mpenzi

  1. M

    Mpenzi uniskize

    Nakuomba mpenzi uniskize Tafadhali baby tuliza moyo kwa kweli. Niko wako Hivyo usiwe na shaka Wewe kaa ukitabasamu Mara tu ukiniona Penzi letu halina kasoro Mimi na wee ′tapendana kiroho Nakusihi Tuliza moyo Sherekea, furahia Penzi letu, baby Cheza, imba Mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea...
  2. S

    Natafuta mpenzi, awe anaishi Dar

    Mimi ni mwanaume. Naishi dar. Umri ;32 Rangi :Black. Dini yangu -muslim Natafuta mpenzi awe na sifa hizi Awe anaishi dar. Asiwe serious sana (Awe charming) Umri 20-35. Dini yoyote sibagui. Aliyeridhia aje inbox.
  3. Polisi wamkamata Joseph Sanura aka Ngosha, aliyekuwa mpenzi wa Penina wa Goba Centre

    Mkazi wa Goba Lastanza Kinondoni, Joseph Sanura maarufu kama Ngosha (31), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. kwa tuhuma za mauaji ya Penina Rwegoshora (28) mkazi wa Goba center. Taarifa ya Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP. Muliro Jumanne imeeleza...
  4. Mpenzi wangu aliniacha sababu boksa zangu ni za vitenge!

    Mwezi na tarehe kama ya leo last year niliachwa na mpenzi wangu wa kinyaturu kisa kilikuwa cha kijinga sana eti boksa zangu ni za vitenge.. Sasa yeye sijui alitaka niwe na boksa zipi maana kipindi hiko nilikuwa fundi cherehani so vipannde vya vitenge vilivyokuwa vinabaki nilijitengenezea boksa...
  5. Utani gani umewahi kumtania mpenzi wako ikawa ndio sababu ya yeye kukuacha au kusababisha ugomvi mkubwa.

    Mimi nilimwambia aache ubishi maana kwao wanatabia za ubishi isee kiliumana sana..akanitukana eti nina mb*** kama filimbi. Isee nilikiamshaa alivyoondoka nikamblock kabisa.. Wewe ilikuwaje kwako!
  6. Swali analotakiwa kumuuliza mwanamke ukiwa unatafuta mpenzi ni kama ameolewa. Akijibu hapana basi huyo yupo single

    Nimeagizwa niwaletee huu ujumbe
  7. Diddy aomba radhi baada ya video akimpiga Cassie kusambaa

    Baada ya viedo ya Diddy kusambaa akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie aomba radhi kupitia page yake. Pia soma: Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani
  8. mwanamke unahitaji nini kingine ikiwa unahudumiwa kila kitu na mpenzi wako kuanzia chakula, malazi hadi mavazi?

    Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mada Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa sekta binafsi. kiufupi Madem zangu wengine nawatesa kwa kutowazingatia sana kwa sababu ya huyu...
  9. Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

    Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya mpenzi wake wa zamani, Cassie Ventura. Video hiyo ilinaswa kwenye moja ya hoteli waliyoenda kwa...
  10. Fresh mwambuli akauza mifugo mpenzi aende japani kusoma

    Wakenya katika mitandao ya kijamii wamechangamkia sana wimbo wa Stella Wangu wa mwanamziki mashuhuri wa humu nchini Freshley Mwamburi. Wamechangamkia wimbo huo wakikumbuka leo hii ni tarehe 17 mwezi wa tano mwaka wa 1992 mpenzi wake wa Kenya, Stella, aliposhuka kutoka kwa ndege na mchumba wake...
  11. Ex wangu anataka nimpe mbinu ili mpenzi wake mpya awe na uwezo wa mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa

    Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi. Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya kupata jamaa mmoja brazamen ana pesa, mimi akaniona pangu pakavu tia mchuzi, akasahau...
  12. Rafiki mpenzi amenigeuka, amekuwa adui yangu

    Huyu rafiki tulipoteana kwa muda mrefu kidogo. Tulianza fahamiana chuo. Tukamaliza tukaja kutana tena mkoa flani kazini, tukaendelea kuwa marafiki. Baadaye tukatengana tena. Tukaja kutana tena hapa town baada ya yeye kunitafuta. Kumbe alikuwa anakaribia kuolewa. So akawa anataka mchango wa...
  13. Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

    Daraja la Mabatini Mwanza. Jamaa kajirusha. Inasemekana jamaa alikuwa akimsomesha mchumba wake Mwanza. Sasa aliamua kuja kumtembelea akakuta hakuna cha chuo bali kakuta kumbe binti keshaolewa na ameshazaa ana mtoto. Jamaa hakuwa na kifua akaishia kuamua hivyo alivyoamua. Ukiamua kusomesha (au...
  14. Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye

    Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye Twende kazi wadau na maoni yenu
  15. Part Two: Movies za kutazama na mpenzi wako. Usitazame na watoto

    Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo. 1. SECRETARY Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee anataka kuyaishi maisha kama mtu wa kawaida. Anautafuta ujuzi wa uchapaji (typing) kisha anaomba kazi ya...
  16. Filamu hizi tazama na mpenzi wako, usitazame na watoto

    Usiseme hukuambiwa. Huku ugali mdogo, nyama nyingi. Story kiduchu, shughuli ya kutosha. Jikaze mwanetu. 1. NYMPHOMANIAC Bwana Seligman, mwanaume wa makamo anayeishi peke yakez anakutana na mwanamke aliyejilaza njiani akiwa hoi kwa kipigo. Mwanamke huyu anaitwa Joe na story yake hamna...
  17. Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka moyo sana

    Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye uhusiano bila kusalitiana. Ninapozungumzia umbali ninamaanisha wilaya na wilaya, wilaya na mkoa au mkoa na...
  18. N

    Hii mvua haihitaji chai, sweta wala mpenzi

    Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu kawine tayari nshanunua
  19. Onyo la Busara: Ukiwa na Mpenzi wako au mume au mke popote pale usivimbe au kujisifia na ukadharau watu. Ulipo tupo ulipo wapo

    Shalom, Katika maisha enenda kwa namna njema na ipasayo hasa katika mtazamo wa kibinadamu na katika Mungu, heshimu watu, salimia watu usivimbe na usijione una mpenzi mzuri na uko level za juu. Kisa kiko hivi nina jirani yangu dogo mmoja hivi ni Mhaya(Ishomile) kama kawaida mimi mama yangu ni...
  20. Mpenzi wangu ameniibia laki 5 akakimbilia Dar, popote alipo nampa salamu kwetu ni Kigoma

    Penny buana me nina makasiriko. Mpenzi wangu buana amenipiga laki 5 akanikimbia akaja Dar. Sa namtafuta mpaka kwao.kumbe kwao ni kwa mchongo. Simu hapokei. Money Penny: Hizo hela mlipeanaje mpaka useme umeibiwa? Mhanga: alisema mdogo wake anaumwa, anatakiwa afanyiwe opereshen mbeya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…