muendelezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Muendelezo wa uzi wa biashara

    Mbande Dodoma zipo heka 15 zinauzwa,tafuta kampuni yenye uhitaji tuwape hii biashara then sisi watupe chetu
  2. S

    JamiiForums Tanzania MUENDELEZO

    Shamba lipo Msaanga near by chamwino ikulu, Heka 1 ni 3.6m zilo hekari 40 ,kama unaifaham kampuni yoyote au mtu binafsi anatafuta shamba maeneo hayo naomba tuwasikiane zipo heka 40 zinauzwa-0718884570
  3. S

    JamiiForums Tanzania MUENDELEZO

    Kampuni inahitaji mashamba ukanda wa pwani kama unafahama mmiliki mashamba ukanda huo nitafute
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Muendelezo wa miujiza ya Mungu kwenye maisha yangu.

    Habari wakuu,mara ya mwisho nilisimulia hapa jinsi ambavyo nilipitia kipindi kigumu kwenye maisha yangu baada ya kupoteza kazi ikafika kipindi nakosa hata shilingi 100 ndani na nina familia ila baada ya kuattend maombi ya fulani mambo yakafunguka hapo hapo Story yenyewe hii hapa...
  6. JamiiForums Tanzania Elite home tuition – likizo na muendelezo wa masomo

    Unatafuta msaada bora wa masomo kwa mtoto wako au mwanafunzi? Karibu Elite Home Tuition – huduma ya kipekee ya kufundisha nyumbani kwa ubora wa juu! ✨ Tunatoa huduma kwa: Watoto wadogo (KG1) hadi Form Six Mitaala yote ya shule Lugha za kigeni (English, French, Arabic n.k.) Uimarishaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Tuheshimianeni humu ndani, nyuzi zangu hazina muendelezo leo nikisema mimi polisi, kesho kutwa mganga.. nisiulizwe

    Hamjambo nyie waja Binafs sitaki niulizwe, yaani ukute leo nimetoa uzi mimi mwizi, kesho kutwa mimi askofu au sheikh sitaki niulizwe au nikumbushiwe Uwa nawa replesent watu wangu wa karibu, sasa mkiniuliza mimi nilikuwa mlevi vipi leo naswalisha sitak maswali ya hivyo Humu kuna watu...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mzee Warioba ni tunda la mfumo kristo na anachokifanya ni muendelezo wa harakati zile zile

    Friends and Our Enemies, Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike. Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kaacha legacy mbaya sana kwenye usalama wa nchi hii!

    Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha...
  10. JamiiForums Tanzania Muendelezo wa Kutisha wa Kuvunjwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuambieni tu kuwa CCM wako juu ya Katiba tuelewe moja.

    Imefika kipindi tukubaliane jambo moja tu, kuwa nchi hii haiongozwi tena kwa Katiba na Sheria bali utashi wa watu binafsi. Kama si hivyo basi tukubaliane tu jambo moja kuwa wananchi wote wa Tanzania ni vigaragosi na mazwazwa kiasi kwamba Viongozi wanaweza jifanyia jambo lolote lile bila kuogopa...
  11. JamiiForums Tanzania Tutete: Unawezaje kuweka muendelezo wa vile uvifanyavyo na usivyovifanya?

    l
  12. JamiiForums Tanzania Muendelezo wa msg za Whatsapp za G55 Kwa mwenzao aliyeshtukia Mchezo

  13. JamiiForums Tanzania Muendelezo wa njia za kutoka pesa Binance kwa kutumia Binance Pay

    Habari ndugu zangu wa JF natumaini mnaendelea vyema kabisa hasa kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani kwa ndugu zetu waislamu na Kwaresma kwa ndugu zetu wakristo wakatoliki. Leo nataka kuendelea na uzi wetu unaohusu Binance payment methods ambapo kwa uzi uliopita tuliangalia njia nne unazoweza...
  14. JamiiForums Tanzania Ni muendelezo wa utapeli wa soka bongo pamba jiji na yanga matokeo yamekwisha pangwa..hakuna mpira...

    Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio...
  15. JamiiForums Tanzania No doubt!: Kwa yaliyomtoka jana ni muendelezo wa kuwapa point tatu washindani wake kisiasa.

    Wasalaam, Wahenga hunena "Kimtokacho mtu kinywani ndicho kiujazacho moyo wake" kwa maneno yake ya jana kwa mtu mwenye kufanya tafakuri basi ni dhahiri shahiri yale wasemayo watu yana ukweli ndani yake, hata kwa sisi tuliokuwa tunampa benefit of the doubts basi ameprove na kutudhihirishia...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Utajiri wa Mtanzania (Muafrica) hauna muendelezo?

    Kwa sasa Utajiri wa nchi na wafanyabiashara wakubwa na wanaotambulika RASMI upo chini ya wasomali, wahindi na waarabu! Rarely au hakuna kabisa kumkuta Mtanzania amepenya hapa. Kama Mtanzania akifanikiwa kuwekeza na akafika angle fulani ya kuwa na UTAJIRI RASMI kisha ikitokea amefariki, basi...
  17. JamiiForums Tanzania Nani mwenye muendelezo wa hii habari ya wananchi Mwanza kuzuia watu waliovaa kiraia kukamilisha ukamataji?

    Jana kulisambaa video ikisemekana ni maeneo ya mwz. Wananchi wakilisonga na kuzuia gari kutoondoka na watu waliokamatwa hadi hapo ocs wa pamba aje.
  18. JamiiForums Tanzania Teknolojia: Kivuli cha Ushindi au Majuto bila muendelezo nanenane itabakia kuwa ya msimu tu.

    Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.” Lakini dunia ilibadilika haraka. Kamera za kidigitali zilikuja na ufanisi, urahisi, na ubora ambao...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi Nane Nane 2024 - Mamlaka husika zichunguze mchakato mzima

    Wakuu, Nane-Nane ya Mwaka huu imegubwikwa na ufisadi wa hali ya juu hususani katikamaandalizi yake. Hii yangu inakuja kama muendelezo wa kile amba ho kiliwekwa wazi kwamba kuna vyoo viwili tu katika eneo lote kitu ambacho kimesababisha kero kubwa kwa washiriki. Ukienda mbele zaidi haya ndio...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa muendelezo unavyoenda yale yaliyomkuta Manji yataenda kumkuta Glezabhai

    Nikiangalia mwelekeo unavyoenda siyo kwa bahati mbaya. Ni mpango ulisukwa muda mrefu sana. Sasa hivi upo katika execution tu. Na bahati mbaya Glezabhai naye kaingia kwenye mfumo. Goli lazima ziingie nyingi. Manji hakuelewa kuwa wakati wake umefika, angejiweka pembeni haraka na kuiachia timu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…