msajili

  1. JanguKamaJangu

    Taarifa rasmi ya CUF kuhusu Msajili kutengua matokeo ya Viongozi wa Chama hicho chini ya Prof. Lipumba

  2. Parabolic

    Msajili amtaka Profesa Lipumba na wenzake warudie uchaguzi CUF

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) uliofanyika Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja. Kwa mujibu wa Jambo TV, barua ya Februari 13...
  3. Carlos The Jackal

    Mwambieni Msajili aifute haraka CHADEMA au Mahakama iwafunge viongozi wake. Wampe chama Mbowe, Wakae wafurahie amani yao wanayoiimba

    Si mnajitoa ufahamu? Mnaangushia Jumba bovu CHADEMA. kifuteni haraka, wafungeni CHADEMA ,Mpenzi Mbowe chama Kwa lazima. Alafu sasa Mtulie mfurahie hiyo Amani ya Matumbo na familia zenu. Mnazidisha sana Hasira za Wananchi , DEC 9 mtaelewa tu mbona Ugaidi ni nini na Uhaini ni nini ...
  4. figganigga

    Dkt. Samia awashukuru Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Uchaguzi wa Uhuru na Uwazi

    *Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo. Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
  5. Parabolic

    Kesi ya CHADEMA Manyara, Mahakama yatupa pingamizi la Ofisi ya Msajili

    Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama hicho kuendelea na kesi hiyo. Kesi hiyo iliyosikilizwa leo Oktoba 2, 2025 na Jaji Nenelwa Mwihumbi...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Monalisa Ndala aishtaki ACT Wazalendo ofisi ya msajili kwa kuvuliwa uanachama

    Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana na kuvunja Katiba ya chama na Sheria ya Vyama vya Siasa. Mbali na hilo amesema amewasilisha...
  7. Dr Akili

    Ushauri kwa ACT na sarakasi la Msajili wa vyama: waitishe haraka mkutano mkuu utakaobadili kanuni za chama chao na kumteua tena Mpina kuwa mgombea wao

    Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi. Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
  8. Informer

    Ofisi ya Msajili wa Vyama yamkingia kifua Samia. Yadai suala lake kama Mgombea wa CCM lipo Mahakamani, haiwezi kuingilia

  9. JanguKamaJangu

    GE2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi Mgombea Urais wa ADC (Wilson Malumbe) kwenye kuwania Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo. Haya yanajiri wiki...
  10. M

    GE2025 Mwana CCM amuandikia Msajili wa Vya Siasa barua ya Malalamiko ya UKIUKWAJI wa taratibu za kupata Mgombea Urais wa CCM

  11. Just Pray

    GE2025 Msajili avitaka vyama vya siasa kuwasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewataka viongozi wa vyama nchini kuhakikisha wagombea katika uchaguzi mkuu wanawasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi, vinginevyo wanaweza kuwekewa pingamizi la kugombea.
  12. JanguKamaJangu

    GE2025 Baadhi ya Wanachama wa ACT Wazalendo wagomea salamu ya Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa

    NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye Mkutano Maalum wa chama hicho leo, Agosti 6, 2025 alianza kwa kuwasalimia ''Nawasalimu kwa jina la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania." mwitikio wake haukuwa vile alivyotarajia.
  13. chiembe

    Mchome: Boniphace Jacob ndiye alinishawishi, akanipa ushahidi na nikaandika kwa Msajili wa vyama kuhusu akidi na uhalali wa Baraza Kuu CHADEMA

    Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego. Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema. Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana...
  14. Carlos The Jackal

    Jaji Mutungi, Msajili wa vyama vya Siasa, ulipo huoni Aibu wee Mzee? Tazama CCM wanavyokuumbua , umegeuka kua Muhuni katika Tanzania ya Wasomi!!

    Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa. Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA. Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
  15. mkuuwakaya

    Kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa amejipitisha kuwa mgombea urais kwa mlango wa uani/jikoni? Na Msajili kajikalia kimyaaa kama hamna kilichotokea

    Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Hali hii ndugu zangu haitapita hivi hivi, hata kama mgombea ambaye amepitishwa na JK atapita hapo Oktoba. Hali hii itaendelea kukitafuna chama chetu na kuleta mgawanyiko mkubwa. USHAURI: Tufuate utaratibu wa watu kwenda kuchukua fomu, na kama tutakubaliana...
  16. Waufukweni

    GE2025 Wakili wa CHADEMA: Barua ya Naibu Msajili kuhusu zuio la Kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA imejaa upotofu na kupotosha amri ya Mahakama

    Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kutoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa amri ya zuio la kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA, ikiwemo kuongeza majina mapya katika orodha ya waliopigwa marufuku kushiriki shughuli za chama, Wakili wa CHADEMA ameibuka na kudai kuwa...
  17. Mindyou

    Ofisi ya Msajili wa Ndoa nchini Kenya imeanza kuchapisha mtandaoni taarifa za wanandoa watarajiwa ikiwemo majina na picha

    Wakuu, Ofisi ya Msajili wa Ndoa nchini Kenya imeanza kuchapisha mtandaoni majina, picha, tarehe na maeneo ya harusi za wanandoa watarajiwa kupitia jukwaa la serikali la eCitizen, hatua ambayo imeibua mshangao na mjadala miongoni mwa wananchi. Awali, utaratibu huo ulikuwa wa kawaida ambapo...
  18. T

    Tetesi: Msajili wa vyama KUFUTA usajili wa CHADEMA sababu ya kesi inayowakibili mahakamani

    JF Kuna tetesi msajili anatafuta kifungi cha kuifutia usajili CHADEMA, sababu ya kesi na maamuzi ya mahakama kusitisha shughuli zote za kisiasa za CHADEMA. CCM mnatupeleka wapi.?
  19. E

    PreGE2025 CHADEMA Kumshtaki Msajili wa Vyama vya Siasa Kupinga Kutengua Viongozi Walioteuliwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kimewaelekeza wanasheria wa chama hicho kumshitaki Msajili wa Vyama vya Siasa wakipinga kutenguliwa kwa viongozi walioteuliwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025. Soma pia: Heche amvaa Msajili Mei 13, 2025, Msajili wa Vyama vya...
  20. Hismastersvoice

    Swali kwa msajili wa jumuiya za kiraia Je, muanzilishi wa kanisa akifariki kanisa litafutwa?

    Baba msajili wa makanisa hebu tueleweshe kuhusu hili. Endapo mwanzilishi wa kanisa amefariki je, kanisa litafutwa?
Back
Top Bottom