mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa mshahara mpya wa TZS 500 000 kwa mtumishi mwenye mke na mtoto mchanga/toddler

    Habari zenu wadau, naomba niwarudishe nyuma kidogo juu ya swala hili la nyongeza ya mishahara Niwatake ndugu, jamaa na marafiki wawe tu watulivu kwa hawa walengwa walioongezewa 35.1% ambayo ni sawa na TZS 130 000 hadi kufikia TZS 500 000 kutoka TZS 370 000 ya kwamba bado itakuwa sio rahisi...
  2. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 6 haijui kusoma kalenda

    Salam wakuu. Nimekuwa nikimpima huyu kijana wangu mara kwa mara ila nahuzunika kuona hawezi kumaster mtiririko wa masaa na kalenda. Mfano leo nimemjaribu na mazungumzo yakawa hivi; Mimi: "..kwanin hujaenda shule wakati leo jumapili?.." Mtoto: "...leo ni jumatano mwalimu kasema hatuendi shule...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mwanamke achangiwa zaidi ya bilioni moja baada ya kumwita mtoto mweusi wa miaka 5 niga

    Tukio la kibaguzi lililorekodiwa katika uwanja wa michezo wa Minnesota limezua hasira na kuzua mzozo usiotarajiwa baada ya mwanamke anayeitwa Shiloh Hendrix (kwenye picha) kurekodiwa akielekeza maneno ya ubaguzi wa rangi kwa mtoto mweusi mwenye umri wa miaka mitano, ambaye inasemekana ana autism...
  4. JamiiForums Tanzania Nipo njia panda, je huyu mtoto ni wangu ?

    Nipo njia panda, je huyu mtoto ni wangu ? Habari za siku nyingi JamiiAfrica! Akili yangu imechanganyikiwa sana hapa nashindwa kuelewa cha kuamua juu ya mkasa huu uliyo nitokea. Miaka mitatu iliyopita nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke sehemu x,baadae tukaacha bila sababu za...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeumia kuona moja ya picha ya crime scene nyumbani kwa mdude kuna choo cha mtoto.

    Mtoto mdogo kama huyu unakuta alishuhudia baba yake anapigwa and maybe anaweza asimuone tena
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto miaka9 pingili za mgongo zimenyooka

    Habari wakuu kijana wangu wa miaka 9 alikua analalamika maumivu ya mgongo sana,nkaenda hospital mbili tofaut nkakutana na daktari wa mifupa Akafanyiwa x ray ya mgongo ikaonekana pingili za mgongo zimenyooka,kikawaida zinatakiwa ziwe zime bend,akaandikiwa dawa ya neuroton na declofenac jel...
  7. JamiiForums Tanzania Rombo; Kilimanjaro Baba aua mtoto wake na Kisha kuchimba shimo na kumfukia

    Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Edward mwenye umri mwenye umri wa miaka 66 anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Rombo kwa kosa la kumuua mtoto wake wa kiume Kwa shoka na Kisha kuchimba shimo na kumzika mwenyewe usiku. Hali ya Taaharuki imeikumba Kijiji Cha Kilema katika kata ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kabla hujaenda ngazi moja ya elimu au hujampeleka mtoto kwenye ngazi mpya ya Elimu jiulize swali hili

    Si kwamba elimu ni useless, hapana. Elimu ni very potential asset lakini inapokaa kichwani mwa mtu na haina impact hiyo elimu ni useless. Kupoteza muda na fedha tu. Sasa una degree ya miaka 3 au 4 then unakuja kulowea kwenye bodaboda hiyo elimu ni useless. Umeitia serikali hasara kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto wangu ameniambia wapeleke Tsh. 3000 ya mtihani wa moko darasa la nne ila hawatoi risiti

    Mtoto wangu ameniambia wapeleke 3000 ya mtiani wa moko darasa la nne ila hawatoi risiti vp TRA wanapataje mapato yao?
  10. JamiiForums Tanzania Sikiliza kisa hiki cha Mtoto mchanga wa siku tatu Police wambeba kwa mahojiano inasemekana Kamtaja Samia..

    GT Maajabu hayajawahi kuisha.duniani hapo. Mchawi wa samia bado yupo hai. Inasemekana Mtoto aliyezaliwa tarehe 9 April 2025 ameongea na kumkanya Samia kuhusiana na mwenendo wa nchi kwa sasa.
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nusrat Hanje: Mtoto wetu aliyezaliwa Singida anataka kuvuruga Amani, Hatutakubali tunakwenda na Dkt. Samia

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki...
  12. JamiiForums Tanzania Kumpeleka mtoto Boarding shule ya msingi ni Kuua vipaji vyake....

