Kheri ya pasaka.
Ndugu zangu tuendelee kuwaombea watu wote ambao wanalipambania Taifa letu liweze kuwa Taifa la usawa ,haki amani pamoja na Upendo mfano wa watu hawa
Balozi Humphrey Polepole
Mh Tundu lissu
John heche
Padre kitima na viongozi wote wa dini ya katoliki.
Hawa ni baadhi lakini wapo...
Kwema wakuu, amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa.
Wakuu, Lissu na makamu wake Heche Mungu awabariki sana. Kwa sasa kama CCM hawajui ,asilimia 85 ya watanzania ni CHADEMA. Kwa nini nasema hivi Ichi chama misingi yake imejikita kwenye haki na watanzania wote...
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea...
Bwana asifiwe!
Mmeamrishana kufanya Ibada maalumu jumapili hii ya tarehe 9.11.2025 kwa ajili ya kuwarehemu marehemu waliotokana na fujo za juzi katika uchaguzi mkuu pamoja na kuwaombea uzima majeruhi wote. Aidha, mmewataka watu kupeleka misaada kwenu kwa ajili ya majeruhi. Ni jambo jema...
Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini.
Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu.
Mnamo September 6 niliandika Uzi uliohusu Hali ya biashara yangu kukosa wateja, nilipokea maoni mbalimbali kwenye Uzi na PM pia (Nawashukuruni nyote kwa maoni yenu na ushauri )
Miongoni mwa PM nilizopokea ni za huyu dada (sitopenda kumtaja) dada huyu yupo Kigamboni
Alinifuata PM akanambia kama...
Kama una ungana na Pep Gudiola, pamoja na kuwaunga mkono na kuwaombea dua Ndugu zetu wa Palestina basi like hapa.
Spain 🇪🇸 💪🏽
Norway 🇳🇴 💪🏽
Ireland 🇮🇪 💪🏽
Basi kwa leo nawaombeni Mods msifute uzi wangu wa kuunga mkono PALESTINA. Japo sina uhakika kama clip hii ni ya siku hizi au ya zamani...
Kichwa cha mke☺☺
WAEFESO 5:23-25
Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.
Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye...
---
Nilipotekwa 2019 polisi walikataa kutoa PF3,lakini haikuzuia madaktari wa hospital ya kanda Mbeya kunihudumia tena kwa emergency kulingana na hali mbaya niliyokuwa nayo mpaka nikapona.
Binafsi naona madaktari wana mchango mkubwa kuliko sekta zingine. Mungu awabariki madaktari.
Popote ulipo ikiwa uliweza au umeweza kuoa mwanamke ambaye ulimkuta na mtoto au watoto tayari, basi una roho ya nzuri sana na Mungu akubariki sana.
Binafsi mwanamke nispomkuta na usichana wake tu inakuwa tabu sana kumuwazia ndoa, naona kabisa napita tu hapa haolewi mtu, lakini kuna wanaume...