Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaendelea
na kampeni ya kuhimiza wananchi waishio karibu na mradi wa Standard Gauge Railway (SGR) kipande cha tano Isaka - Mwanza kulinda miundombinu ya reli kutokana na umuhimu wake mkubwa kwa maendeleo ya uchumi na usafirishaji.
Katika mikutano ya hadhara...
Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi...
This was a design and build project. Ni wazi, takwimu walizokusanya hazikutafsiriwa ipasavyo kwa kuzingatia mabadiliko ya tabia ya nchi. Over designing sio dhambi katika uhandisi
Wali over design Kilosa kupita mto Mkondoa ndio maana kuna tunnels 4. Kidete kuna uzembe. Maana palijengwa bwawa la...
Zaidi ya wananchi 30 wa Mtaa wa Majengo, Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, waliotoa maeneo yao ya mashamba kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Trena ya kisasa SGR, wamelalamikia kucheleweshwa kulipwa malipo yao toka waliposaini mikataba mwaka 2023 jambo ambalo wanadai limepelekea wao...
Kwa nini Dodoma iwe kipaumbele na mikoa ya Mwanza na jirani kusahaulika?
Kuanzia Dodoma mpaka Mwanza kupitia Taboara mradi unasuasua.
Maeneo ya Itigi kama vile hakuna mkandarasi
Kuanzia Isaka mpaka Mwanza mradi umesinyaa kabisa.
Oktoba ipo karibu watu wa Tabora, Mwanza, Shinyanga, mpanda na...
Ili kuwa mwandishi mzuri wa habari, ni lazima uwepo eneo la tukio. (To be a good journalist, you have to be there.) Ryszard Kapuściński
Ni ngumu sana kulizungumzia jambo kiundani kama aukuwepo eneo la tukio. Mazingira yanaweza kuzungumza na kukupa picha kubwa au ndogo ya jambo umelisikia au...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ameishukuru Italia kwa kutoa dhamana ya mkopo wa kujenga Reli ya Kisasa (SGR), kipande cha Kwanza na cha pili kuanzia Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma hadi Makutupora mkoani Singida, ambavyo ujenzi wake umekamilika na treni imeanza kutoa huduma kuanzia Dar es...
Zaidi ya shilingi trilioni moja imetolewa na Serikali kutekeleza mradi wa reli ya kisasa SGR LOT NO 6 ya kutoka Tabora kwenda mkoani Kigoma mpaka Msongati nchini Burundi mradi ambao kwa sasa uko katika hatua za awali ukiwa umefika asilimia 7.
Akizungumza na waandishi wa habari mkoani kigoma...
Miezi kadhaa imepita sasa Tunapenda kuhoji kama mradi wa SGR kipande cha Mwanza kimesimama au mradi unaendelea Maana siku zimepita bila kushuhudia wakandarsi wakifanya kazi katika mradi huo Mkubwa.
Tunapenda kufahamishwa kama mradi unaendelea au umekwama kuendelea.
Au Kuna changamoto ambazo...
July 04, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali ya CCM itanunua vichwa na mabehewa vilivyotumika (mtumba) na vyenye hali nzuri watavitengeneza.Mradi mkubwa wa thamani ya Sh16 trilioni kutumia mabehewa na vichwa (used), hii sasa ndiyo hujuma yenyewe. Hata hakuna ambaye anahujumu mradi...
Nimepita Jana kuelekea Mwanza na kujionea hali halisi ilivyo baada ya kufika eneo la mradi nimekuta walinzi tu wakilinda vifaa vya wachina hata hivyo baadhi ya watu waliopo kwenye mradi huo wameniambia mradi umekwama kwa kuwa serikali haijatoa hela yoyote.
Ndugu zangu ukweli usemwe hii...
Content creators toka Kenya na Uganda wanamiminika Dar kwa siku za karibuni na wote wanaishia kutembelea mradi wa SGR.
Kuna nini huko SGR wajemeni. Maana sio kwa spidi hiyo.
Anyways karibuni sana 🇹🇿.
1. Wenzetu sijui huwaza nn? Yaan mradi wa SGR uendeshwe na TRC? Kutoboa Sana miezi 6 kila kitu kitakua Mochwari.
2. Tafuteni mwekezaji mwenye uzoefu wa hizo kazi. Gautrain South Africa zaidi miaka 14 inapeta. Hakuna siasa mule
Hongera Watanzania na serikali kwa kutumia kodi na kuwezesha mradi kuanza kufanya kazi kwa kipande cha Dar-Moro, Dar-Dodoma safari iliyoanza leo.
Napenda kuwashauri watanzania wenzangu huu mradi ni kwa kodi zetu tuwe na uchungu nao tusikubali kufumbia macho uhujumu wowote utakaopangwa maana...
Hayawi Hayawi yamekua sasa!
SGR imeanza kazi na inaenda kufunguka zaidi.
wapo baadhi ya Watanzania walishirikiana na majirani zetu kuhujumu mradi huu muhimu.
Wahujumu hawa walitumia mbinu zote ila imeshindikana.
bado wanaendelea na mbinu mbalimbali yaani kuonesha hata maeneo strategic...
NIRC, TRC, BENKI YA DUNIA KUANZA UJENZI MABWAWA SITA KUKABILIANA NA MAFURIKO NA KULINDA MRADI WA SGR
NA NIRC, Dodoma
TUME ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia, inaendelea na utekelezaji wa hatua za awali za upembuzi...
Ni vema ukayafahamu haya mapema kwa faida yako
Bali wadau wengi wanajiuliza kwamba ni kitu gani ambacho Serikali ya Tanzania inaweza kufanya, maana unaambiwa ni afadhali hata mtoto mwenye Polio waweza kumpa Magongo akatembea mwenyewe
Kampuni sita za Kitanzania ni miongoni mwa kampuni kadhaa...
MAGEUZI MAKUBWA KWENYE SGR.
Wananchi wamefarijika kwa kiasi kikubwa sana ambapo treni hii ya kisasa inakwenda kurahisisha Usafiri kutoka Dar-Morogoro- Dodoma.
Hakika Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanikisha kwa kiasi kikubwa sana.
#Kaziiendelee
Serikali imetoa ufafanuzi juu ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui ambao wanadai malipo baada ya kutakiwa kuondoa kupisha mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR.
Awali baadhi ya Wananchi hao walikaa kikao na kuiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.