mungu

  1. Hongera sana kwa Hotuba yako Godbless Lema, Mungu akupe maisha marefu usipungukiwe kiroho

    Leo Tarehe 20-09-2024 NDUGU Godbless Lema Amefanya mapitio ya maudhui na ujumbe wa Rais Hassan wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu Godbless Lema ametoa hotuba nzuri sana, na hapa niwape tahadhari wana CCM wenzangu umoja wetu uliotukuka ni Utanzania wetu na Ubinadamu wetu. Sisi sote ni NDUGU hii ni...
  2. Watu wa Mungu kulingana na hili linalo endelea ndani ya nchi yetu. Naomba tujifariji kwa neno la Mungu. Maana ukombozi umekaribia.

    Kutoka 14:14. Mithali 24:24. Zaburi 98:9. Mithari 14:34. Kutoka 14 : 14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya. Mithali 24 : 24 Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia. Zaburi 98 : 9 Mbele za Bwana; Kwa maana anakuja aihukumu nchi...
  3. A

    Wewe dada na kaka Mungu awabariki sana

    Mnamo September 6 niliandika Uzi uliohusu Hali ya biashara yangu kukosa wateja, nilipokea maoni mbalimbali kwenye Uzi na PM pia (Nawashukuruni nyote kwa maoni yenu na ushauri ) Miongoni mwa PM nilizopokea ni za huyu dada (sitopenda kumtaja) dada huyu yupo Kigamboni Alinifuata PM akanambia kama...
  4. Kutoa fungu la kumi unamtolea Mungu sio mwanadam. Toa ukutane na Mungu

    Nimekuja ona watu wengi humu ndani wanadhani kama kutoa zaka unamtolea mwanadam jambo ambalo linawakwamisha kwa kuhisi wanamnufaisha mchungaji ama kiongozi wa kanisani ama dhehebu fulani.
  5. Vitu gani vinaonyesha udhihilisho wa uwepo wa Mungu hapa duniani? Hata kama wewe ni atheist!

    Angalia majengo ya makanisa mtaani kwako, kwenye maeneo yote uliyowahi kutembelea! Angalia gharama za ujenzi wa hayo majengo! Angalia watu wanaohubiri injili katika maeneo ya makusanyiko stand za magari, matamasha, nk. Hawa watu usidhani wote ni wajinga! Haiwezekani kuongelea kitu ambacho hakipo!
  6. U

    Kisa cha Muisrael aliyeuawa na wasiojulikana, wengi walituhumiwa, alipofufuka alimtaja kaka yake kuwa ndiye muuaji wake, ukweli Mungu ndiye anayejua

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa kuwa Kisa hiki Al-BaKisa cha Al-Baqarah (Ng’ombe)i kimetokea miongoni mwa Wana Israel enzi za Nabii Mussa nduguye Haruni Kwamba yupo Muisrael mmoja tajiri aliuawa na watu walianza kuwatuhumu baadhi kuhusika na mauaji yao na waliwaaminisha jamii nzima kuwa...
  7. Inawezekana ikafika wakati Mungu hatotaka kumwangalia tena binadamu

    Maisha ya binadamu awali yalikuwa ni ya mjumuiko(umoja) kitu ambacho kinampezesha Mungu sababu ndani ya maongezi ya watu wengi Mungu anakuwepo(yanazungumzwa mema tupu) lakini imekuwa tofauti na wakati huu kuna chemba nyingi za mawasiliano haramu zinaendelea, usiri wa kufanya njama ovu dhidi ya...
  8. M

    Muamini Baba na Mama yako unaowaona, hayo mambo ya Mungu achana nayo, hayapo na hayatokuepo

    Utapeli Kwa jina la sadaka na zaka ndio maneno ya kuvuta pesa yako, pale hakuna la maana. Sadaka na zaka ni mambo yaleyale yaani jina linabadilika kidogo. Hizo zaka na sadaka wanaenda kula hao wanaokusanya over, Amini unachokiona, usichokiona hicho hauna sababu ya kukiamini.
  9. Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  10. A

