mpya

  1. JamiiForums Tanzania Bilioni 1.8 za Mradi wa BOOST Zakamilisha Ujenzi wa Shule 2 Mpya na Madarasa 25 Halmashauri ya Ushetu.

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga, Mhe. Dkt. Emmanuel Cherehani amesema kuwa jumla ya Shilingi Bilioni 1.8 za mradi wa BOOST zimetumika kukamilisha ujenzi madarasa 25 na Shule mpya 2 ikiwa ni Shule ya Msingi Shilabela Iliyopo Kata ya Ulewe Ushetu na Shule ya Msingi Kona Nne iliyopo...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasafi Record Label kutambulisha msanii mpya katikati ya Novemba

    Katika post iliyowekwa twitter (X) na msanii ambae pia ni mkurugenzi wa Wasafi media na wasafibet, Diamond Platnumz ameonesha kuwa katikati ya November atatambulisha msanii mpya wa mziki wa kizazi kipya. Mapaparazi wengi wakedai msanii huyo uenda ni wa nyimbo za Singeli
  3. M

    JamiiForums Tanzania Interview mpya ya Piers Morgan na Yousef Bassem yasifiwa kwa elimu kubwa juu ya mgogoro wa Palestine

    interview ya kwanza kati ya mwandishi wa habari mashuhuri bwana Morgan na Bassem ilivunja rekodi katika viewership, kwa kuweza kuangaliwa na watu zaidi ya milion 10 ndani ya siku chache. Bwana Morgan anasema kuwa kamwe hajawahi kupata views nyingi namna hiyo. Baada ya mafanikio hayo, Bwana...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu zinazotumia Teknolojia ya "3D Flaslight Level Camera"

    Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika safari hii kwa kuwawekea kipengele cha kisasa kabisa kwenye camera ya mbele kiitwacho “3D FLASHLIGHT...
  5. JamiiForums Tanzania House4Rent NYUMBA MPYA INAPANGISHWA-NGARAMTONI ARUSHA

    Ina vyumba 2 vikubwa self, Ina maji ndani Umeme -Ukuta -Eneo kubwa ndani ya uzio -unaweza kuweka bustani ya mboga, -NYumba ni mpya kabisa. -Eneo iliko ni nyuma ya RC/Shule ya msingi Ngaramtoni, eneo la Kishore. Bei 350,000/= Hakuna udalali Hakuna udalali
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekucha: EFM Radio kuja na Muundo Mpya wa Kipindi kitakachokuwa Kinawazumgumzia Simba SC tu na siyo Wasiojua Wengine

    Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club. Kipindi hicho Kipya kitaitwa Unguruma na Simba SC ambacho kitakuwa kina Udhamini wa Bia nzuri ya Pilsner...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  8. JamiiForums Tanzania Makonda ni ingizo jipya la kutuondoa kwenye hoja ya Bandari na Katiba mpya

    Uteuzi wa Paul Makonda au ukipenda Bashite ni mkakati wa kutuondoa kwenye hoja za msingi kama Katiba Mpya na Bsndari. Tangu ateuliwe amekuwa mtu wa kuropoka ropoka mkakati ukiwa kutuondoa kujadili masuala ya maana na kuanza kujadili upuuzi wake. Inavyoelekea baadhi ya Watanganyika wasiopenda...
  9. JamiiForums Tanzania Mniwie radhi nilikosea kusupport ujio mpya wa Paul Makonda, huyu jamaa ni Lopolopo sana hana staha

    Makonda Makonda kwanini lakini tumia busara acha Lopolopo, Leo huko Dodoma kaongea utumbo, hivi huyu dogo anaweza kuwatisha wastaafu, bado anakivuli cha enzi za Magufuli et eeh. Jamaa tulidhani kajifunza hekima na ustaarabu kwa kukaa benchi kumbe ni jitu lenye uchuro tu. Makonda anaweza...
  10. JamiiForums Tanzania Jamii mpya ya vijana - TTCC

    TTCC ni jumuiya ya wanafunzi inayosababisha msukumo mkubwa katika eneo la elimu kwenye mandhari ya kipekee ya vyuo vikuu vya Tanzania. Jumuiya hii inakutanisha wanafunzi kutoka vyuo vikuu kote nchini Tanzania waliounganishwa na shauku yao katika teknolojia na ubunifu. TECNO ni chapa...
  11. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Sekondari Mpya Unaendelea Musoma Vijijini: Kisiwa cha Rukuba Kimeanza Ujenzi wa Sekondari Yake

    UJENZI WA SEKONDARI MPYA UNAENDELEA MUSOMA VIJIJINI: KISIWA CHA RUKUBA KIMEANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374. Jimbo hili lina jumla ya Sekondari: *25 za Kata (Serikali) *2 za Binafsi (Katoliki & SDA) Sekondari mpya tano (5)...
  12. JamiiForums Tanzania WCB Wasafi wanaenda kumtambulisha msanii mpya November 2023

    Linaletwa balaa jipya mjini, naweza sema ile kiu ya kuona wasanii wetu kwenye majukwaa mazito kama kima Rema sasa inaenda kukatwa. Topnotch talent sio mbambamba. Let's count God bless WCB
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kampuni ya Pepsi ya Israel imetoa soda mpya zenye rangi za bendera ya Palestina ili zinunuliwe na Wapalestina

    Salaam ndugu zangu, Nimeona picha inasambaa ikieleza kuwa Kampuni ya Israeli ya PEPSI imebadilisha muundo wake na kuandika Palestina ili kuepuka kufungiwa na Palestina.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

    HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano: HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao. HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi. Kauli ya wengi ni kauli Mungu. Aluta continua!
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watengeneza maudhui ya kimtandao walia na Kodi mpya

    Sheria mpya inayoweka kodi ya 15% kwenye mapato ya watengeza maudhui mtandaoni yaanza kufanya kazi Kenya, lakini haijapokelewa vizuri na vijana ambao wengi ndio watengeza maudhui ya mtandao. Rais Ruto alipitisha sheria hiyo Julai. "Nadhani wanapaswa kupitia upya Sheria ya Fedha kwa sababu watu...
  16. JamiiForums Tanzania Kamishna Mpya Ngorongoro, Richard Kiiza Aapishwa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki leo Oktoba 29,2023 amemwapisha Kamishna mpya wa Hifadhi ya Ngorongoro katika ofisi za makao makuu ya Hifadhi hiyo mkoani Arusha, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi Richard Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ikikuuma Kajinyonge, ila ukweli ni kwamba 85% Moses Phiri anaenda Yanga SC Dirisha Dogo au Msimu Mpya ujao

    GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa. Mpaka nikaja hapa JamiiForums Kumuonya Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Simba SC kuwa Yeye ndiyo...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF yazindua jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania

    TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland. Home kit Away Kit Third Kit
  19. JamiiForums Tanzania Ulinzi na usafiri mpya wa Makonda si lelemama!

    Dalili zi wazi, Makonda nguvu yake kwa Samia ni kubwa. Ushahidi ni hilo gari ( LC 300 ) alilopewa ambalo hata Chongolo hana!
  20. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu zilizofuzu nusu fainali ya caf champions league 2023 ndio hizo hizo zimefuzu Caf AFL 2023. Hakuna timu mpya

    Mchele na chuya unajichuja.. nimeamini mashindano ya caf ya timu zake zile zile miaka yote.. timu zilizofika nusu fainali ya AFL 2023 ni zile zile zilizofika nusu fainali ya caf champions league mwaka 2023 Nusu fainali ya Caf champions league mwaka 2023 ilikuwa na timu 4 ambazo ni 1. AL...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…