msajili

  1. JamiiForums Tanzania UFISADI CHADEMA, wanachama wamemkalia Kooni John Heche wamuomba Msajili kuingilia Kati wamtaka Katibu Mkuu Mnyika kuunda tume ya kumchunguza

    Shalom Makamanda, Lile sakata la Ufisadi ndani ya CHADEMA likimhusisha Makamu Mwenyekiti wa Chama bado halijapoa baada ya wanachama kucharuka wakimuomba msajili wa vyama vya siasa kuingilia kati na Katibu mkuu wa CHADEMA kuunda tume ya kumchunguza wakati huo akiwa pembeni kwani hawawezi...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi watatu wa CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya siasa

    Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
  3. JamiiForums Tanzania Mnyika: Msajili wa Vyama vya Siasa anatakiwa kuipatia CHADEMA malimbikizo ya ruzuku yake yote kuanzia Juni hadi Oktoba 2025

  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya msajili maabara (HLPC) kuchelewesha matokeo ya mtihani wa leseni

    Habari! Naomba kuwasilisha kero hii. Mimi pamoja na wataalamu wenzangu wa maabara tulifanya mtihani wa leseni tangu mwezi wa tatu (March) mwaka huu lakini hadi hivi sasa matokea hayajatoka hali inayopelekea kutokupata leseni kwa wakati na tunashindwa kufanya maombi ya kazi kwa kuambiwa kuwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili hata Mende hawaipendi! Imepitwa na wakati

    Yaani kuna ofisi watu wanalipwa na serikali kazi yao ni kuandikia barua Chadema! Wakati nchi ipo kwenye uangalizi mkubwa
  6. JamiiForums Tanzania Msajili awapiga rungu jingine CHADEMA, kwa madai Sugu kuongea lugha za matusi, dhidi ya wanasiasa wenzake

    Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa. Rungu hili la msajili...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mazingira ya Siasa ni Magumu, Sarakasi za Msajili na CHADEMA hazina Afya, Kuna Ukandamizwaji

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026 "Inaonekana wazi kwamba mazingira yetu sasa hivi ya watu ambao bado wako active kwenye siasa mazingira ya siasa ni magumu. Mnaona sarakasi za msajili na na chama cha Chadema ambazo hazina...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yamzuia kwa muda Msajili wa Vyama kuisimamisha au kuitoza faini CHADEMA

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Babati mkoani Manyara, imetoa zuio la muda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua zozote kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amri ya zuio hilo la upande mmoja (ex parte temporary prohibitory) limetolewa Jumatatu Mei 25, 2026 na Jaji...
  9. JamiiForums Tanzania Chama cha NLD chaionya CHADEMA, Chamshauri Msajili wa vyama kutosita kuchukua hatua ikibidi akifunge au kipigwe faini

    MY TAKE; Msajili wa vyama vya Siasa, kaanza kuvitumia vile vyama vya mfukoni ili vimtetee.. Viongozi wa vyama vya siasa vilivyoundwa na CCM wanazidi kunenepa na kujenga Magorofa hata hela sijui wanatoa wapi Chama cha National League for Democracy (NLD) kupitia kwa Doyo Hassan Doyo...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Matusi Anayotukana Sugu na CHADEMA Majukwaani Yametosha Sasa. Msajili unasubiri Nini Kusitisha Mikutano Ya CHADEMA Nchi Nzima? Angalia Matusi Ya Leo

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa ,mpaka muda huu mpaka wakati huu sielewi ni kwanini na kwa sababu ipi Msajili wa vyama vya siasa hajasitisha na kuilima barua CHADEMA ya Kusitisha mikutano yote ya hadhara Nchi nzima pamoja na ile ya Ndani . Kinachoendelea na kufanyika kwa sasa katika...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya Msajili wa vyama siasa tena

    Hakuna haja ya kuwa na chombo ambacho ni chanzo cha migogoro kila siku. Rushwa, kuzuia demokrasia, kupendelea CCM na kujipa cheo cha mahakama hakuna sababu ya kuwa na hii idara ya kijinga jinga hivi. Kutafutwe kitengo cha mahakama cha kusajili vyama na msimamizi Awe sheria sio viongozi wajinga...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maduhu: Hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na sio mwanasiasa atishiwe na kujibiwa na Msajili au Jeshi la Polisi

    Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 20, 2026, amesema hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na sio mwanasiasa atishiwe na kujibiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa au Jeshi la Polisi, kwani mfumo wa nchi unaruhusu uwepo wa vyama vingi...
  13. JamiiForums Tanzania Wanahabari wetu bure Kabisa nilitegemea leo kuamkia kwenye Offce ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu kauli ya Chatanda Kimya

    Nilitegemea waandishi wa habari leo kuamkia kwenye offce za msajiri wa vyama vya siasa kufanya nae mahojiano kuhusu kauli ya Marry Chatanda kuifuta chadema na huyu mama kakiuka katiba ya 1977 lakini waandishi wa habari kimya ?
  14. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM ni mtambo wa ku-brainwash vijana; msajili wa vyama vya siasa yuko kimya

    Moja ya kundi lilolokuwa brain washed nchi hii ni Umoja wa Vijana wa CCM, nina hakika kwa 100% CCM wamefanya makusudi kwa hawa vijana kuhakikisha Idara hiyo inakuwa haina uwezo tena wa kuhoji wala kupinga, badala yake kupokea maelezo. Hili ni tatizo kubwa sana. UVCCM ukifatilia mijadala yao...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Kabobe: Kuifuta CHADEMA itakuwa sawa na kutia chumvi kwenye kidonda

    Katika hali inayoibua hofu kuhusu mustakabali wa siasa za ushindani nchini Tanzania, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiandikia chama cha CHADEMA barua ya kukitaka kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa usajili au kutozwa faini kwa madai ya kukiuka Sheria...
  16. JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ya CUF kuhusu Msajili kutengua matokeo ya Viongozi wa Chama hicho chini ya Prof. Lipumba

  17. JamiiForums Tanzania Msajili amtaka Profesa Lipumba na wenzake warudie uchaguzi CUF

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) uliofanyika Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja. Kwa mujibu wa Jambo TV, barua ya Februari 13...
  18. JamiiForums Tanzania Mwambieni Msajili aifute haraka CHADEMA au Mahakama iwafunge viongozi wake. Wampe chama Mbowe, Wakae wafurahie amani yao wanayoiimba

    Si mnajitoa ufahamu? Mnaangushia Jumba bovu CHADEMA. kifuteni haraka, wafungeni CHADEMA ,Mpenzi Mbowe chama Kwa lazima. Alafu sasa Mtulie mfurahie hiyo Amani ya Matumbo na familia zenu. Mnazidisha sana Hasira za Wananchi , DEC 9 mtaelewa tu mbona Ugaidi ni nini na Uhaini ni nini ...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia awashukuru Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Uchaguzi wa Uhuru na Uwazi

    *Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo. Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
  20. JamiiForums Tanzania Kesi ya CHADEMA Manyara, Mahakama yatupa pingamizi la Ofisi ya Msajili

    Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama hicho kuendelea na kesi hiyo. Kesi hiyo iliyosikilizwa leo Oktoba 2, 2025 na Jaji Nenelwa Mwihumbi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…