moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nyingine ya Moto: Samia na Nchimbi waanza tofauti hawana hata siku 100 za uhalamu wa Utawala wao

    Kuna clip mama anashangaa kumuona Makamu ukumbini wakati wa kutangaza cabinet nadhan mmeiona Samia na genge lake walimtuma Congo, huku wakapanga cabinet, wakati wanaenda kutangaza akashangaa jamaa yupo. Ikabidi kiti chake kiongezwe. The guy was so smart, japo walifanya wrong move, yeye...
  2. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Vizuia moto maeneo ya Biashara

    Habari Tanzania ! Nawaomba sana watu wote wanaomiliki maeneo ya biashara, makazi na maeneo yenye mikusanyiko ya watu wengi; wawe wanaweka vifaa vya kukinga moto. Hii iwe ni utamaduni wetu tusipuuze na pia tukumbuke tuna sheria ya utunzaji mali hasa majengo na maeneo yenye bidhaa za...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  5. JamiiForums Tanzania Walio wahamasisha vijana kuandamana na kuchoma moto miundombinu ndio wanao waonea huruma

    Kama adui yao alikuwa ni serkali kwanini wamechoma vibanda vya maskini wa taifa letu, Kama adui yao ni tume ya uchaguzi kwanini wachome mwondokasi. Walipanga kuwauwa na kuchoka moto nyumba za wanaccm huku wao wakijiita wanademokrasia. Walikuwa wanawahimiza kuandamana na kuwaambia wajitoe...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Masharti ya kumiliki silaha za moto yaregezwe Tanzania ili watu wajilinde

    Hii itawafanya viongozi na mafisadi kuwa na hofu ya uonevu wao na pia raia wataweza kujilinda na kujitetea kwa silaha za moto . Huu utaratibu wa serikali tu i.e: majeshi tu kumiliki silaha kuna sababisha uonevu kwa raia kwa askari kuzitumia wanavyotaka pasipo nidhamu ikitokea askari wametumia...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kutumia risasi za moto dhidi ya waandamanaji?

    Haya yalikuwa ni mauaji ya makusudi kabisa, Hakuna nchi yeyote duniani ambapo polisi hutumia risasi na bunduki wanapokuwa wanakabiliana na waandamanaji. Wengi wa waandamanaji mara nyingi ni raia wa kawaida tena wasio na mafunzo kabisa ya kijeshi unawezaje kutumia bunduki dhidi yao? Katika...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Pendekezo: TLS Watusaidie Kukusanya Taarifa Za Raia Waliouawa au Kujeruhiwa Kwa Risasi Za Moto Tangu 29 October 2025.

    Naamini kuna haja ya kuwa na kumbukumbu sahihi za raia wenzetu ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu 29 October 2025. Hivyo, ninapendekeza familia za wahanga ziwasilishe kwa TLS taarifa za ndugu zao ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu maandamano ya 29 October...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Magari ya CCM, nyumba ya mgombea udiwani vyachomwa moto na waandamanaji jijini Mwanza

    Hali jijini Mwanza leo Oktoba 31 imeonekana hivi:
  10. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Arusha wakichoma kituo kikuu cha majumuisho ya kura

  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi haukuwa huru na wa haki. Nchi itawaka moto hii Samia akitangazwa, hatutokubali

    Uchaguzi haukuwa huru na wa haki nchi itawaka moto hii samia akitangazwa hatutokubali
  12. JamiiForums Tanzania Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake. Kama mtu anafikiri sisi tunaomba, ngoja muone. Moto utawaka

    Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake kama mtu anafikiri sisi tunaomba ngoja muone moto utawaka Tunataka nchi yetu tutakinukisha
  13. JamiiForums Tanzania Gen-Z jijini mwanza wachoma moto vituo vya polisi

    Kituo cha polisi cha nyegezi kimechomwa moto wandamanaji wapambana vikali na jeshi last polisi .. Kituo cha mafuta GBP cha shambuliwa na gen-z wamevunja warehouse na kubeba maji na vinywaji musoma Road nyamhongolo near nanenane. Taifa gas pia yavunjwa na wandamanaji kubeba mitungi ya gesi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kituo cha Polisi cha Olorieni chateketezwa kwa moto na waandamanaji

    Kituo cha Polisi cha Olorieni kimeteketezwa kwa moto na waandanaji usiku huu
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Ofisi ya CCM na Ofisi za Kata ZACHOMWA MOTO JIONI HII

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa eneo la Sanawari juu na Ngusero Vijana waliokuwa wakiandamana kuelekea Clock Tower na kuvamiwa na Polisi wamepambana na Polisi na baadae wakaenda kuchoma Ofisi mbili za kata pamoja na Ofisi ya CCM kata ya Moivo Tuombe Amani Ndugu zangu.
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Kituo cha Mwendokasi cha Magomeni chachomwa moto

    Maandamano yanazidi kupamba moto, unaambiwa ile ya asubuhi ilikuwa cha mtoto, watu wananchi wameongezeka maradufu wakati huu wakizidi kusonga mbele. Kituo cha mwendokasi Magomeni nacho kimeliwa kichwa, kimetiwa kiberiti na raia wanasonga. Madai ni yale yale, tunataka haki irejee nchini, sio...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Vituo vya kupiga kura Tunduma vyachomwa moto

    Wakati maandamano yanaendelea sehemu mbalimbali nchini, Tunduma nako kumependeza. Vituo vya kupiga kura vimechomwa moto. Hii inaitwa kama hushiriki maandamo, tulia watu tupite tusafishe njia. Zile nywinywi zote kimya! Na kwa vile wameamua kuzima mtandao hakuna kitu wanaweza kufanya, yaani ni...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 V8 ya ‘watu wasiojulikana’ yachomwa moto Kimara na waandamanaji

    Aloooo, V8 imekula moto inateketea bila habari! Yaani leo tena hawa wasiojulikana wanaojulikana wajitokeze vizuri, ili wafichuliwe. Siku iishe watekaji wote nao wawe wamejulikana. IKiwa katikati ya barabara wananchi wamepiga moto V8 ya watu wasiojulikana.
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Kituo cha Polisi Tabata Relini chachomwa moto

    Wananchi wamepita na kituo cha polisi Tabata Relini, mabomu yanarindima huko hadi maeneo ya Buguruni. Harakati za kufika Ikulu zinaendelea. Leo polisi wamejua Watanzania sio waoga! Upole haimaanishi mtu hawezi kukurarua. Mtu anakuwa anakulia timing tu, akichoka utajua ujui. Polisi...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Waandamanaji wachoma moto yard ya magari ya mabasi ya Esther

    Yard ya magari ya Mabasi ya Esther Luxury imechomwa moto na waandamanaji Inasemekana mabasi yote yaliyokuwepo hapo yamechomwa moto
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…