Heshima kwenu wakuu.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
Kama nilivyomsikia Afisa wao Mmoja ( NEMC ) ni sahihi GENTAMYCINE nichukue tu nafasi hii mapema kabisa Kuuaga Umasikini niliokuwa nao sasa mwaka wa Kumi ( 10 ) kwani naenda kuwa Tajiri wa Kutukuka.
"Tunajipanga kuja na Tangazo la kumtaka Raia yoyote akiona tu Dereva wa Lori, Gari Dogo au Basi...
Siku mbili baada ya Benki ya CRDB kupata leseni ya kutoa huduma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa amewahikikishia wanawake wajasiriamali nchini kupata mtaji wa kuanzisha au kukuza miradi yao.
Mwambapa ametoa uhakika...
Habari wakuu,
Hongereni kwa majukumu ya hapa na pale nimekuja kwenu kupata mawazo na ushauri hasa katika kukuza mtaji.
Biashara yangu Ni uuzaji wa laptop, desktop and accessories.
Nilianza biashara hii mtandaoni kwa kuwa napost bidhaa ambazo sina mteja akihitaji naenda kumchukulia changamoto ya...
Ndugu wadau mimi niko Daresalaam nina mtaji wa laki 5 tu..na sio mzoefu wa biashara kabisa ndugu naombeni mawazo, staki kukurupukia biashara naomba mawazo kwa uzoefu wenu ndugu wadau nifanye biashara gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.