msela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nyolodo Nongwa! Kuna msela flani hivi ndani ya dera hapo jijini kautaka

    Sometimes huwa najiuliza, kwa nn Nature inafeli kufata mkondo wake. Unakutana na jimama au jidada lina mitikasi, identity na personality na kiume kabisa. Kuanzia roho, akili na kiasi cha ujeuri kiko juu sana yani aggresive sio poa. Leo nimejidhatiti kulipandia boti kulifata hukohuko dar mana...
  2. Street brain

    JamiiForums Tanzania “Trauma ya Maisha: Nilimkuta Dada Yangu Akiinamishwa na Msela, Mpaka leo sitaki kwenda kwake

    “Kuna siku nishamkuta dada angu kainamishwa na msela akiwekewa mpini ile kitu sijawahi kuheal mpaka leo bahati nzuri ndo kamuoa kubabeki siendagi kwao kabisa 😂👨‍👩‍👧‍👦👨‍👩‍👧‍👦👨‍👩‍👧‍👦” Oyaaah acha kabisa, wenye dada....
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea CHAUMMA adai yeye ni msela na mwaka huu ni mwaka wa masela kukaa Ikulu

    Salum Mwalimu ameonekana mahala akiomba masela wenzake wamchague ili msela mwenzao aingie ikulu na kutatua kero zao. Naona CHAUMMA sasa imegeuka kuwa vituko.
  4. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Yupo busy mno kuchat na msela nafikiria kumtimua

    Kama title inavyojieleza Maskani naishi na binti wa 2005 yapata miezi 7 sasa ni ile sogea tukae Mwanzo tulikua vizuri furaha na upendo ulitawala, nilimpa huduma zote mtoto kanawiri Mwezi wa 6 nikaona binti yupo busy sana na simu kuchat hadi ufanisi wa baadhi ya mambo ulikua mbaya...
  5. Daby

    JamiiForums Tanzania Mimi Msela siwezi kwenda jela. Wimbo wa nani huu?

    Tulipokuwa tunakua huu wimbo ulikuwa maarufu saana. Ilikuwa ukianza kujifunza kuchana basi utaanza na hii mistari. Mimi msela siwezi kwenda jela Na nikienda jela narudi na Mihela.. Naruka tikitaka kulia na kushoto Na mademu wanitaka .... Wimbo wa nani huu?? Nautafuta
  6. Magical power

    JamiiForums Tanzania “Msela” ni mtu wa aina gani?

    #PilikaPilika: Kwa tafsiri rahisi “Msela” ni mtu wa aina gani? #PilikaPilika #HainaKuchoka Msela ni mtu asiyejali chochote. Apate chakula anafurahi. Asikipate anafurahi. Aibiwe anacheka tu. Apigwe anauliza "hujamaliza niondoke?" Ukimpeleka jela anakuuliza "kumbe hata hapa wanakula?" Umtishie...
Back
Top Bottom