msafara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

    Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
  2. P

    Dkt. Mwigulu Nchemba anajipenyeza kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa Urais

    Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais. Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma. Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais, haya sio matumizi mabaya ya muda kwa...
  3. Operesheni Haki, Lindi: Wananchi Nachingwea wasimamisha msafara wa Freeman Mbowe, waomba neno la matumaini

    Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie. Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…