Sehemu ya majibu ya SSP Notker Kilewa wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa BOMBA FM ya MBEYA, MC Kamendu, ambapo alimuuliza “Ikiwa msafara wa Rais unapita na gari la Wagonjwa liko njiani kwa wakati mmoja, nani anapewa kipaumbele?” Mahojiano hayo yamefanyika Machi 17, 2026...
Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Ibrahimu Shayo, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka mara kadhaa na kutumbukia korongoni katika eneo la Kirinjiko, Wilaya Same, mkoani Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, ajali hiyo ilitokea wakati akiwa kwenye ziara ya...
Rais samia ameondoka nchini kwa kificho. Hatujui anakwenda kukutana nani, atakaa siku ngapi na ameandamana na nani. Ni ajabu. Kwanini tufichwe wakati anatumia fedha zetu mbali na kutumia jina letu maana anakwenda kule eti kutuwakilisha wakati anajiwakilisha? Huu nao ni ufisadi wa kimfumo...
Jana nimeona Rais Samia akiondoka na magari aina ya Range Rover mara baada ya kiapo.
Wajuzi wa mambo mje mtujuze yale magari ni Range Rover aina gani na sifa zake ni zipi?
Sijajua ni nani ni wapi ni lini na ni kwanini Ila nimeona ni kivipi msafara ule ulivyozua taharuki kwa wanausalama, na waongozaji wakiwa katika hekaheka, kiasi kwamba wako baru wasijari hata usalama wa watumia balabara ile.
Kwa kutumia hisia na ufahamu wangu huenda ule msafara ni wa Rais...
Kwa kweli inasikitisha sana, gari zimezuiwa ili kumpisha mgombea mweza apite, karibia lisaa sasa na gari la mgombea mweza halijapita na haturusiwi kuendelea na safari mpaka apite!
Naona polisi wanasimamia kuhakikisha gari zinasimama kumpisha mgombea mwenza
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (JK), amekanusha taarifa zilizodai kuwa gari lililoanguka katika msafara wake lilikuwa gari lake binafsi, akieleza kuwa yeye hakuwepo ndani ya gari hilo.
Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo...
Video ya mdau imeonyesha ambulance yenye mgonjwa ikisimamishwa na askari ili kupisha msafara wa kiongozi.
Serikali inayohubiri “kazi na utu” leo imejionyesha wazi haina utu wala huruma kwa wagonjwa na jamii. Kiongozi anapewa kipaumbele kuliko maisha ya raia anayepigania pumzi yake — huu ni...
Wananchi wa Kijiji cha Muze, Kata ya Muze, katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Vijijini mkoani Rukwa, wamezuia msafara wa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa wilaya hiyo wakilalamikia mchakato wa uteuzi wa majina ya wagombea wa udiwani katika kata hiyo.
Tukio hilo limetokea baada ya...
Habarini za jioni hii,
Wakati majina yakitangazwa "mubashara" kulikuwa Kama na maelekezo ya Moja kwa Moja kwa wajumbe kumpitisha "mlengwa" katika kiti husika.
Rejea "waliopitishwa Jimbo fulani wako 7 akiwemo fulani (jina la muhusika).
USHAURI;
Wewe ambaye bado ni mdogo kiumri jipange kisawa...
Na siku hizi kahisi anaweza kuupata ubunge kwa zali basi katulia tulia maneno ya kiburi kapunguza sana hapo yupo na watu wake wanaomsapoti wanaenda kuvimba kidogo nyumbani aisee wenye nacho wataongezewa.
Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
Baada ya agizo la Dharura, Foleni ya kuondoka Tehran imekuwa ni kubwa sana,
Trump kalazimika kukatisha mkutano unaoendelea nchini Canada wa G7 na kurudi haraka Marekani, Amewaagiza wajumbe wa Baraza la Usalama wa Taifa (NSC) wawe tayari kwenye chumba cha dharura (Situation Room)...
Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??.
Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??.
Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki.
Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka!
Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
Gari ya Polisi iliyokuwa kwenye msafara wa Naibu Waziri wa Mawasiliano na teknolojia ya Habari, Marryprisca Mahundi ikiwa inanasuliwa baada ya kukwama kwenye tope katika kijiji cha Kimala Misale Kata ya Dutumi wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani kutokana na ubovu wa barabara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.