia mafuta ambayo gharama yake ni kubwa ukilinganisha na gesi. Musukuma amesema hayo leo Aprili 25, 2025 Bungeni jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…