Kama title inavyojieleza
Maskani naishi na binti wa 2005 yapata miezi 7 sasa ni ile sogea tukae
Mwanzo tulikua vizuri furaha na upendo ulitawala, nilimpa huduma zote mtoto kanawiri
Mwezi wa 6 nikaona binti yupo busy sana na simu kuchat hadi ufanisi wa baadhi ya mambo ulikua mbaya...
Tulipokuwa tunakua huu wimbo ulikuwa maarufu saana. Ilikuwa ukianza kujifunza kuchana basi utaanza na hii mistari.
Mimi msela siwezi kwenda jela
Na nikienda jela narudi na Mihela..
Naruka tikitaka kulia na kushoto
Na mademu wanitaka ....
Wimbo wa nani huu?? Nautafuta
#PilikaPilika: Kwa tafsiri rahisi “Msela” ni mtu wa aina gani?
#PilikaPilika #HainaKuchoka
Msela ni mtu asiyejali chochote. Apate chakula anafurahi. Asikipate anafurahi. Aibiwe anacheka tu. Apigwe anauliza "hujamaliza niondoke?" Ukimpeleka jela anakuuliza "kumbe hata hapa wanakula?" Umtishie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.