mungu

  1. Mwamposa Hongera kwa Jengo jipya la Ibada hakika utukufu wa Mungu unaonekana

    Heri ya pasaka. Sitaki kupepesa macho, Mimi ni muumini wako na ninabarikiwa sana na Huduma yako na hapa ndio natoka kwenye Ibada ya pasaka. Hongera sana kwa Jengo jipya la Ibada ingawa Bado halijafunguliwa lakini kwa clip mbali mbali unazozionyesha kwenye screen kipindi Cha Ibada hakika Mungu...
  2. M

    Tunakuomba Mwenyezi Mungu Ijalie Ushindi Mnono Simba Sports Club Vs Stellenbosch hapa Zanzibar

    Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe tu, tujalie ushindi leo hapa visiwani Zanzibar mda mfupi tu tutakapocheza na Stellenbosch...
  3. HooneyMoon itangulie kabla ya ndoa. Watumishi wa mungu lisimamieni hili kuokoa ndoa za watu

    Kila mmoja atakubaliana na mimi kua kwasasa ndoa nyingi zinavunjika na ukijaribu kufuatilia kwa undani na kwa umakini zaidi sababu hasa ya ndoa hizo kuvunjika utagundua kua hakuna sababu zozote za msingi zinazopelekea ndoa hizo kuvunjika...utakuta sababu ni zilezile za siku zote kama vile...
  4. H

    Waafrica muache kwenda makanisani na misikitini bali tusiache kumwamini Mungu wetu!

    Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima. WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
  5. Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa Tanzania,2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa Uongo?

    Wanabodi Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani ambalo naliendesha kwa hoja za maswali Kwanza hebu msikilizeni nabii huyu na unabii wake kumhusu Tundu Lissu https://youtu.be/Isx1OohuSwE Je Nabii huyu ni nabii wa ukweli...
  6. 1 Samweli 8:18 Kumbe hizi siasa Mungu haingilii kwa Sababu binadamu walitaka kuongozwa na Wafalme na Rais badala ya Mungu mwenyewe

    Sabato Njema! Kesho nitakuwa Kanisa la Kimara Korogwe. Ukisoma Kitabu cha 1 Samweli 8 utakutana na Kisa cha kisiasa ambacho Waisrael wanakataa Kuongozwa na Mungu kama Mfalme wao. Kumbuka hapo Awali Waisrael hawakuwa na ufalme wa kibinadamu kama mataifa mengine. Wao waliongozwa na Ufalme wa...
  7. L

    Viongozi Wa Dini Wanapaswa Kuishukuru Na kuiombea CCM kwa kudumisha Amani na Utulivu na wao kupata nafasi ya kuhubiri neno la Mungu kwa uhuru

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna jambo ambalo viongozi wetu wa Dini na Watumishi Wa Mungu wanapaswa kumshukuru Mungu ni Juu ya Uwepo wa CCM madarakani wakati wote wa Uhai wa Taifa letu. Kwa sababu hiki ni chama ambacho kimefanya juhudi kubwa za kuhakikisha amani ,usalama na utulivu...
  8. S

    Nimeoneshwa na Mungu kuwa simba itaifunga stellenbosch magoli mawili yote ya kichwa siku ya tarehe 20 april 25

    Kila kinachofanyika kwa mwili wa macho na nyama huwa ni kama display ya kitu kilichofanyika. Naandika haya leo ijumaa kuu siku mbili kabla ya mechi Ushindani wa mechi ya Simba na stellenbosch utaamuliwa kwa magoli ya kichwa! Naiona simba ikifunga magoli mawili yote ya kichwa kutokana mipira...
  9. PreGE2025 Mwita Waitara aliyewahi kububujikwa na machozi bungeni asema Ushindi upo, CCM imepata kibali kutoka kwa Mungu

    Wakuu huyu mbunge aliyewahi kulia kwa kububujikwa machozi lukuki ambaye ni Mbunge Wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara amesema tarehe 28 watavuta fomu na ushindi upo kutokana na yale yaliyotekelezwa Amesema Jimbo la Tarime Vijijini lipo tayari kwa ajili ya uchaguzi huku akisema wanajiandaa...
  10. Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu. Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja. Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
  11. Madhumuni ya Mungu kwenye ndoa

    Madhumuni ya Mungu kwa binadamu kuoana ni: 1.Mke na Mume kustareheshana kuoitia sex 2.Kuzaa watoto ili kuendeleza dunia
  12. M

    Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini?

    Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini? Kama hakuleta dini ulimjuaje kama yupo? Surat Al-Baqara (2:132)
  13. Je Kabla ya Adam na Hawa, hawa watu walioumbwa na MUNGU walikuwa kina nani?

    Leo ningependa sana kujifunza kutoka kwenu, atakayeweza naomba mnijibu swali langu kulingana na maandiko. Siku hizi nasoma sana Biblia. Sasa swali langu ni hapa: Ukisoma Mwanzo 1:26 ni kwamba Mungu anasema, “Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege...
  14. Mungu tunayemwabudu ni huyu aliyeamuru kufanyika mauaji ya kimbari?

    Mauaji ya kimbari au mauaji ya halaiki ni uhalifu unaotambuliwa kimataifa ambapo vitendo vinafanywa kwa nia ya kuharibu, kwa ujumla au kwa sehemu, kikundi cha kitaifa, kikabila, cha rangi au cha kidini. Miaka elfu kadhaa iliyopita huko Mashariki ya kati kupitia mwongozo kutoka kwa Mungu mwenyewe...
  15. 4

    Lissu anatakiwa kutoka alipo mara moja na sio ombi la kibinadam bali ni amri kuu kutoka kwa Mungu

    Leo sina salam , ila natambua uwepo wenu wanaJF . Kwenye mada na husika na mada tajwa hapo juu . Mh Lissu anatakiwa kutoka alipo mara moja na sio ombi la kibinadam bali ni amri kuu toka kwake alieumba mbingu na dunia period ,asema Bwana. Haiwezekani ulale kitanda kizuri ila mwana wa Mungu...
  16. Ni dhambi kupromote umasikini misikitini/makanisani

    Adam na Eva waliumbwa na kuwekwa kwenye mazingira ya utoshelevu. Kama haitoshi Mungu aliwawekea akiba kubwa ya Dhahabu (Dhahabu ya Havira) na vito ili viwasaidie watakapoongezeka. Bustani ya Eden hapakuwa mahala pa kimasikini. Eden maana yake ni protected place of pleaseure (Sehemu ya...
  17. Ajali husababishwa na uzembe na ujinga wa kibinadamu. Hakuna Mungu, Shetani au uchawi unaosababisha ajali

    Waafrika hasa watanzania hawatii wala kuzingatia sheria za barabarani halafu wakishapata ajali au ajali ikishatokea wanaanza kupayuka na kutoa maoni kama wehu, Mungu tunusuru! Allah tuokoe! Yesu tusaidie! Wakati Dereva anakanyaga mafuta kisawasawa, speed kibati, mwendo wa ngiri mkia juu, kasi...
  18. Itoshe tu kusema Mungu ni wa ajabu maake sio kwa mwanamke huyu

    Dah! Asikwambie kitu, Dar ina wanawake wazuri lakini sikuwahi kuona mwanamke kama niliyemuona siku ya leo Siku ya leo nimeamua kutoka kwangu, somewhere X nikatembelea maeneo fulani hivi ya uswazi kumcheki mshkaji wangu ambaye nilikuwa naye pale UDSM kitambo kile Wakati tukiwa nje ya fremu...
  19. M

    Hivi kwanini viongozi wa CCM hawana hofu na Mungu ?

    Habari zenu,Kuna kitu huwa najiuliza sana na kujadili kichwani mwangu.Viongozi wa CCM inapofika kipindi cha uchaguzi hofu ya Mungu inaondoka kabisaa,wanaamini kuwa Mungu alieumba Mbingu na ardhi hawezi kuwafanya chochote. Mimi nimeshiriki kusimamia uchaguzi toka 2010 lakini kila uchaguzi wao...
  20. S

    PreGE2025 Mtumishi wa Mungu afichua Mpango wa CCM kuwaengua Wabunge wa Kanda ya Ziwa

    Mtumishi wa Mungu wa Huduma ya Kristo, Steven Jacob amefichua mpango wa Chama cha Mapinduzi kuwafuta wabunge wote wa Kanda ya Ziwa na kuweka watu wao sikiliza kwa makini video hii inayofichua mpango mzima. https://youtu.be/jXrtCkOsKBQ?si=-IbKOvkyyzaCB09s
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…