mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania JamiiForums msaidieni Umughaka, kazi yake ilindwe na haki miliki

    Ninachofahamu kazi zote zinazotumwa na wanachama hapa jamvini ni mali ya JamiiForums. Kijana wa Kikurya UMUGHAKA ameonyesha kipaji na kipawa cha hali ya juu kwenye uandishi wa riwaya. Lakini hizi kazi zake zinalindwaje dhidi ya maharamia? UMUGHAKA aelekezwe BASATA na umuhimu wa kusajili kazi...
  2. JamiiForums Tanzania Tuacheni kuwa Wanafiki kwahiyo tulisubiri mpaka Pele 'Akate Moto Mazima' ndiyo tumpambe kwa hii Misifa?

    Hivi tungekuwa tunampa hizi Sifa zetu zote za Kinafiki tunazozitoa sasa sehemu mbalimbali asingezifurahia na hata Kumfariji alipokuwa bado Hai anapambania Maisha yake Hospitalini? Hakuna Kitu nachukia kama Unafiki. Na hasa hasa tabia hii tunayo Sisi Miafrika ila zaidi kabisa Sisi Mitandania...
  3. JamiiForums Tanzania Moto moto wamechokoza wenyewe, yani mpaka wajute, Yanga tunakiwasha

    Yani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine, Yaani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya Azam, yaani atakaye pata shida ni azam sio yanga, ebu imagine yanga...
  4. JamiiForums Tanzania Kweli Hali Ngumu mpaka Muda huu 0-0

    No Mwaliko no invitation na mchezo ndo unaelekea mwishoni bado 0-0
  5. JamiiForums Tanzania Tumshukuru Mungu kwa hii pumzi maana tumeweza kufika mpaka leo tar 25/12/2022

    Tuombe: Asante Mtakatifu, asante Jemedari uketie mahali pa juu palipoinuka, asante Mungu wetu Alfa na Omega. Tunakushukuru Mungu wetu kutufikisha mpaka leo hii, maana si kwa uweza wetu bali ni kwa uweza wako ewe Mtakatifu. Kuna wenzetu hawajaweza kufika Leo kutokana na umauti, yote tunasema...
  6. JamiiForums Tanzania CCM mtaogopa siasa za wazi hadi lini?

    CCM ni chama kikongwe kwa vyama vya ukombozi kusini mwa jangwa la sahara na Afrika kwa ujumla. Kilipaswa kuwa mfano bora kwa vyama vingine vya siasa kutokana na kuishi kwingi na kuona mengi. Ajabu ndicho chama kinacho ogopa siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini,kwa kulitambua hilo...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru mwili wa aliyefia Polisi ufukuliwe, uchunguzwe

    Uamuzi umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Franco Kiswaga, baada ya kukubaliana na maombi ya familia ya Marehemu Stella Moses aliyefia katika kituo Cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020. Hakimu Kiswaga ametoa Amri hiyo kwa maelezo kuwa Polisi hawakutekeleza Wajibu wao Kisheria ikiwemo kuweka wazi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hizi sadaka ambazo wahubiri wakristo wanazipigia debe mpaka mapovu yanawatoka ni kwa sababu zinaingia mifukoni mwao?

    Huwa najiuliza maana siku hizi huko kwenye redio na mikutano ya kikristo msisitizo mkubwa ni sadaka. Ingekuwa sadaka hizi haziwanufaishi hawa wahubiri( wao husema mtolee Mungu), wangekuwa kweli na bidii ya kutengeneza mafundisho haya (aghalabu mengi ni ya uongo na matisho tu) yenye msisitizo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

    Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
  10. JamiiForums Tanzania Tushachoka kubembeleza undugu, itapendeza Ufaransa ikiwapa Morocco kipigo cha mbwa koko wapigwe mpaka wachakae

    Offcourse tunajua kuna tofauti kubwa kati yao na sisi hasa linapokuja suala la asili yao, Lakini kweli wakatae hata undugu wa kiafrika kwamba wapo nasi ndani ya bara la Africa? Morocco wametukataa, yaani wanaona wao siyo ndugu zetu ni kwamba tunajipendekeza. Basi ndiyo tumekoma hatujipendekezi...
  11. JamiiForums Tanzania Mapigano mafupi yametokea kwenye mpaka wa India na China

    Troops from China and India fought on their disputed border Dec. 9, leading to minor injuries on both sides, New Delhi said, in the most serious such incident since 2020. Samahani kwa msiojua kingereza, Ila kwa mwendo huu ni wazi marekani ataendelea kutawala mpaka Leo hii china na India...
  12. JamiiForums Tanzania Boda ya Horohoro (Kenya - Tanzania) vyoo ni vichafu na abiria wanakoma kwa joto (AC hazifanyi kazi)

    Wiki iliyopita nikiwa natoka Kenya kuja TZ kupitia boda ya Horohoro kuna mambo mawii niliyoona na yakanikata na kunifanya nitafakari kuhusu mamlaka zetu hizi za Uhamiaji. Nilikuta mazingira ya vyoo ambavyo vinatumiwa na abiria ni vichafu na vinahatarisha hata afya ya watumiaji, kuanzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…