    Mshuhudie Mungu alichokutendea hapa

    Amazing GOD Bwana Yesu asifiwe... Lengo la Uzi huu ni ushuhuda ,Kwa yeyote mwenye ushuhuda wa namna ambayo amekutana na mkono wa MUNGU katika maisha yake, anakaribishwa sana kushuhudia. Binafsi Kuna mengi MUNGU kanitendea ila siwezi kuyaeleza yote. Baada ya kuhitimu masomo yangu ya chuo...
  11. G

    Ni mwaka wa tano sijaenda kanisani ila nasali na kusaidia watu naowambea Mungu awasaidie, Kanisani nitarudi iwe kama sehemu ya kusocialize zaidi

    Utaratibu wangu mara mbili au tatu kwa wiki nikitoka kazini mida ya jioni huwa napaki gari maeneo kadhaa kwa dakika 10 hadi nusu saa naanza kuzunguka nikiona bibi anauza karanga nampa elf 5 ntachukua karanga za mia sichukui chenji, mtoto anaeuza ndizi ntampa elf 2 naweza nisichukue ndizi...
  12. Wasioamini Mungu inawahusu

    Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc Wenye akili tu wataelewa
  13. Tunatoka mbali na Mungu huinua

    Wakuu nimekuja tu hapa kutia Moyo wapambanaji wote waliokata tamaa. Leo kwa mara ya kwanza nimeamka kutoka kwenye nyumba niliyojenga mimi. Ni miaka 10 ya jasho na damu hatimaye jana nimehamia. Mungu ni mwema, tuendeleze mapambano; kwa wale mliofanikiwa zaidi Mungu azidi kuwapandisha, kwa wale...
  14. Ewee mwenyezi mungu tusaidie sisi wapanda bodaboda

  15. M

    Watanzania walioguswa na matendo ya kidhalimu ya utekaji waamua kusali na kufunga kumlilia Mungu

    ANAANDIKA MWANAHARAKATI MDUDE NYAGALI 𝗝𝗨𝗠𝗔𝗣𝗜𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟴 𝗦𝗘𝗣. 𝟮𝟬𝟮𝟰 𝗡𝗜 𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗢𝗠𝗕𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔𝗢𝗠𝗕𝗘𝗔 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗧𝗘𝗞𝗪𝗔. Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza...
  16. Kiroho unajuaje kuwa huu ni wakati wa MUNGU.?

    Unawezaje kujua kuwa huu ndo wakati wa MUNGU?
  17. K

    PreGE2025 KUMBUKIZI: Kiongozi wa CCM aliwahi kusema ushindi CCM hauna Mungu akipenda, ni lazima!

    NB: Video hii ni kumbukizi wakati wa Kampeni za Uchaguzi mwaka 2020 Huyu kiongozi ana mkashifu Mwenyezi Mungu, oky sikiliza mpaka mwisho.👇 "…sikiliza ana mpango gani na tawi lake halafu tutaendelea kuzungumza si ndio? Si tumekuja tuzungumze pamoja, siyo kutoa maagizo sasa hivi, nataka tujue...
  18. PreGE2025 Kada kasema ukweli kwamba ushindi wa CCM sio wa mungu kupenda, wapinzani wamehamaki!

    Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda! Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au kudra. Huwa nawacheka sana wapinzani wanapomsubiria mungu kwa kauli mbalimbali za kujifafariji ooh...
  19. M

    Yesu ni Mungu hilo halina ubishi

    Inakuwaje wanajamvi! Yesu mtu wangu wa nguvu wewe ni Mungu hilo halipingiki shikilia hapo hapo mwanangu tulio wengi tuko nyuma yako. Tunakupenda na kamwe hatutaacha kukuabudu. JESUS FIRST JESUS FOREVER JESUS IS GOD HUNIAMBII KITU KUHUSU YESU
  20. D

    We amini Mungu yupo tu inatosha. Ona yule kiboko ya wachawi anavyowacheka watanzania kuwa ni mazezeta

    Mi nilikuwa Mkatoliki baada ya kuona ni ukoloni na utumwa nikaamua kuachana na kwenda kanisani kabisa japo namuomba Mungu ki vyangu vyangu. Imagine Mapadre au Maaskofu wana pesa mpaka za kuhonga wanawake na wengine wanashinda bar wakinywa bia na shisha lakini waumini ndo wanakamuliwa kwa sadaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…