mshahara

  1. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi mmepata mshahara wa mwezi Oktoba na mmelipwa malimbikizo yenu kama ilivyodaiwa?

    Kwa kumbukumbu zangu, kuna uzi uliletwa hapa JF katika hili Jukwaa la Siasa ukituhabarisha kuwa mwezi huu wa kumi serikali italipa madai ya watumishi wa umma. Sasa kwakuwa tarehe za mishahara ndio hizi, watumishi tunaomba mtujuze kama kweli mmelipwa kama tulivyoambiwa maana siku hizi siasa...
  2. JamiiForums Tanzania iraisers ni kina nani? Sio matapeli kweli?

    Kuna mdau aliniambia kuhusu hawa watu lkn sikutaka kumuamini mapema nikaona nilete huku kwa wadau nikiamini nitapata mrejesho mzuri kuhusu hawa watu. Kwa kifupi aliniambia ili uwe mwanachama wa iraisers ni lazima utoe kiingilio Tsh 40000 baada ya hapo kila unapoweka pesa utalipwa 30% ya dau...
  3. JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

    Wakuu! Wasalaam! Najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema, Ni hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo wa kuzalisha angalau 175,000 au approximately laki mbili kwa wiki, yaani wastani wa shillingi laki...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi watumishi watafanya nini siku Serikali ikisema mwezi huu hakuna mshahara?

    Najaribu kufikilia hivi sasa wapinzani, makanisa na misikiti na vyombo vya habari vipo kimya kama vile havipo Tanzania, siku serikali ikisema mwezi huu mushahara hautakuwepo mpaka mwezi ujao watumishi watalibeba vipi hili? Wakuu naleta kwenu!
  5. JamiiForums Tanzania Ushoga Chini ya Zuria....!!!!!

    Salam wanajamvi; Natumai kuna waliotazama mechi za weekend hii iliyoisha jana. Je, kuna walioelewa maana ya rangi zilizowekwa kwenye vitambaa vya nahodha(Captains), kamba za viatu na mipira iliyotumika? Nimesoma mahali kuwa ni rangi za bendera ya LGBT, ila kampeni ya weekend ilikuwa "Games for...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Mfanyakazi akiumwa mwenzi mzima mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?

    Habari zenu wakuu. Nilikuwa nauliza kama mfanyakazi wa tanesco akiwa anaumwa mwezi mzima kiasi cha kushindwa kufanya kazi na huku akiwa na ruhusa ya ofisi, je mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…