mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu ni utukutu wa kawaida wa mtoto au kuna mengine

    Ni mtoto wa jamaa yangu. Huyu kijana ana miaka 12 tu ila amemtoa jasho jembamba jamaa yangu . Mtoto alianza kwa kukataa shule akienda shuleni anaishia kujificha anakuwa hafiki. Alipogundulika kuwa hafiki shule akatoroka nyumbani. Ameishi kwa kujificha ficha huko mitaani huku akitafutwa takribani...
  2. JamiiForums Tanzania Inatosha sasa, huyu Mtoto wa mwisho anadeka sana

    Kwanza Muumba kawadekeza sana, licha ya wao kuwa watukutu haswa, kumkosea mara kadhaa lakini bado aliwakingia kifua na kuwarudishia miaka na mali zao zilizoliwa na nzige. Hapa alaumiwe aliye juu. Pili, baba yao Jacob alikuwa anashinda jikoni na mama yake, kazi aliyokuwa anaijua ni kudeka deka...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya: Seven Kipara ashikiliwa kwa tuhuma za kukodi Watu wamuue mama yake mzazi, risasi yafyatuliwa yamjeruhi Mtoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtuhumiwa Seven Kipara [38] mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama na wenzake za kumuua mama yao mzazi na kumjeruhi kwa risasi mtoto aitwaye Sinzo Jifwalo mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Kijiji cha Ipwizi. Ni kwamba mnamo Juni 13, 2025 saa 6:05...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya Babu na Bibi kuwa "wapole sana" kwa Wajukuu zao kuliko walivyokuwa kwangu Mtoto wako ni nini?

    Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu Sielewi aiseee hii Softness wameitoa wapi maana walivyonilea miye ilikuwa ni mchakamchaka mno na hata sasa na Utu Uzima huu kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika 2025: Mipango na Bajeti kwa ajili ya Haki za Watoto: Maendeleo Tangu Mwaka 2010

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora. Kaulimbiu ya kila mwaka hutoa fursa ya kutafakari na kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha...
  6. JamiiForums Tanzania Iran ni mtoto wa kambo na Israel ni junior

    Hii vita ukiweka mambo ya udini na kushirikisha akili Kwa undani utagundua mambo mengi ambayo yanampa aueni Israel na wakati mgumu Iran katika kushambuliana na kubwa zaidi ni hili. Ukiangalia jiografia ya haya mataifa mawili utapata jibu kuwa ISRAEL kupitia msaada kutoka Kwa washirika wake hasa...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ni ramani ambayo hata mtoto mdogo anajua Iran hakuna mahala anakwenda

  8. JamiiForums Tanzania Ben Pol abarikiwa mtoto, aweka picha hizi mtandaoni

    Staa wa Bongo Fleva, Ben Pol, amefurahia baraka mpya maishani mwake baada ya kubarikiwa mtoto. Msanii huyo ame-share furaha yake na mashabiki kwa ku-post picha mtandaoni, akionyesha upendo wake kwa malaika huyo.
  9. JamiiForums Tanzania Katika kosa ambalo hutakiwi kufanya kama Baba ni Kuogopa Mtoto wako Kupewa Sumu na Mwanamke. Toto jingajinga Fukuza. Usibabaishwe wapuuzi wasiokutii

    KATIKA KOSA AMBALO HUTAKIWI KUFANYA KAMA BABA NI KUOGOPA MTOTO WAKO KUPEWA SUMU NA MWANAMKE. TOTO JINGAJINGA FUKUZA. USIBABAISHWE WAPUUZI WASIOKUTII Anaandika, Robert Heriel Mtibeli! Wewe ni Mwanaume, sasa ni Baba. Usiwe dhaifu kiasi cha kufanya vitu ili kutafuta validation kuwa wewe ni...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko Kutoka kwa Mzazi wa Mtoto wa Darasa la Nne - Shule ya Victoria, Makumbusho

    Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na maswali mengi ambayo hayana majibu. Kwanza kabisa, tunatambua na kuthamini juhudi za serikali yetu...
  11. JamiiForums Tanzania Nataraji Kupata Mtoto Mwezi huu na hakia nitamwita Benjamini Netanyahu

    Huyu mwamba anastahili kabisa jina lake liendelee kuwa sehemu ya maisha ya Mwanangu ajaye... Benjamini Netanyahu ni kiongozi ambaye Israel sijui itampata lini tena baada yake... Hanaga mbambamba na hacheki na wowote linapokuja suala la kulinda uzayuni na wazayuni.... Kwa heshima namtunuku...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu yupo kidato Cha 3 lakini hata dirishani hafiki; atarefuka kweli au ndo basi?

    Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania wako tayari kuchangia harusi, sio gharama za matibabu ya Mtoto - Dtk. Mollel

    Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama kubwa za matibabu ya magonjwa kama saratani. Wito huo umetolewa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, alipokuwa akijibu swali...
  14. JamiiForums Tanzania Raha ya kuzaa na pisi kali, uhusiano unakuwa unadumu kutokana na mtoto

    Wakuu habari, Katika ujana wangu niliweza kuzaa na pisi kali watatu, na mwingine wa nne ni wakawaida. Kutokana na kuzaa nao watoto wazuri, mawasiliano yamekuwa ni ya mara kwa mara, hasa kwenye kujuliana hali pamoja na kuchangia maendeleo ya huo uzao wetu; ingawa wao hawafahamiani. Kwa sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  16. JamiiForums Tanzania Nampongeza mzazi aliyemfuata mtoto wake shule na HELIKOPTA. Ni matumizi sahihi ya Utajiri

    Nimeona video moja, mzazi ametuma HELIKOPTA kwenda kuchukua mtoto mwanafunzi shuleni huko bukoba baada ya shule kufungwa. Jamaa simfahamu ila nampa pongezi sana maana ndio matumizi halali ya Pesa . Huwezi KUWA na pesa mingi alafu uzao wako unaishi kifukara KWA hofu kwamba watabweteka kimaisha...
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto mwendawazimu hapaswi kupewa urithi. Familia inaweza kukodi mgeni aje atawale watoto mpaka watakapojitambua

    Baba na mama wakipata ajali wakafa au wakafa kwa maradhi huku watoto wao 6 ni watano wadogo na mkubwa mwendawazimu ili kulinda mali yule mwendawazimu akaropoka Mimi siwezi kuongoza aje jirani aongoze wakikua hawa wadogo zangu watachukua mali za baba. Akarudia tena " Mimi siwezi" Jirani akaja...
  18. JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

    Za ijumaa wakuu, Mimi ni mwanaume mtu mzima wa 35 namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo na hekima ya kuyakimbia mahusiano na mapenzi kwa ujumla toka nizaliwe Kwanza, Changamoto yangu kuu ni kwamba nimefika umri wa kuwa na mtoto lakini bado sina na hii inatokana na kwamba sina circle au...
  19. JamiiForums Tanzania Mzazi amka: Mlee mtoto kwa kuzingatia nuru iliyomo ndani yake,na na si kwa mazoea ya jamii

    Na Astrosecrets Tz Mtoto ni baraka mtoto ni nuru mtoto si uwanja wa mashindano ya mitihani wala si kigezo cha kutimiza ndoto zako zilizofeli. Mtoto wako ni nafasi mpya ya mwanga kuja duniani, na kila mmoja huja na ramani yake ya ndani ambayo inafichwa kwenye Tarehe ya kuzaliwa (Numerolojia)...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi nazotakiwa kuzifuata nikihitaji kuasili (Adopt) mtoto wa kiarabu ?

    Tayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji. watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji kuongeza wa ziada. Ni jambo la kawaida sana kwa watu wa nje ku adopt waafrika hivyo na sisi tunahitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…