muhoozi kainerugaba

Muhoozi Kainerugaba (born 24 April 1974) is a Ugandan lieutenant general who serves as the commander of the land forces of the Uganda People's Defence Force (UPDF) and who was previously the commander of the Special Forces Command (SFC). Both the UPDF and the SFC are accused of using excessive force and abductions; Muhoozi and other senior officials are mentioned in an International Court of Justice complaint. In 2017 Muhoozi, the son of president Museveni, was appointed Presidential Adviser, fueling speculations he is being prepared for the presidency. He was reappointed as the Commander of the elite Special Forces Command (SFC) in December 2020. Lt. Gen. Muhoozi served in the same position from 2008 to 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Jenerali Muhoozi: Uganda ipo tayari kuisaidia Israel

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, Muhoozi Kainerugaba, amesema nchi hiyo ipo tayari kujiingiza katika mgogoro wa Mashariki ya Kati ikiwa kutakuwa na jaribio lolote la kuiangamiza Israel. Kupitia mtandao wa Machi 25, 2026, Muhoozi alieleza wazi msimamo huo: "Mazungumzo yoyote ya kuangamiza...
  2. Archival Sense

    Tiktoker pressure 24/7 charged over video allegedly insulting CDF Muhoozi

    A Ugandan TikToker, Ibrahim Musana, has been charged with hate speech and unlawful access to personal data belonging to the first son and chief of defense forces (CDF), General Muhoozi Kainerugaba, following a video he posted on TikTok. Musana, who operates online under the alias Pressure 24/7...
  3. S

    Asante sana Jenerali Muhoozi Kainerugaba

    Mkuu usije ukadhani upo peke yako ambaye haufurahishwi na tabia za hao watu wanaojiona dunia ni ya kwao peke yao tu. Angalau sasa tuna mtu ndani ya Afrika anayethubutu kuwapa 'shit' moja kwa moja. Kuna jasiri mmoja alijilipua juzijuzi hapa akawaambia 'who are you?, lakini wewe unakandamiza...
  4. Eronda

    Gen. Muhoozi Kainerugaba Vs ICT Minister Chris Baryomunsi

    Gen. Muhoozi Kainerugaba CDF and son to President Yoweri Museveni threatens ICT and National guidance minister Chris Baryomunsi that he will never be minister again. This tension resulted from a comment made by Chris Baryomunsi on a radio station claiming that Gen. Muhoozi’s tweets on X were...
  5. Dalton elijah

    Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amemjibu tena Seneta wa Marekani Jim Risch

    Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amemjibu tena Seneta wa Marekani Jim Risch kupitia mtandao wa X siku ya Jumanne, Februari 3, 2026, baada ya kuomba radhi hapo awali. Mzozo huu wa maneno umeibuka kati ya Uganda na Marekani baada ya Muhoozi kuchapisha na baadaye kufuta...
  6. Eronda

    Gen. Muhoozi Kainerugaba deletes posts accusing USA aiding Bobi wine.

    Gen. Muhoozi Kainerugaba Ugandans army chief and son of President Museveni apologized to the United States after accusing them of plotting to smuggle opposition leader Bobi wine out of the country. “I want to apologize to our great friends the United States for my earlier tweets that I have...
  7. Waufukweni

    Jenerali Muhoozi aponda Ujerumani kumtuma balozi mfupi Uganda, atuhumu kuunga mkono Upinzani

    Mkuu wa Jeshi la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ameeleza kutoridhishwa kwake na namna Ujerumani ambayo inajulikana kuwa na watu warefu na kutuma Balozi mfupi nchini Uganda. Balozi wa Ujerumani nchini Uganda, Mathias Schauer, amekuwa akitofautiana na mamlaka ya nchi hiyo kwa muda sasa kwa...
  8. M

    Uganda yasitisha ushirikiano wa kijeshi na Ujerumani, yamtuhumu Balozi kwa uchochezi

    Jeshi la Uganda limetangaza kusimamisha ushirikiano wa kijeshi na Ujerumani, likimshutumu Balozi wa Ujerumani nchini humo, Matthias Schauer, kwa madai ya kuhusika katika vitendo vya uchochezi. Hatua hiyo imechukuliwa huku UPDF ikidai kuwa baadhi ya balozi kutoka Ulaya wamekuwa wakiunga mkono...
  9. Nipe Maji

