kitovu cha mtoto kimeharibu ndoa
Kaka angu magical power, nimeamua kuikimbia ndoa ili nimuokoe mwanangu naona walikuwa na nia mbaya juu ya mtoto. Kaka hata kujifungua tu kidogo nifie hospital nikasaidiwa na mkunga kwa uzoefu wake aliywesha dawa fulani ya kienyeji kwaa uzoefu wake alisema...