Hivi unafanyaje ukigundua mpenzi wako amelogwa? Kuna namna kumuondoa huko?
Unakuta amekuwa kama chizi hajielewi ila alikuwa smart tu. Aliefanya hayo unamjua na ulipewa taarifa na uthibitisho.
Wakuu kwema??,.
Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani?
Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka kabisaa ndio anatoa wallet anampa hela za kutumia sijui za nini na nini.... Hamuonagi aibu...
Vikiwa vimetanuka (vimeacha nafasi kubwa kati ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba.......
Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye HAJATULIA, HATOTULIA katika Mahusiano yenu na MTASUMBUANA 24/7
Vikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba......
Una Mke au...
Kwenye mahusiano mengi wapenzi hua wanatamani kujua body count zao, sasa nilikua naulza je ni sawa ??
Kwa sababu mimi sioni umuhimu wa mpenzi wangu kujua body count yangu kwasababu haina msaada kwake na spendelei kabsa maswali ya mtindo huu
Wakuu!
Nimetulia zangu hapa ufukweni nikakumbuka tukio moja la ajabu, lakini la kweli kabisa. 🌊😌
Mara nyingi kuna mambo madogo ambayo yanatuudhi kimya kimya… lakini hatuwezi kusema. Labda kwa sababu tunaogopa kumuumiza au tunajua "hawezi kubadilika".
Rafiki yangu mmoja aliwahi kumuacha...
Wajomba na mamshangazi hebu tuambizane hapa tupeane ABCD kwenye mahusiano na namna ya kuyalinda...
Kwenye suala la mawasiliano ya long distance au hata fupi fupi yupi anapaswa kumtafuta mwenzake kati ya Mwanamme na mwanamke? Ni sahihi mwanaume kusubiria hadi atafutwe? Nani anapaswa kuwa under...
Ipo ivi Mimi nimeoa tumebatika kupata mtoto wa kiume saizi ana miaka 2.5 alivyo jifungua mtoto nilimwambia saizi kutafuta mtoto mpaka maisha yakae sawa tu dili na kutafuta pesa kwaza maana mwezangu ni mfanyabishara so kwenye hii mimba ya uyu mtoto amesumbuka sana sababu ilivyo fika miezi 4 ya...
Huu wimbo unakamata wazee na vijana!, haujalishi ni mtoto wa alfu mbili ama alfu tatu!.
Milindimo yake haichoshi, sauti za waimbaji wake wameitenda ile kazi ya fasihi!.
Sasa kama huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, we endelea kuishi tu na hilo gaidi litakuchinja sikumoja!...😂
Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza.
Share experience tujifunze kutoka kwako.
Binafsi: Nimeshindwa kuacha kutazama statuses whatsapp + reels za IG za wadada wenye mishepu yao. Kila nikijaribu...
Wakuu, niko kwenye sintofahamu na nisielewe kitu cha kufanya. Nimeshindwa kulia, nimeshindwa kucheka. Niko ndani ya chumba changu nakula ngoma ya Together as one huku chumba kizima kikifurika widi na mimoshi kibao
Nimewafuma wakiwa wamepakatana kwenye korido ya nyumba yenye vyumba kadhaa vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.