    FALSE Elon Musk Did Not Suspend Gen. Muhoozi’s X Account as reported by Kampala Journal News

  10. Stuxnet

    Muhoozi Kainerugaba; ni mjinga sana mwenye confidence au ana dharau sana

    Angalia tamko lake la jana kuhusu sintofahamu ya M23 na DRC Huyu ni mtoto wa Yower Museveni na ndiye CDF wa Uganda People Defence Force na Rais ajaye wa Uganda
  11. mwanamwana

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba: Ofisi yangu kuanza kufanya ukaguzi wa vyombo vyote vya habari nchini

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba, Mshauri Mkuu wa Rais wa Uganda kuhusu Operesheni Maalum, hivi karibuni alitangaza kuwa ofisi yake itaanza kufanya ukaguzi wa vyombo vyote vya habari nchini, kwa mujibu wa maelekezo ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais Yoweri Museveni. Muhoozi alisema kuwa wakurugenzi wakuu wa...
  12. Waufukweni

    Bobi Wine: Mtoto wa Museveni anatishia kunichinja, Muhoozi asema Baba yake ndiye anayemzuia kumchukulia hatua

    Mkuu wa Majeshi nchini Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, amesema mtu pekee anayemzuia kumshughulikia Mwanasiasa mashuhuri wa Uganda ambaye pia ni Rais wa NUP, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) ni Baba yake Rais Museveni ambapo...
  13. A

    Muhoozi Kainerugaba: Rais anayeandaliwa Uganda

    Kwa sasa ndie Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, mtoto wa kiume wa Jenerali Museveni. Mipango ikikamilika basi CDF Kainerugaba ataungana na Marais wenzake kuendelea Kula keki hapo Afrika Mashariki
  14. J

    General Muhoozi: Sitagombea Urais 2026, nitamuunga mkono Yoweri Museveni kwenye uchaguzi

    General Muhoozi amejitoa kwenye kinyang'anyiro cha uRais wa Uganda na atamuunga mkono baba yake mzee Museveni Muhoozi atajikita zaidi kwenye kujenga Jeshi la kisasa Sabato Njema 🌹 ==========...
  15. BARD AI

    Mtoto wa Rais Museveni asema Uganda itaisaidia Urusi Wanajeshi wake ikiwa itatishiwa na Mabeberu

    Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba alitangaza siku ya Alhamisi kwamba nchi yake itatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itakabiliwa na vitisho. "Niite 'Putinist' ukipenda, lakini sisi, Uganda tutatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itawahi kutishiwa na...
  16. Boqin

    SI KWELI Muigizaji Jackie Chan avaa fulana yenye picha ya Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa Rais Museveni

    Muigizaji Jackie Chan ameonekana akiwa amevaa fulana yenye picha ya Muhoozi kainerugaba, Mtoto wa Rais Museveni.
  17. Trab na Trat

    Rais Museveni ampandisha cheo mwanae kuwa Jenerali wa Jeshi

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amempandisha cheo mtoto wake Muhoozi Kainerugaba, kutoka kwenye cheo cha Luteni Jenerali hadi kuwa Jenerali. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Jenerali Kainerugaba, amemshukuru baba yake kwa kumpa nafasi hiyo.
  18. ankai

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

    Yaaani nimeshindwa kuelewa mshauri wa masuala ya usalama katika nchi analeta utoto kama huu duuh
  19. U

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba atembelea Shamba la Rais Paul Kagame na kupewa Zawadi ya Ng'ombe aina ya Inyambo

    Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye ni Mtoto wa Rais Museven wa Uganda yupo ziarani nchini Rwanda Amepewa zawadi ya Ng'ombe aina ya Inyambo baada ya kutembelea shamba la Rais Paul Kagame
  20. Chachu Ombara

    Muhoozi Kainerugaba (Mtoto wa Rais Museveni) atangaza kustaafu Jeshi. Je, ni maandalizi ya kurithi kiti cha Urais?

    Picha: Baba(Rais), Mtoto (Luteni Jenerali), Mama (Waziri wa Elimu) Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni nani? Muhoozi Kainerugaba ni mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda na mama Janet Museveni, ambaye ni waziri wa elimu na michezo tangu mwaka 2016. Ni mume wa Charlotte Nankunda Kutesa aliyemuoa...
Back
Top Bottom