Mtume (pronounced em-tu-may) was an American funk and soul group that rose to prominence during the early 1980s and had several R&B hits during its career. Its founder, former percussionist James Mtume, previously played and toured with Miles Davis in the early 1970s. Other members of the group included Reggie Lucas, Philip Field, and vocalist Tawatha Agee. Mtume also gained recognition after having its hit single "Juicy Fruit" extensively sampled by many hip-hop artists, most notably by the Notorious B.I.G. in the 1994 hit song "Juicy".
Kwa hiyo huyo 'Daktari' Samia Suluhu Hassan anamzidi hata Yesu Kristo pamoja na manabii na mitume wote waliomtangulia na kuja nyuma yake ukiachia huyo 'Mtume'? Tunasubiri kusikia hiyo 'past tense' yako Bw. Kawaida. Kumbuka kuwa hata Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri na yeye aliwahi...
Viatu vya Mtume Muhammad (s.a.w.), ambavyo kwa Kiarabu hujulikana kama Na'layn Shareef, vinapatikana na vimehifadhiwa katika Makumbusho ya Ikulu ya Topkapi (Topkapi Palace Museum) iliyopo Istanbul, nchini Uturuki. [1]
Viatu hivyo vimehifadhiwa kwenye chumba maalum kinachoitwa Chumba cha Masalia...
Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia
Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa?
Je, Mtakatifu Paulo, ambaye alidai kuwa mzaliwa wa Tarso na raia wa Roma, kweli alifanya safari ambazo anaelezwa kuwa alifanya? Au safari hizo zilitungwa tu ili kutoa msingi wa kuweka barua zake...
Myahudi aliyeitwa Sauli? Mtume aliyeitwa Paulo? Au ni hadithi iliyotungwa tu?
Kutoka kuwa mtu aliyekuwa akiwafuatilia na kuwakamata wapinzani wa dini, hadi kuwa kiongozi mkubwa wa kanisa; kutoka kupambana na wanyama huko Efeso, hadi kuuawa kwa kukatwa kichwa huko Roma—hadithi ya Paulo ina...
A) Wayahudu
Wakati mtume Muhammad anaanza kupokea ufunuo kutoka Kwa Allah kipindi hicho Saudi Arabia kulikuwa na Wayahudu wengi sana
Wale waarabu ambao wanampinga mtume Muhammad ikabidi waende Kwa wayahudu kupata ushauri kuwa wafanye nini Ili kujua kuwa Muhammad ni mtume kweli au ni muongo...
Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu.
Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama.
Upi ulikuwa msimamo wake na vipi jamii ameiasa. Hapa siingilii mahakama maamuzi tunachambua jinsi ya mtume Muhammad...
Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli za hovyo za viongozi wajinga na wapumbavu so paining 😭
Sheria zipo na hazimuogopi mtu.
Mtu mmoja...
Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo?
Sababu leo ni Miaka 2026 Tangu kuzaliwa kwa Emanueli(Yesu) huku Mohamad ikiwa kwanza ndo Miaka 1448 Tangu kuzaliwa kwake.
Je, Ni kweli Yesu kampiga gap la Miaka zadi ya 500 Mtume Mohamad?
Kwa Ufupi Mohamad ni...
Ataitwa Pastor Kiranga au nabii kiranga au mtume kiranga.
Atakua mlokole haswa anayenena kwa lugha na atakua anatoa mapepo.
Atahubiri na kueneza neno JF na kwingineko. ataweka hadi spika kwenye mikusanyiko na kuhubiri.
Destiny yake nimeshaiona karibu mtume Kiranga
Ndugu zangu Waislam
Quran 16 : 67
"Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili."
Tumeruhusia kutengeneza kunywa na kuuza vilevi.
Tumswalie mtume.
Jagina gallow bird adriz Ertugrul Bey Wazolee
Cc...
Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157
Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu.
Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili.
Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?.
100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu.
Kaunganisha unganisha...
Kama Duniani tu Allah alimpendelea Mtume wetu na kumruhusu kuoa wanawake 10+ . Nina amini huko Peponi atakuwa anawazagamua sana wale Mahurumain wa Allah.
Quran 33:50
"Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako ulio wapa mahari yao, na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia katika alio kupa Mwenyezi...
Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi wa kipekee aliyeongoza jamii yenye migogoro ya kikabila, kiimani, kijamii na kisiasa. Uongozi wake uliijenga amani, umoja, utawala wa sheria, na usawa katika mazingira ambayo awali yalikuwa magumu sana.
Njia alizozitumia
1. Alisimamia Mkataba wa Amani –...
Mwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W).
Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye ...
Awali, Waislamu walikuwa wakiswali wakielekea Bayt al-Maqdis (Jerusalem). Baadaye, Qur’ān ikateremsha amri ya kubadilisha Qibla kuelekea Kaaba:
Baadaye allah aliona wanaswali wakiangalia Mbinguni na yeye hayupo huko, akaona wana angalia Jerusalem kwa Mungu wa Kiyahudi. Muhammad akapata wahyi...
Ni kwanini Jinbril halikumwamini Mtume aliposema hajui Kusoma na kuendelea Kumkaba Nusura ya Kumwua? Natafakari sana jambo hili sipati majibu.
Hili Jin Bril kwa nini halikuwa linamwamini mtume aliposema hajui kusoma wala kuandika? Why? Angekuwa ni malaika Gabriel angejua tu kuwa huyu jamaa...