muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hata mkilia machozi ya damu hatuwezi kuruhusu mateso, miaka yenu mitano mmeshamaliza. Mama yupo sahihi?

    Inashangaza kipindi ambacho taifa linapambana kuhakikisha tunawapatia Watanzania ukombozi wa kweli ndiyo mara ghafla wale jamaa wa kusifu na kuabudu au kwa jina maarufu wakiitwa Thug au S.Gang wakijitahidi kupenyeza ajenda zao mfu na mufulisi katika taifa letu teule. Niwaambie tu, huu muda...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia kwa kutembelea nchi 22 kwa awamu 25 kwa muda mfupi ndio sababu ya kuimarika huku kwa Uchumi wa Tanzania

    Dar es Salaam KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya kwa Taifa ikiwemo kufungua matumaini mapya, furaha na mwanga wa maendeleo kwa wananchi. Shaka ametoa...
  3. JamiiForums Tanzania Kutokana na kupanda kwa gharama za vifurushi, napumzika rasmi kununua vocha na kujiunga na vifurushi kwa muda usiojulikana

    Moja kwa Moja. Nina line tatu kila nikichungulia hakuna uafadhali, nilikuwa najiunga halotel kufushi cha Halotel Royal 5K kwa mwezi napata dakika na Mb ambazo zilikuwa zinanifaa kusongesha maisha lakini cha ajabu leo nimekuta wameondoa na cha bei ya chini sio elfu tano tena bali ni elfu Kumi...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Ndaki : Wizara imeridhia wafugaji wote nchini kuongezewa muda wa Usajili na Utambuzi wa Mifugo kielectronic Mpaka desemba 31

  5. JamiiForums Tanzania Muda umefika wa Dola kusimamia miradi ya maendeleo, wanasiasa na ilani za vyama vyao wameshindwa

    WAKUU Nianze KWA kunukuu "Kule kwenye miradi ya maendeleo waliachiwa wanasiasa" Hii ni kauli ya mwandishi ninaye mhusudu Sana HAPA jukwaani,kwamba miradi mingi Sana HAPA nchini inasimamiwa na wanasiasa walioshinda chaguzi zao tangu tupate uhuru,lakini hadi leo bado kuna kizungumkuti Sana...
  6. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na haya makundi, muda wowote yanaweza kukuumiza

    Makundi makuu matatu, yanayoweza kukuumiza kwa kiwango kikubwa wakati wowote bila wewe kutarajia/kutegemea:- Marafiki wako wa karibu Hawa wakiamua kukuumiza, watakuumiza kweli;kwa sababu wanajua uimara wako pamoja na udhaifu ulionao. Wanaweza hata kuharibu familia yako kwa kutembea na mpeni...
  7. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa kwa Tume ya Ushindani Tanzania FCC kulimulika swala la uwekezaji wa Mo Dewji Simba

    Wakuu Simba ni brand, siyo kikundi cha wahuni, na kila kilichopo Simba ni mali ya umma (wanachama). Hivyo kumpatia mtu hisa asilimia 49 kinyemela ni sawa na uhalifu. Tume ya ushindani unapaswa sasa kuingilia kati hili suala la uwekezaji la huyu bwana, maana inavyoonekana mazingira yake ni ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ni muda wakuziacha taasisi ziajiri zenyewe ili kuokoa muda wa kuajiri

    Kumekua na utaratibu ambao unazilazimisha taasisi zote za serikali kuwatumia sekretarieti ya ajira kufanya mchakato mzima wa kuajiri kila wakati ambao taasisi hizo zinahitaji kuajiri. Lakini mfumo huu una mapungufu makubwa sana. Kwanza unachelewa sana kuajiri wafanyakazi wapya kwasababu...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kuahirishwa kesi ya Wabunge 19 wanasogeza muda

    Wanachama wa CHADEMA, jana walionyesha kutoridhika na kukasirishwa na sababu za kuahirishwa kesi ya wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama wa chama hicho. Kesi hiyo iliahirishwa kwa madai kuwa shahidi ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Bara, Hawa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mkude Simba SC imetosha, tafuta changamoto sehemu nyingine

    Amani iwe kwenu. Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo wa viungo wakabaji wa timu ya Simba SC kwa muda mrefu sasa. Nimeona mabadiliko makubwa kwa Mzamiru Yasin na Sadio Kanoute, viwango vyao vinakua siku baada ya siku ila inapokuja kwa mchezaji Jonas Gerald Mkude suala hili limekuwa ni tofauti...
  11. JamiiForums Tanzania Derby na matokeo ya sare ni kupotezeana muda tu

