mpira

  1. Kijana shituka, mpira wa miguu ni biashara ya watu

    Biashara ya mpira wa miguu inalipa sana. Unajazwa upepo na wewe mjinga unafula na kusema tumeujaza uwanja. Wewe hujaujaza uwanja bali wenye akili wamekujaza uwanjani kisha wanaondoka na mamilioni. Somebody mnayemwita msemaji wa timu yenu anawaambia tusikubali lazima tujaze uwanja nyie kwa...
  2. Nataka kutengeneza game la mpira like Dream league but litakuwa na wachezaji na commentary wa Tz

    Nimepata idea ya kutengeneza game la mpira ambalo litakuwa na leagues za tz tu na pia commentator atakuwa anaongea kiswahili na pia viwanja vitakuwa vya Tz.Je nauliza kama kuna sheria ambazo zitanibana kwa baadae maana ntatumia majina na sura za wachezaji halisi(original)
  3. Hivi ndivyo ushabiki wa mpira unavyoweza kuwageuza watu wendawazimu

    Kuna watu walikusanyika kweli kabisa kwa ajili ya hili tukio! Haipaswi kuwa hivi kabisa katika jamii ya watu waliostaarabika na wanaojielewa.
  4. M

    Kweli mpira ni wazimu, nashuhudia leo

    Nipo kwangu nasikia mizumari, mafujo, mazogo ya vijana mitaani. nilipoulizia nikaambiwa kuna simba na Yanga na Yanga wamepata bao 1. chakushangaza wapo katika TV na wapo maskani. Ukiwauliza wanafaidika na nini? Hawana wanachofaidika nacho Hata Yanga akimfunga simba 100 kijana huyo anaekausha...
  5. Yanga biashara wanaijua kama ilivyo mpira

    Ukiangalia Simba day na Yanga day Kwa umakini sana. Utagundua Yanga day watu wengi sana walivaa Jezi mpya kuliko Simba day, hii inamanisha Yanga Msimu huu wamepiga Vibaya mnoo kwenye Soko la Mauzo ya Jezi, (biashara ya jezi ime booom) faida kubwa Bila Unafiki tunatakiwa kuwapa pongezi Sheria...
  6. Utabiri vs. Ubashiri: Tofauti na Umuhimu katika Michezo ya Mpira wa Miguu

    Katika Kiswahili sanifu, "utabiri" na "ubashiri" ni maneno mawili ambayo yana maana zinazokaribiana, lakini kuna tofauti ndogo katika muktadha wa matumizi yao, hasa linapokuja suala la michezo ya mpira wa miguu. 1. Utabiri: - Maana: Utabiri unahusisha kutumia data, takwimu, na uchambuzi wa...
  7. X

    Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

    Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover. Ikiwa mwanamke wako mara aseme: "Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U...
  8. Kwanini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye mpira?

    Kitu kizuri ni kizuri tu. Lakini sio kwa hii jezi. Weka ushabiki pembeni ugundue hizi sio jezi za mpira bali ni vitenge. Kwa nini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye mpira? Mara Daimond, mara Manara. Hii ni soka, sio sawa kuwavisha watu vitenge kwenye soka
  9. Kuuzwa soko la Kurasini, viongozi warushiana mpira

    Wakati viongozi wa soko la Kurasini, lililopo Mtaa wa Shimo la Udongo, barabara ya GSM jijini hapa, wakieleza wapo hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuuza soko hilo, uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umesema hautambui mauzo hayo. Mbali ya halmashauri, uongozi wa mtaa na...
  10. Namna wachezaji mpira wa nje wanavyomiliki Ardhi Tanzania

    Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani. Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa, Maisha ya hapa yanawavutia mno. Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa. Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao. Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
  11. Mpira bongo ni kama imani za dini za manabii wa kisasa, hakuna kitu tofauti utawaambia watu wakakuelewa.

    Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini. Watu wanalala na kuamka wakizungumza mpira, wanashinda wakizungumza mpira. Jana mchana kwenye East Africa radio kuna kundi la wana...
  12. Uongo wa wazee wa zamani wa Tanzania kuhusu mpira

    Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa. Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la...
  13. Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

    Sijui Kuna watu wa aina yangu yaani nikiangalia mpira wa Tanzania naona kama uchafu Fulani hivi jumlisha na viwanja vyao wanavyochezea kama kwenye matuta ya viazi basi naona kama jalalani mfano hizi timu za simba na yanga naonaga watu wanabishana mpaka kutukanana na kununua vijezi vyao ambavyo...
  14. Ni basi tu Siasa zetu za Mpira ila Simba SC kama mngemsajili Joseph Guede kutoka Yanga SC kama Free Agent nina uhakika katika Striking tungelamba dume

    Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
  15. Sasa kama 'Aliyemroga' vibaya nae mmeshamuacha na Watu wote wa Mpira tunamjua, kwanini Kramo ambaye angetufaa nae mmemuacha?

    Baada ya kumalizana na Simba SC, winga Aubin Kramo inadaiwa yupo hatua za mwisho kurejea Asec Mimosas ya Ivory Coast aliyokuwa akiichezea kabla ya kusajiliwa Msimbazi msimu uliopita. Inadaiwa kuwa mabosi wa Asec ameanzisha mazungumzo na Krabo baada ya kusikia anaachwa, licha ya awali kudaiwa...
  16. Mpira wa Tanzania unaendeshwa na wahuni, lililotokea Yanga Magoma yupo sahihi!

    Mpira wa bongo umejaa wahuni ndio maana vilabu vinaongozwa na vibaka tu, wenye uwezo wa kununua suti na kupata sapoti ya watu wenye pesa kuongoza hivyo vilabu. Juzi kati Simba watu wamebadishana uongozi kama vile wachezaji wanabadishana jezi au mbio za vijiti, hapo akitokea mtu mwenye kichaa...
  17. TFF ijitokeze kupinga hukumu ya mahakama ya kisutu kwa Yanga ni batili, Tangu lini kesi za mpira zinaamuliwa kisutu?

    Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu, Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu. Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria kusimamia kanuni za soka na mambo yote ya mpira, ndio yenye mamlaka ya kuamua haki iwapo kutakuwa na...
  18. Simba na Yanga ni timu za wanachama au matajiri wafadhili kwa sasa?

    Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo, Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama ,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa...
  19. Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao. Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi...
  20. Museveni alishatuonyesha kuwa anajua Kucheza Mpira na Juzi Kagame nae kakipiga huko Rwanda tunawaomba na wengine waonyeshe walicheza hata Netball tu

    Na tukiamua kucheza 'Netball' hatutaki kusikia Kukohoa na Kupumua kwa juu na Sharti Kuu ni Kuvaa Bukta au Gauni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…