mtoto wa kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Usiku wa manane nilipopita karibu na chumba cha mtoto wa miaka 12 niliona mwanga wa simu, Nahofia kashaharibika kuwa mraibu wa game au?

    Ni mtoto wa ndugu yangu kamaliza darasa la saba kaja huku kwangu. Hana simu lakini huwa anaazima ya house girl, ni smartphone. Siku ya jana nilitoka kidogo chumbani mida ya saa nane kupiga survey ya kiusalama, nilipopita karibu na chumba chake niliona mwanga, mlango ulikuwa haujarudishiwa...
  2. M

    Mwanaume unatakiwa kuoa akiwa na miaka mingapi?

    Mtoto wa kiume anatakiwa kuoa akiwa na miaka mingapi?
  3. Mtoto wa kiume ,chukua hii

    Hivi wewe mtoto wa kiume straight unakuaje Inspired wa mafanikio kutoka kwa Mwanamke au Shoga. Yani unakuta mwanaume kabisa anasema anatamani kuwa pesa na magari kama Jenifa yule muuza nguo Sinza .. mimi sikuelewi Au unatamani kuwa kama yule lile lichoko li Uncle T.. of course wana mafanikio...
  4. Kuna asilimia kubwa mtoto wa kiume kuwa chapati pale anapokosa father figure ktk malezi na bahati mbaya mpira wa singomaza unarushwa kwa wadada pekee

    Sawa, wadada wamekuwa kisirani sana ila vidume nao wamekuwa wakaidi sana. Sawa, wadada wamekuwa mayai sanaa ila vidume nao wamekuwa wadhaifu kupindukia. Mtoto anaishia kujifunza solution za maswala ya upande mmoja wa kike, mara nyingine ataenda kuishi na dada ya mama yake alie singomaza pia na...
  5. Naombeni majina mawili pacha ya kikristo la mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" Liishie na "N"

    Habari ndugu zangu Wakuu naombeni majina ya kikristo mawili ya mapacha, mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" na mwisho liishie na herufi sound " N" "Likianza na "Jo" lika sound mwisho "N" itakua unyama zaidi maana mbegu na mayai tumeunga j & n mwanzoni ningependa na watoto wa anze na...
  6. Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

    Ndugu zangu . Je, ni sahihi kumuita mtoto wa kiume "JOHAN" naombeni pia faida na hasara zake katika jamii?
  7. Nilimuombea Mama huyu apate mtoto wa kiume - amepata!

    Wakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume. Kwa imani, nilianza...
  8. W

    Kuchelewesha kutahiri mtoto wa kiume ili asiwe na maumbile madogo ni ujinga, ukubwa wa uume unafuata asili ya baba mzazi

    Kuna imani potofu kuwa kutahiri mtoto akiwa mdogo husababisha uume kuwa mdogo ukubwani, au kwamba ukichelewesha, uume utakua zaidi, hii si kweli. Nchi kama Marekani yenye watu wa asili nyingi na kutahiri wavulana wakiwa wachanga ni mfano mzuri sana. Wamarekani weusi wengi licha ya kutahiriwa...
  9. Askari magereza mbaroni kwa kumlawiti mtoto wa kiume miaka 13

    Naweza kusema hii ni aibu kubwa sana kwa ofisa wa jeshi la magereza kushikiliwa na jeshi la Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 13. Taarifa fupi ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro iliyotolewa na kaimu RPC,kamishna msaidizi wa jeshi la polisi(ACP),Abel mtagwa...
  10. Tuongee kuhusu madhara ya kumchoma mtoto wa kiume ganzi kwenye uume wakati wa kumtahiri

    Nimetazama kwa watoto wangu nimeogopa. Hiyo ganzi mtoto anachomwa kwenye uume. Je haiwezi mletea madhara kwa uume wake kweli? Mpaka muda huu uume bado umevimba kwa hiyo ganzi na mbele ya uume pale kuna kama utando fulani hivi. Ndivyo inavyo kuwa ama? Mlio tahiri watoto wenu hebu tujulisheni...
  11. Wamanyema katika desturi na mila zetu mtoto wa kiume huchaguliwa mke na Baba yake na mahari ya kijana anapaswa kulipa Baba

    Na pia mahari hutolewa na Baba nasio kijana muoaji. Hivyo Baba huwa na jukumu la kumtafutia mke kijana wake na pia huwa anajukumu la kumlipia mahari. Hii ndio mila yetu sisi Wamanyema. Ni marufuku kijana kutafuta mke na kumposa. Ni lazima mke wa kwanza atafutwe na Baba na Mahari alipe Baba.
  12. Jina zuri la mtoto wa kiume

    Wife kajifungua salama kabisa, with no any complications OK. Jina gani Zuri la mtoto wa kiume , la kikristu , Lianze na alphabet A
  13. M

    Mrejesho Mtoto wa kiume miaka9 akivuta pumzi ndani au kupumua sehemu ya mgogo yote anahisi maumivu

    Habari wakuu nimerudi kwenu kijana wangu siku ya Eid pili aliniambia anahisi akiwa anapumua au kuvuta pumzi kwa ndani anaskia maumivu sehemu yoote ya mgongo,nkamuuliza Hali imekuanza lini akasema Leo Leo ambayo ndo ilikua siku ya Eid pili Nikamuhoji kuhusu shule kama alianguka akasema...
  14. M

    Mtoto wa kiume miaka 9 akivuta pumzi ndani anasema mgongoni kunauma itakua shida ni nini?

    Habari wakuu Nina kijana wa miaka9 anadai akivuta pumzi kwa ndani anaskia maumivu sehemu yote ya mgongoni,tatizo litakua ni nin msaada kwa wazoefu
  15. D

    Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

    Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake?? Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yao na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu. Juzi hapa...
  16. SI KWELI Uume wa mtoto ukidondokewa na kitovu chake huacha kusimama

    Je ni imani za kweli kuwa kitovu cha mtoto mchanga kikiangukia uume huyo mtoto atakua hasimamishi? Wajuvi wa mambo tunaomba mtusaidie.
  17. Ni kweli mtoto wa kiume anatakiwa kutahiriwa wakati wa baridi?

    Nimeshauriwa muda mzuri wa kutahiri watoto ni wakati wa baridi na sio wakati wa joto. Je ni kweli? Kwa hapa Dar es salaam ni mwezi gani mzuri wa kutahiri mtoto( mwezi wenye baridi). Asante sana
  18. Ni ipi hospitali nzuri ya serikali ya kutahiri mtoto wa kiume kwa Dar es Salaam?

    Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es Salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii. Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake...
  19. Mtoto wa Kiume kadri anavyokua huanza kumsamehe Baba yake

    Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi. Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine. Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio. Mtoto wa Kiume humchukia Baba pale anapokua Mdogo, humuona Baba kama asiye na Upendo na Mama yake, ama...
  20. Mtoto wa kiume hasa hasa graduate kamwe usikubali kuishi kwa shemeji yako ( mme wake na dada yako) ni laana

    Wakuu kwema Hizi mvua mvua zinazonyesha hapa Bariadi leo nimeshuhudia graduates anayeishi kwa dada yake akipewa maelekezo na shemeji yake (mme wake na dada yake), ahamishe trip nne za mchanga (matipa/malori manne) kutoa nje kifusi cha mchanga kuingiza uwani (ndani ya fensi/ uzio). Sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…