mtwara mjini

Masasi Town District Council is one of eight regional councils of the Mtwara Region in Tanzania. It is bordered to the north and south by the Masasi District, to the east by the Newala District and to the west by the Nanyumbu District. According to the 2012 census, the district has a total population of 102,969.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    GE2025 Baisa amechukua fomu kugombea nafasi ya ubunge Jimbo la Mtwara Mjini

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, Baisa Baisa amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge Jimbo la Mtwara Mjini. Baisa, amekabidhiwa fomu hiyo leo Julai 1,2025 na Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara, Fadhili Ukasha Soma pia...
  2. kyagata

    GE2025 Msanii Harmorapa ametia nia kugombea Ubunge jimbo la Mtwara mjini

    Msanii Harmorapa nae ameitumia haki yake ya Kikatiba kwa kutia nia kugombea ubunge jimbo la Mtwara mjini
  3. Liutenant

    Nitasimama na Joel Nanauka kama atachukua fomu ya ubunge wa Mtwara mjini

    Huyu kijana nimemuona anayo maono makubwa na ataweza kusaidia ukuaji wa uchumi wa jimbo hili. Kama safari hii atagombea kwa chama chochote nitampatia sapoti yangu ya hali na mali Shehe THE BIG SHOW kipindi hiki msikosee
  4. R

    PreGE2025 Wanachama 2567 wa CUF wamejiunga na ACT wazalendo kumfuata Maftaha Nachuma Mbunge mstaafu wa Mtwara Mjini

    Katibu Mkuu wa ACTwazalendo Ado Shaibuado amesema kuwa jumla ya wanachama wapya 2567 wamesajiliwa kwenye mfumo wa kusajili wanachama wa "ACT Kiganjani" tangu Mbunge Mstaafu wa Mtwara Mjini Ndugu Maftaha Nachuma awasiliane na uongozi wa Chama kwa ajili ya kutangaza kujiunga. Ado Shaibu...
  5. R

    PreGE2025 Wananchi Mtwara Mjini walalama Miaka mitano hawajawahi kumuona mbunge wao Jimboni, wanaishia kumuona kwenye Runinga

    Wakuu vipi uko kwenye majimbo yetu? Imekua tabia ya viongozi wengi kuonekana kipindi cha uchaguzi wakihitaji kura kutoka kwa wananchi huku wakitoa ahadi nyingi za maendeleo, ambapo baada ya uchaguzi ni kilio cha wananchi ndicho husikika na hii imewakuta wananchi wa Mtwara Mjini ikiwa ni miaka 5...
  6. Nipe Maji

    PreGE2025 Halima Nabalanganya wa ACT atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Mtwara mjini

    Mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo, Halima Yusuph Nabalanganya, Mei 22, 2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini kupitia chama hicho. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu, Halima amesema hatua hiyo inalenga kuomba ridhaa ya wanachama wa ACT-Wazalendo ili aweze...
  7. christophany

    NYUMBA INAUZWA IPO MTWARA MJINI BEI MILION 14 , BADO KUNA NAFASI YA MAZUNGUMZO KWA MTEJA

    Imeshauzwa.
  8. N

    Natafuta mwanamke wa kuoa - Mtwara mjini

    Habari ndugu zangu. Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu. 1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo; 2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33; 3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER...
  9. LIKUD

    Mwanaume fanya unachofanya lakini hakikisha tarehe 28 Novemba unakuwa Mtwara mjini

    Usije sema hukujua. Siku hiyo akina Zai watakuwa kama wote. Halafu kama mtakodi gari kutoka Dar kwenda Mtwara hakikisheni mnakuwa na UMOJA, mwenzenu akipigwa gari zima mnakuwa MASOJA. N.B: palikuwaga panaitwa "MTWARAHA" Nyerere akaikata hiyo RA ili ibaki Mtwara maana alijua watanzania...
  10. Matulanya Mputa

    Mbunge wa Mtwara Mjini afichua jinsi CCM inavyolazimisha wanachama kugombea ubunge kinyume na matakwa yao

    Mbunge wa Mtwara mjini anatoa ushahidi mwingine juu ya uzalimu wa CCM, sikiriza hiyo toka Mtwara mjini.
  11. Nangose 1

    Wapi nitapata hivi vitu Mjini Mtwara?

    Wakuu, nipo mjini Mtwara. Nahitaji nipate vitu vifuatavyo. Pete za ndoa Pete za uchumba Mkufu Hereni na brcelet Vyote hivyo viwe English Gold materials. Naomba kufahamishwa maduka gani niende nyie wenyeji wa Mtwara
Back
Top Bottom