msichana wa kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania House Girl, Sheria na Utaratibu

    Wana Jamii, nahitaji msaada/muongozo/kuelimishwa kuhusu utaratibu,sheria (kama ipo) kuhusu kutafuta na kumuajili msichana wa kazi/house Girl as a Single Man. Mimi ni Mwanaume wa miaka takribani 40, nahitaji kutafuta, na kumuajili msichana wa kazi, ili aweze kusaidia na mambo madogo kama kufua...
  2. JamiiForums Tanzania Anahitajika msichana wa Kazi Za ndani

    Wadau mwenye Kujua ama kuelewa juu ya binti anayefaa Kwa Kazi Za ndani ama house girl umri 15-25 basi tuwasiliane. Mahali Ni DAR Ila malipo ama mshahara Ni suala la maafikiano ya Pande mbili Kwa mawasiliano nicheki Mie 0743699591
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msichana wa Kazi Saluni ya Kike anahitajika

    Habari Natafuta msichana wa kufanya kazi saluni ya kike iliyopo Mbagala kuu, Dar es salaam -njia ya Kijichi. Awe anajua kusuka mitindo yote, kuweka dawa, steaming, kuosha nywele na kazi nyinginezo za saluni ya kike. Itapendeza zaidi akitokea maeneo ya karibu na huku kama vile Mbagala, Temeke...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Anahitajika msichana wa kazi ya supermarket na duka la baby shop

    Habari, Anahitajika msichana wa kuuza Duka la supermarket na Duka la baby shop. Awe na elimu ya kidogo cha nne, Awe Mkali wa Kigamboni. Number za simu: 0757511447, 0625511447
  5. JamiiForums Tanzania Mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo. Nifanyeje?

    Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili. Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani! Jamani wanapatikana wapi?

    Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula. Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka...
  7. JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumuua msichana wa kazi Dar, apandishwa kizimbani

    Zikiwa zimepita siku 53 tangu aliyekuwa msichana wa kazi za ndani Annet Kassim (20) kudaiwa kuuwawa na bosi wake, mfanyabiashara Diana Sabhai (44), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na shtaka la kumuua msaidizi wake. Februari 9 mwaka huu mwanamke huyo, mkazi...
  8. JamiiForums Tanzania Msichana anahitajika kuuza duka la nguo

    Msichana anahitaji kuuza Duka la Nguo. Awe Mcheshi mwenye uwezo kushawishi Wateja,
  9. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mzee Sadalla Juma aliyembaka msichana wa kazi Zanzibar, itasomwa Jumatatu 21 Machi 2022

    HUKUMU YA MZEE SADALLA JUMA SADALLA (74) ALIYEMBAKA MSICHANA WA KAZI ZANZIBAR,ITASOMWA SIKU YA JUMATATU 21 MACHI 2022 KATIKA MAHAKAMA UA VUGA,UNGUJA. Mzee Sadalla Juma Sadalla (74)mkazi wa Bububu,Unguja anayeshitakiwa kwa kosa la kumbaka mshichana wake kazi (jina limeifadhiwa) atarajiwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Natafuta mdada wa kazi za ndani, Mshahara- 60,000 Sehemu-kinondoni Dini - yeyote Aina ya familia atakayofanyia kazi ina Baba , mama na Mtoto wa miaka 4. Atakayekuwa tayaru nicheck Dm Update “nmeshapata”
  11. JamiiForums Tanzania Anatafutwa msichana wa kazi - kuuza duka - anaeishi kwao mikocheni "A" karibu na "Palm village" mwendo wa kutembea

    Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk. Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo. Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia. contact 0628501029 Asanteni.
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Msichana wa kazi abakwa na Boss wa Miaka 74, Polisi wadaiwa kupoteza Ushahidi

    MSICHANA WA KAZI KABAKWA NA MZEE WA MIAKA 74 AMBAYE NI BOSS WAKE MKAZI WA BUBU, ZANZIBAR, POLISI WADAIWA KUPOTEZA KESI! Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi aombwa Kuingilia kati sheria ifuate mkondo Bubu, Zanzibar. Mzee Sadalla Juma Sadalla mwenye umri wa miaka 74 mkazi wa Bubu, Zanzibar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…