Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, Muhoozi Kainerugaba, amesema nchi hiyo ipo tayari kujiingiza katika mgogoro wa Mashariki ya Kati ikiwa kutakuwa na jaribio lolote la kuiangamiza Israel.
Kupitia mtandao wa Machi 25, 2026, Muhoozi alieleza wazi msimamo huo:
"Mazungumzo yoyote ya kuangamiza...