    Leo nimemtembelea ja.aa yangu. Mtoto wake alikuwa rafiki yangu sana. Kabla hajapelekwa Boarding kwa sababu zisizozuilika alikuwa mchangamfu, mbunifu, anaonyea leadership skills akiwa na wenzake, anahoji maswali ya maana lakini huyu niliyemkuta sasa ni mwingine kabisa. Muoga sana. Ujasiri wote...
  13. JamiiForums Tanzania Zamani ukiwa na mzazi kada wa CCM, ilikuwa fahari, kwasasa unaogopwa

    Wapo Wana CCM wachache wanaoamini katika Utu na kushindana Kwa Hoja Yakinifu zama hizi, Walio wengi wamejaa hila, uchu wa Madaraka, wizi na mipango ya kufiisha watu wanao tofautiana Kwa Hoja. Zamani Mzazi wako akiwa kada wa Chama anazijua sera na pia anajua kushawishi! Hawa vilaza wa Sasa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Huna changamoto za kiafya, Umefika miaka 35 huna mtoto, usingizi unautoa wapi kwamfano ?

    Muhimu: Ni nje ya watu wenye changamoto za afya za uzazi, walemavu, wafungwa wa magerezani, watu wanaoishi maisha ya kimasikini kupitiliza. Suala la kuoa au kuolewa halina uzito sana hasa kwa zama za sasa, watu wengi ndoa zimevunjika wanaishi kivyao Lakini unafika 35 huna au hujawahi kuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Klabu ya Vipers SC ya nchini Uganda yaahidi kumsomesha mtoto Jamal

    Klabu ya Vipers SC ya nchini Uganda imemzawadia Mtoto Jamal Ssenyondwa aliyetokwa na Machozi katika uwanja wa Nakivubo wakati Vipers ilipopigwa goli la pili na klabu ya Express United na kufanya Mechi kuwa 2-1 katika dakika ya 90+3 kisha akaonekana kushangilia kwa furaha baada ya Vipers...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu yeye na Simu yake ataki niishike hata kidogo. Na siku aliyoumwa aliikumbatia kama mtoto

    Hapa Dar kila mtu yuko busy sana na maisha. Mwaka juzi mke wangu alipata changamoto ya kiafya kiasi simu yake hakuweza kuwasiliana. Nikalazimika kuchukua likizo ili kumuuguza. Lakini pamoja na kuwa na hali mbaya kiafya bado hakubanduka na simu yake. Tatizo lilitokea ambalo simu yake ilitakiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuzaa mtoto ili akikua akusaidie ni moja ya kichocheo cha umasikini wa mtu mweusi

    Sababu ya kumzaa mtoto ni ili umsaidie ikiwezekana hadi uzee wake. Ni utegevu kutafuta watoto ili waje wakusaidie. Kabla haujapanga kupata mtoto weka na mikakati ya kumsaidia hadi mwisho. Muandalie mifumo, urithi wa kutosha ikiwezekana hadi wa wajukuu wako ( watoto wake). Hivi ndivyo vitabu...
  18. JamiiForums Tanzania Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake amemchorea ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!.

    Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake ameshamchorea Ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!. Kumbuka Jay Z katoka familia za kimasikini Sana , aliwahi hadi kuuza drugs , n.k Alichokifanya ni kuamua kuukataa umasikini kwa kuhakikisha...
  19. JamiiForums Tanzania Baba aitaka Hospitali ya Aga Khan imlipe fidia ya Tsh. Bilioni 1.2 baada ya mtoto wake kukatwa mguu

    https://www.youtube.com/watch?feature=shared&v=5DrxCZ8iVZs Mwanaume anayefahamika kwa jina Ally Mkii, Mkazi wa Msongola Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, ameishtaki Hospitali ya Aga Khan iliyopo Jijini Dar es Salaam imlipe fidia ya kiasi cha Shilingi Bilioni 1.2 kutokana na madai yake...
  20. JamiiForums Tanzania Jina zuri la mtoto wa kiume

    Wife kajifungua salama kabisa, with no any complications OK. Jina gani Zuri la mtoto wa kiume , la kikristu , Lianze na alphabet A
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…