mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

    Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka. Choo mlangoni wameweka gunia au khanga Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga. Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri. Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
  2. JamiiForums Tanzania Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

    Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema. Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto. Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya...
  3. JamiiForums Tanzania Muliro: Clip ya anayedaiwa kuiba mtoto eneo la Goba ni ya Julai, 2022

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2024, Saa 3:20 asubuhi ilipata taarifa kuwa eno la Goba Matosa, Kinondoni kulikuwa na tukio la mauaji yaliyotokana na ugomvi kati ya watu wanaodaiwa kuwa ni wapenzi Polisi baada ya kufika eneo la tukio walibaini kuwepo kwa mwili wa...
  4. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Kila Mtu amlinde mtoto wake, kuna watu kwa tamaa wanawateka watoto

    Prof. Mkumbo Kufuatia hali ya sintofahamu iliyoripotiwa kutokea eneo la shule ya msingi iliyopo Mburahati Kata ya Mkurumla iliyopo Wilaya ya Ubungo kwa wazazi na walezi kukusanyika kwenye eneo la shule kutokana na hofu ya madai ya watoto kutekwa, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo...
  5. JamiiForums Tanzania Unalijua hili kuhusu Mtoto wa kambo?

    Kijana endapo kama utaamua kuoa single mother na ukaamua kubeba majukumu ya ubaba kwa mtoto wake basi tambua kuwa mtoto hatothamini unavyojitoa kwake na kila utakachofanya ataona kuwa unayafanya hayo majukumu kwasababu upo na mama yake na sio kwamba unampenda kweli. Mtoto wa single mother...
  6. JamiiForums Tanzania Ni sawa, umeenda kupima DNA na ukakuta mtoto sio wako; utafanyaje?

    Kheri Kwenu mabibi na mabwana. Moderator msifute huu Uzi hatutaelewana kabisa. Nikweli natambua yakuwa gharama za kupima DNA sio kubwa ukilinganisha na gharama za kuleta mtoto Ambae sio wako. Yaani utunze mimba,gharama za kujifungua, malezi ya mtoto,usomeshe Hadi chuo kikuu mtoto apate kazi...
  7. JamiiForums Tanzania Kisa cha mapenzi cha Gavi na mtoto wa Mfalme Hispania

    Leonor, Princess of Asturias ni binti wa kwanza wa Mfalme wa Hispania, Felipe VI na Malkia Letizia. Alizaliwa Oktoba 31 mwaka 2005 kwa sasa ana umri wa miaka 18. Amehitimu chuo na mafunzo kijeshi hivi karibuni na ndie malkia anayefuatia kwa utaratibu wa Ufalme wa Hispania. Sasa huyu binti...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Mtoto mwenye ulemavu wa mguu apatiwe Mguu wa Bandia kwa gharama za Ofisi ya Rais

    Rais Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kuhusu mtoto mwenye ulemavu wa mguu kufanyiwa mchakato wa kupewa mguu wa bandia kwa gharama ya Ofisi ya Rais. Ametoa maelekezo hayo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, Mariam Chaurembo wakati aliposimama kuzungumza na Wananchi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Mwenye huyu mtoto mwambieni wazungu wanamshangaa na anaweza kujifungia kwenye fursa nyingi hakaishia na ujinga wake

    Hawa UVCCM huyu kijana sijui Abdul ni sample ya takataka tokea kuumbwa vyoo vya kuflash. kuna kitu kimoja anashindwa kujua siasa anayotumia ili mtandao wa twitter ufunge sababu kuminya demokrasia unaweza kumtokea puani kama kila mtumiaji wa X anaweza kuandika malalamiko anavotumika na jina lake...
  11. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mtoto wa miaka minne akutwa amefariki baada ya kukatwa mkono na sehemu za siri

    Mtoto wa miaka minne jinsi ya kiume amekutwa ametekelezwa nyuma ya nyumba kwenye makazi ya watu Kisasa majumba 300 baada ya kukatwa mkono wa kulia na sehemu za siri na watu wasiojulikana na kutokomea navyo kusikofahamika. Siku kadhaa hapo nyuma yameshatukia matukio kama haya mawili ambayo...
  12. JamiiForums Tanzania DADAZ: Kumtekenya mtoto ni mojawapo ya ukatili

    Basi kama ni hivi, nimekatiliwa sana😅
  13. JamiiForums Tanzania KERO Wajawazito zahanati ya Mbinga wadaiwa kutozwa Tsh. 500 ya mlinzi

    Mnamo tarehe 29 Aprili nilifika katika zahanati hiyo iliyopo Halmashauri ya Mbinga Kata ya Lusonga nikashangaa kuona wanawake wajawazito wanatozwa Tsh 500 wakidai wahudumu wa pale wakidai kwa ajili ya kumlipa mlinzi. Kama hakitoshi Kadi ya mama mjamzito inauzwa Tsh elfu 2,000 na wakichelewa...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa kituo kwa mtoto mlemavu

    Wasalaam Kuna jambo linamiumiza kichwa nimeshindwa hata kulala usiku huu nikaona niwashirikishe humu Historia ya Charles David Mtoto huyu ambae nimepata kufahamiana na mama yake kwa zaidi ya miaka 7 hivi. Kwa majina anaitwa Charles David. Hakuzaliwa na ulemavu, alipata ulemavu wa mwili na...
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

    Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani. Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar. Hii...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Huko serikalini Kuna nini, ni fedheha mwalimu kusikia mtoto uliyemfundisha anakwiba Mali za umma!!

    Salaam, Shalom!! I declare interest, Mimi ni mwalimu wa watoto. Sasa Huwa tunakaa tunajiuliza, walimu Hasa tunakosea wapi? Tuseme kwamba labda Kuna watoto wengine hawapiti mikononi mwetu, hili Si Kweli, Mbona huku darasani tunawafundisha msiibe, tunawafundisha msizini, Kila mtu awe na mke...
  17. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuweka msiba au kupitisha mchango wa msiba kwa mtoto aliyefia tumboni?

    Je ni sahihi kuweka msiba au kupitisha mchango wa msiba kwa mtoto aliyefia tumboni hata miezi 9 hakufikisha?
  18. JamiiForums Tanzania Je, mtoto anaweza kurithi ugonjwa wa Hydrocephalus kupitia wazazi wake?

    Ni wazi kuwa tumepata kuona kwenye vituo vyetu mbalimbali vya afya wagonjwa wa Hydrocephalus, watoto wetu wamekuwa wakipata matatizo haya kwa kiwango kikubwa. Kwa zaidi ya miaka 10 nimekuwa nikiwaona wazazi na walezi wakipata shida, wakizunguka hapa na pale kwa ajili ya kutafuta suluhu ya...
  19. JamiiForums Tanzania KWELI Picha ya Lionel Messi na Yamal akiwa mtoto

    Kuna picha inasambaa ikimuonesha Messi akiwa anamuogesha Yamal wakati Yamal akiwa mtoto. Naomba kufahamu ukweli wa ile picha na ilikuwaje Messi akakatuna na Wazazi wa Yamal enzi hizo.
  20. JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Nitasusia Uchaguzi was TLS kama Mwabukusi asiporudishwa kwenye orodha ya Wagombea

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…