mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama unamtetea pedophile kisa tu anashiriki dini moja na wewe kwanini uumie siku ukijua mgeni wako au uncle wake wa shuleni anarubuni mtoto wako?

    Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako. Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuzaa mtoto wa nje, mke wangu anaharibu watoto kwa kigezo cha "upendo"

    Mimi na mke wangu tumebarikiwa kuwa na mtoto mmoja, ana miaka 6 mpaka sasa Tatizo la huyu mtoto ni mtoto ambaye hana uvumilivu, akitaka kitu fulani ni lazima mama yake ampe la sivyo atakuwa analia mpaka akipate, akipewa chakula fulani asipokipenda itabidi mana yake ampikie kingine au mkamnunulie...
  3. JamiiForums Tanzania Ukienda kufanya zinaa muache mtoto nyumbani

    Unakuta mdada single mother au yupo kwenye ndoa anataka kuchepuka anambeba na mtoto mbaka eneo la tukio. Unamtia mtoto majanaba bila sababu za msingi, unakuta wamekalaza katoto pembeni ya kitanda huku wenyewe wakiendelea na tendo. Mwisho wa siku mtoto amekengeuka unaanza kumtafuta mchawi nani...
  4. JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto wa miezi 9 kutopenda kula

    Wadau salama? Mtoto wangu wa miezi 9 hapendi Kula chakula na akiwekewa mdomoni anatema.Alikuwa anapenda Kula nyanya mbichi,Parachichi na tango ila Kwa sasa vyote hapendi.Kama ana minyoo tiba yake ni ipi?Kama ni tatzo lingine naliondoaje? Asanteni.
  5. JamiiForums Tanzania Aina za single mother

    1. Single mother mjane. Baba mtoto amekufa. Hajatalakiana nae, hajakimbia, isipokua amekufa. Huyu mwanamke hajachagua kuwa single mother, maisha yamemlazimu. Kuna heshima jinsi anavyoubeba huo mzigo. Anapambana vita ambayo hajaianzisha na bado anailinda heshima yake. Huyu ndie single mother...
  6. JamiiForums Tanzania Mtoto sio mali ya mzazi bali mzazi ni daraja tu la uhai.

    WAZAZI "PARENTS =PAIR RENT Katika ulimwengu mzazi ni yule aliyemleta mtoto duniani – mama na baba Hiyo ni tafsiri ya kijamii na kibiolojia. Lakini katika ulimwengu wa kiroho na hekima ya ndani, jukumu la mzazi lina maana pana zaidi inayogusa roho na asili ya uhai. Uumbaji wa maisha unahitaji...
  7. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi minne kukosa choo

    Habari za muda huu wakuu! Wataalam wa mambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mtoto wangu ana umri wa miezi minne, amekuwa akipata tatizo la kutopata choo kwa wakati. Anaweza akakaa hata wiki moja na zaidi ndio akapata choo na mara nyingi mpaka umbusti na dawa ambayo ni mafuta ya samaki...
  8. JamiiForums Tanzania Madhara ya kutahiri mtoto mchanga

    Mtoto atahiriwe at least at age 4 na kuendelea. Sio chini ya hapo Aliye upande wa kushoto ni David Reimer, na upande wa kulia ni Brenda Reimer — wote wawili ni mtu mmoja. Mwaka 1966, baada ya tohara iliyofanyika utotoni kwenda vibaya sana, madaktari walishauri kwamba David afanyiwe upasuaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania What names sound " Too Old" For a baby? ( Jina gani linaonekana la kizee sana kwa mtoto)?

    Naanza la kwanza 👇👇👇 1.Mussa 2..... 1000..
  10. JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwenzio ni wa mwenzio tu, ukimlea usitegemee kurudishiwa fadhila

    Ni watoto wachache hukumbuka wale waliowalea na kurudi nyuma, wengi wakishakua huanza kutafuta wazazi wao au wale wanaodhani ni ndugu zao sasa, na ni bora aishie kutokukukumbuka tu, wengine huanza kutangaza ubaya kua alikua anateswa. Mnakua kwenye familia, ni wengi, wazazi hawachagui na pengine...
  11. JamiiForums Tanzania Je nani ata cheza na Mtoto huyu?