    Sasa ndio nini hiki tumeraruana wiki nzima halafu wanashindwa kufungana. Yaani ujinga tu haina hata raha 😡😡😡😡
  12. JamiiForums Tanzania Tunashukuru mechi ya Simba na Yanga imeisha muda huu, Yanga tumeshinda tena Allahamdulilah

    Ustaadhi wetu kashamaliza mchezo. Mchezo ulikuwa ngumu kutokana na Simba kuwa wana timu nzuri lakini kwa mipango hii tumewashika pabaya. Mzee Mpili alitimiza malengo akapata changamoto kidogo lakini Ustadhi wetu amekuja kumaliza mchezo. Wana Yanga tambeni, huu mchezo tumeshashinda. Tunashukuru...
  13. JamiiForums Tanzania Saa 11 jioni siyo muda sahihi wa kuanza mechi ya mpira

    Nimefuatilia kuhusu mechi ya kesho ya Simba na Yanga, nimesikia mechi inatakiwa kuanza saa 11:00 jioni. Najua hata huko nyuma, kuna mechi kadhaa zilianza muda huo ila naona hili ni kosa la kiufundi. Mechi ikianza muda huo inamaanisha nusu ya mechi itakuwa wakati wa mwanga wa jua na nusu itakuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ulitumia dawa au matibabu gani kupona ugonjwa uliokusumbua kwa muda mrefu?

    Wakuu salaam, Watu wengi tumekuwa tukihangaika kupata matibabu ya magonjwa mbalimbali yanayotusumbua kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote. Tunatembelea hospitali mbalimbali, kupata vipimo na kupewa dawa (medications) tofautitofauti lakini mwisho wa siku hatupati nafuu. Lakini kwa upande...
  15. JamiiForums Tanzania Sijasafiri Nje ya Nchi kwa muda sasa, naombeni Utaratibu wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki Nisafiri

    Na je, ukiwa bado unayo ile Pasi ya zamani ukienda kuhitaji hii mpya ya Kielektroniki mchakato ni mkubwa au details zilizoko katika Pasi ya zamani ndiyo hizo hizo zitatumika kwa hii ya Kielektroniki na kuipata Kiuharaka? Na je, muda wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki ni upi? Je, huko kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Barua za uhamisho kutoka mkoani kwenda wizarani huchukua muda gani?

    Wanajamii wenzangu, barua yangu ya uhamisho katika ngazi za wilaya ilikamika kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine baada ya kusota kwa muda mrefu na nilishapeleka mkoani. Nashindwa kuelewa process ya mkoani kwenda wizara itachukua muda gani isije ikawa zinawekwa kapuni mana mpaka naifikisha mkoani...
  17. JamiiForums Tanzania Vitu vinavyokupotezea muda sana katika maisha yako

    Hivi ndivyo vitu vinavyokupotezea muda sana katika maisha yako. Kwa kawaida binadamu tumepewa saa 24 tu kwa siku. Huu ni muda ambao kila binadamu amepewa kuutumia kwa kadri anavyotaka. Kwa wale wanaotumia muda huu vizuri wa saa 24 kwa siku matokeo makubwa ya maisha yao huonekana, lakini kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Niliuza nyumba yangu nikawekeze Kalynda, nikiamini baada ya muda mfupi ningerudi kuinunua tena. Nyumba imeenda, hela imeenda

    Wahenga walisema tamaa iliua fisi. Nyumba imeenda, pesa imeenda. Sijui niwalaumu Brela, sijui niwalaumu Usalama wa taifa? Sijui nimlaumu yule dada aliyekuja kunishawishi? Mshana Jr, nitafutie ndumba ya kuwafuta wote waliosababisha niwe zuzumagic, mpenda miujiza, niliyejawa na tamaa ya fedha na...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu Waziri Mchengerwa atafanya tufungiwe na FIFA

    Kiukweli naona hisia za team yake ya Yanga kuwa mguu ndani nje zimemchanganya sana, haswa ukichukulia Simba ilifanya vizuri ugenini. Kauli alizozitoa jana ukitafakari unaona ni hasira tu, sasa ma hasira yake kuna mambo anataka alazimishe Simba wafanye ku share mipango yao na Yanga, au kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kariakoo, Dar: Kumetokea ujambazi wa kutisha mtaa wa Lindi na Livingstone muda huu, Polisi mpo wapi?

    Kuna bodaboda mbili zilipita speed kwenda uelekeo wa mtaa wa Lindi na Livingstone, kumbe bwana walikuwa wanamkimbiza mhindi aliyekuwa kwenye bodaboda nyingine ya mbele akiwa na begi mgongoni, inasemekena ni mauzo ya dukani. Basi nikasikia puuu, kugeuka nikaona ile bodaboda ya Mhindi ipo chini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…