    The boy with all the toys but no one to play with. the boy is waiting for anyone to mention his name He is like ooh God please let anyone throw anything to us. I mean no malice to nobody
  12. JamiiForums Tanzania Muhamad alioa mke wa aliyekuwa mtoto wake baada ya kuwafarakanisha na mumewe

    Zayd bin Harithah ni nani? Alikuwa mtumwa aliyepewa Mtume Muhammad, ambaye alikombolewa na kupendwa kama mwana. Mtume Muhammad alimchukua kama mwana wa kufikia (adopted son) na watu walimuita "Zayd bin Muhammad" kwa muda. Lakini baadaye Mtume alikataza kuita watoto wa kufikia kwa majina ya...
  13. JamiiForums Tanzania Love you by Wyclef Jean & Eve, ilivyomuinua mtoto nakuanza kulisakata!

    Ilikuwa ni siku ya mimi na yeye, tukiwa ndani tukirabahuka kwa muziki na pombe kwa mahaba na huba, kwenye playlist yangu nikawa nimetupia huo wimbo!.. Nikaona mwenzangu kanyanyuka mikono juujuu kama mateka!, punde namuona anaanza kucheza kwa madaha!, kiuno kikipelekwa kushoto na kulia huku...
  14. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Amina Chifupa na Mpakanjia hana makuu

    Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaa
  15. JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mtoto mdogo nilitamani kuwa mtu uzima, ila sasa natamani kuwa mtoto mdogo!!

    So confused......!!!!! Is this true to everyone......????
  16. JamiiForums Tanzania Huu ni utukutu wa kawaida wa mtoto au kuna mengine

    Ni mtoto wa jamaa yangu. Huyu kijana ana miaka 12 tu ila amemtoa jasho jembamba jamaa yangu . Mtoto alianza kwa kukataa shule akienda shuleni anaishia kujificha anakuwa hafiki. Alipogundulika kuwa hafiki shule akatoroka nyumbani. Ameishi kwa kujificha ficha huko mitaani huku akitafutwa takribani...
  17. JamiiForums Tanzania Inatosha sasa, huyu Mtoto wa mwisho anadeka sana

    Kwanza Muumba kawadekeza sana, licha ya wao kuwa watukutu haswa, kumkosea mara kadhaa lakini bado aliwakingia kifua na kuwarudishia miaka na mali zao zilizoliwa na nzige. Hapa alaumiwe aliye juu. Pili, baba yao Jacob alikuwa anashinda jikoni na mama yake, kazi aliyokuwa anaijua ni kudeka deka...
  18. JamiiForums Tanzania Mbeya: Seven Kipara ashikiliwa kwa tuhuma za kukodi Watu wamuue mama yake mzazi, risasi yafyatuliwa yamjeruhi Mtoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtuhumiwa Seven Kipara [38] mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama na wenzake za kumuua mama yao mzazi na kumjeruhi kwa risasi mtoto aitwaye Sinzo Jifwalo mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Kijiji cha Ipwizi. Ni kwamba mnamo Juni 13, 2025 saa 6:05...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya Babu na Bibi kuwa "wapole sana" kwa Wajukuu zao kuliko walivyokuwa kwangu Mtoto wako ni nini?

    Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu Sielewi aiseee hii Softness wameitoa wapi maana walivyonilea miye ilikuwa ni mchakamchaka mno na hata sasa na Utu Uzima huu kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika 2025: Mipango na Bajeti kwa ajili ya Haki za Watoto: Maendeleo Tangu Mwaka 2010

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora. Kaulimbiu ya kila mwaka hutoa fursa ya kutafakari na kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…